Mtoto wa mwanasiasa waziri alivyonitapeli

Again umeniboa na leo tena
nafikiri uimalizie kesho na details zote
ili usiniboe tena
 
Again umeniboa na leo tena
nafikiri uimalizie kesho na details zote
ili usiniboe tena

na akisha malizia hii series ningeomba apeleke kule jukwaa la complains, sijaona corelation na jukwaa la MMU
 
Mke wangu ana akili kiasi kuwa hawezi kudanganywa na kijana tapeli simply because baba yake ni waziri!! Inaelekea wewe ulishushuka zaidi na cheo cha baba yake na ukadhani huyo kijana anaweza kukutoa kwakutumia cheo cha baba yake kumbe ndio kakuingiza mjini na sasa unalia!!

Ok congratulation.
 
Ok congratulation.

Pole na maswahiba yaliyokupata, wahenga husema "Dunia hadaa walimwengu shujaa"
Mmh naomba kukuuliza kama nikihitaji msaada wa kibiashara toka kwako naweza pata?
 
Back
Top Bottom