Mtoto Wa Miaka 14 Apewe Mimba na Mzungu

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
Wahenga walisema kuishi kwingi kuona mengi. Nimesikia kisa kimoja huko Arusha cha ajabu sana ambapo mtoto wa miaka 14 (form 2) kapewa mimba na mzungu mwenye miaka 48. Huyu binti alikuwa hajui kwamba ana mimba ila mama yake aliona dalili za ujauzito kwa mwanae akamuweka chini na kuanza kumdadisi. Hapo ndo alipokiri kwamba ana mahusiana na babu mzungu wa miaka 48 anayeendesha biashara ya utalii jijini Arusha. Kichekesho ni kwamba haka kabinti kaliahidiwa CL na blackberi. Mama mtu akawa hajui CL ni nini hadi pale marafiki zake walipomwambia kwamba CL ni viatu. Anyway mzungu kasepa makwao baada ya msako mkali wa polisi. Wanamama wenzangu zungumzeni na watoto wenu mapema. hiki kitoto kicheche kilikuwa kinashinda kwenye internet usiku na mchana kumbe anatafuta makubwa kumzidi kimo kwenye mitandao na kutamani kuwa navyo. Wazazi wake wabebeshwe lawama. wewe tanzania, watoto wadogo hivyo unawaacha na computer 24/7 hivyo si ndo mambo ya kutafuta mambo ya watu wazima ya CL na blackberi ?
 
hongera mzungu kwa kumjaza mimba mwanafunzi .ndo maana mkuu wa kaya alisema hwa wanapata mimba kwa sababu wana kiherehere
 
safi sana Kiherehere Kiherehere plus tamaa na Ndoto za Kitandani unaweza unajenga Angani, Angani. tamaa mbaya wameambiwa hawasikii ngoja watulizwe na mimba za Wazee.
 
Kumbe hakukabwa?
hongera mzungu kwa kumjaza mimba mwanafunzi .ndo maana mkuu wa kaya alisema hwa wanapata mimba kwa sababu wana kiherehere
safi sana Kiherehere Kiherehere plus tamaa na Ndoto za Kitandani unaweza unajenga Angani, Angani. tamaa mbaya wameambiwa hawasikii ngoja watulizwe na mimba za Wazee.
Nawashangaa sana kumsema vibaya huyo mtoto wakati yeye ndie victim hapa. Yaani mnadhani mtoto wa miaka 14 ana akili ya kufikiria kua anacho kifanya ni kibaya wakati hajakatazwa (na kukumbushwa) na wazazi, na wakati anashawishiwa na mwanaume wa miaka 48? si kakabwa huyo? Nyinyi ndio wale wanaume mnawashawishi watoto kama hawa, mkikubaliwa mnakula tu, mkijitetea kua alitaka mwenyewe!
 
kama kuna kitu ambacho kinanipa shida kukifikiria na kujengea taswira kichwani kwangu, ni mtu mzima kujikunja kabisaa na binti mdogo wa miaka <18! Hivi inakuwaje, na ina starehe yoyote kweli? Seriously?! Na humu wamo tu, tumejificha nyuma ya avatar!:smash:
 
duu shosti lakini hajaambukizwa ngoma basi itabidi ajifunue halafu aendelee kupiga shule kama kawa..

blakiberi na CL vya zua mambo kweli kuwa uyaone...:shock:
 
Sasa unataka kukataa kwamba U-Turn haipromote wasichana wa Kitanzania kutafuta mabwana wa kizungu kama solution ya matatizo yao maishani?

Nakataa ndiyo.

Ni tafsiri zenu tu hizo ambazo zinasukumwa na chuki dhidi ya Mange. Kwenye macho yenu Mange ni shetani.
 
Sio wazazi? sio huyo mtu wa miaka 48? haya bwana...

Ni Mange bana...wazazi wa mtoto hawastahili kabisa lawama. Na hilo fataki la kizungu nalo halistahili lawama. Ni Mange Kimambi mwanzo mpaka mwisho. Sema ni Mange Kimambi ugongewe like.
 
Sio wazazi? sio huyo mtu wa miaka 48? haya bwana...

Kusema kazi ya U-Turn hakuwezi kuondoa ukweli kwamba wazazi na huyo mzungu wana sehemu yao, kama ndio ukweli.This is not a set of mutually exclusive events.Some things are bordeline stating the obvious, and I am not into that.

Ninachojua ni kwamba U-Turn ndiyo chombo namba moja mtandaoni cha kushadadia watoto wa kibongo kuzibukia wazungu. Na huyu ni mmoja wao.
 
duh!! Issue sio mzungu bana........angeweza kukunjuka hata na njeree mlinzi wao.
Issue hapa ni wazazi ongeeni na wanenu.

Na vijibaba fuateni mijiimama bana, waacheni watoto wawe watoto, kama nyie mliachwa mka-enjoy utoto wenu, kwa nini mnataka kuharibu utoto wa wenzenu?
 
Back
Top Bottom