Mtoto wa Pius Msekwa afariki!

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
5,520
2,091
Wadau,nimesoma habari hizi kwenye magazeti ya juzi Jumatano tar.15.09.2010 kuwa mtoto wa Mzee Pius Msekwa aitwaje Julius Msekwa amefariki huko Cyprus na anatarajiwa kuzikwa Dar Jumamosi... Ni nini kilichomkumba kijana huyu? Kwa mtazamo wa picha iiliyowekwa gazetini anaonekana ni kijana sana... !!! RIP Julius....
 
Oooh!
Too bad for him,
But pitty to the parents and family!
Mungu awafariji..Amen!
 
Wadau,nimesoma habari hizi kwenye magazeti ya juzi Jumatano tar.15.09.2010 kuwa mtoto wa Mzee Pius Msekwa aitwaje Julius Msekwa amefariki huko Cyprus na anatarajiwa kuzikwa Dar Jumamosi... Ni nini kilichomkumba kijana huyu? Kwa mtazamo wa picha iiliyowekwa gazetini anaonekana ni kijana sana... !!! RIP Julius....
we jua kafariki,kilichomuua wakitakia nini jaman?
R I P JULIUS
POLE KWA FAMILIA
 
He is my uncle,last week alitoka mji wake kwenda mji mwengine kikazi ghafla tu akadondoka na kufa,mwili utaingia kesho alfajiri taratibu za mazishi zitafanyika oyesterbay ingawa ni utata kidogo maana wamelelewa na mama yao mlalakuwa.R.I.P Uncle J.
 
nadhani ungeenda moja kwa moja oyesterbay maana mlalakuwa kutakuwa na ndu watakaoingia leo na kesho kutoka iringa.
Namfahamu yule mama wa pale Mlalakuwa na marehemu kaka yao Ayoub. Nitapita pale jioni hii.
 
Namfahamu yule mama wa pale Mlalakuwa na marehemu kaka yao Ayoub. Nitapita pale jioni hii.

Nafahamu hapa si mahala pake na nina mhurumia sana Mzee Pius Msekwa, but life can be uncanny and unforgiving at times.
Nilikua namfahamu sana Ayoub na nilhudhuria mazishi yake pale Kinondoni, Ithink miaka mitatu iliyopita.Mama yake(aliyekuwa mke wa P Msekwa sas vile vile marehemu) alitia huruma sana.
Cha kuhuzunisha zaidi kwa waombolezaji ni kutohudhuria kwa mazishi hayo Mzee Msekwa kwa mazishi ya mwanae Ayoub, hatukuweza kujua kama ilikuwa wingi wa kazi au safari!
Hata hivyo in both cases Bwana ametoa na Bwana ametwaa , na jina la Bwana lihimidiwe.
Pole sana wafiwa.
 
Back
Top Bottom