Mtoto wa kwanza na wamwisho ni yupi anae subiliwa kwa hamu?
Swali limekaa utam hilo. JIbu ni kwamba mtoto wa kwanza ndo ana uwezekano wa kudeka zaidi ya wa mwisho kwa kuwa wa kwanza wazazi wake wanakuwa na hamu sana na mtoto. HABARI NDO HIYO
Watoto wenyewe toka chekechea hadi chuo kikuu wako boarding, huko kudekezwa kunaingia wapi tena, au unazungumzia watoto wetu sisi wakulima, wanaosoma chekechea to shule za kata secondary school?
Ndo maana nakushangaa na finding zako za kizushi...tena bila aibu unaongezea hawafai kuolewa...kitakachofuata nini maana makabila na sura tayari then mnakuja na sijui mtoto wa ngapi..mara rangi ya ngovi...na mengineyo ya kijinga tu!!Mtu kudeka/dekezwa haijalishi ni mtoto wa ngapi....na hata kama kadekwezwa atakavyobehave huko mbeleni kunaweza kukawa tofauti kabisa na mwanzo...watu hua wanabadilika na mazingira.Hamna tofauti na wale wanaume ambao hata mkitaka kununua mashuka mpaka mama aulizwe yawe ya rangi gani...ila siwezi kuzunguka nikitangaza watoto wote wa kiume wa mwisho au wa pekee hivi ndivyo alivyo!!Na wewe ni wa mwisho nini?
Hakuna uhalisia wa hilo, nimeshaona familia ambazo mtoto wa tatu au nne andekezwa sana na wa mwisho yupo tena wa kike!
Hebu tuambie kuhusu mtoto wa mwisho wa kiume tena pekee yaani wakubwa zake wote wa kike, huyo anafaa kuoa au!
Ndo maana nakushangaa na finding zako za kizushi...tena bila aibu unaongezea "hawafai kuolewa"...kitakachofuata nini maana makabila na sura tayari then mnakuja na sijui mtoto wa ngapi..mara rangi ya ngovi...na mengineyo ya kijinga tu!!Mtu kudeka/dekezwa haijalishi ni mtoto wa ngapi....na hata kama kadekwezwa atakavyobehave huko mbeleni kunaweza kukawa tofauti kabisa na mwanzo...watu hua wanabadilika na mazingira.Hamna tofauti na wale wanaume ambao hata mkitaka kununua mashuka mpaka mama aulizwe yawe ya rangi gani...ila siwezi kuzunguka nikitangaza watoto wote wa kiume wa mwisho au wa pekee hivi ndivyo alivyo!!
Wa kiume hana tatizo sana kwa kuwa mwanaume hategemei kwenda kudeka kwa mkewe. Ila kama alidekezwa sana pia anaweza kuwa mzigo wa kisaikolojia kwa mkewe. Anaweza kuwa mgumu katika kufanya maamuzi magumu yanayohusiana na ndoa yao na familia yao kwa ujumla.
Wewe hujawahi kukutana mtoto wa kiume ana miaka zaidi ya 30 lakini kila baada ya sentensi mbili utasikia anamtaja mama yake badala ya mkewe? Na kuna binamu yangu amewahi kumwacha mchumba wake wa kiume kwa tabia hizo za akili ya kitoto inayotokana na kudekezwa!
Anadekezwa kwa muda tu. Akishakuja mwenzake hadekezwi tena.
Hakuna uhalisia wa hilo, nimeshaona familia ambazo mtoto wa tatu au nne andekezwa sana na wa mwisho yupo tena wa kike!
Hebu tuambie kuhusu mtoto wa mwisho wa kiume tena pekee yaani wakubwa zake wote wa kike, huyo anafaa kuoa au!
Jamani kuna hii theory kwamba msichana ambaye ni wa mwisho kuzaliwa nyumbani kwao mara nyingi huwa anakuwa amedekezwa sana kwa hiyo hafai kuolewa. Hafai kuolewa kwa sababu anategemea kuendelea kudekezwa kupita kiasi hata kwenye ndoa na kusahau kwamba mume si mama au baba yake.
Kama kuna mtu yeyote ana uzoefu na hili tafadhali, maana mwenzenu maji yako shingoni!