ndiyomkuusana
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 666
- 421
hawa nao mbona kama wapo kwene danguro
Jamani kweli akutukanae humchagulii tusi!!
ebu weka picha ya mke wako tulinganishe
hapo kuna shida je kama nataka kupiga mashuti ya mbali unnafikiri itakuaje na kanali kashaamuru nitangulie chini.Kwenye redi kwani kuna shida gani?? Mambo si ndio hayo au??
kwa hiyo mnataka kunishawishi nisapoti hata hao kwenye picha ya juu ni wazuri pia?
Hata mwanaasha Kikwete ni mzuri jamani
kwa hiyo mnataka kunishawishi nisapoti hata hao kwenye picha ya juu ni wazuri pia?
Warwamda wa wapi mapua yamekandwamizwa na Greda! hata kwenye wazuri hawamo!
mwanaasha yaani ni kipipa flani hivi...mwili umejaa pizza tu
Tatizo la hawa Watusi huwa ni wa baridi sana!
Na wote warefu zaidi kuliko mdingi ambaye urefu wake ni zaidi ya futi sita!View attachment 65721 kizuri lazima kisemwe,uyu mtoto tumpe sifa zake,ametulia mashalah