Mtoto wa Mfalme

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
62,204
128,020
Mtoto wa mfalme akimsifia mfalme mbele ya raia wenye sura zenye majonzi tele. Tazama kwa makini hizi sura za hawa raia wanaomsikiliza.
288637_116931388405726_116927725072759_101378_1623778_o.jpg .
 
Dhambi kubwa wanao msikili wananjaa,jua kali ,jasho mpaka kwenye nyayo.MUNGU tuhurumie na adha hii
 
Pamoja na kupewa nguo na buku mbili mbili lakini wana njaa ya kufa mtu.
 
umaskini mbaya sana
angalia waliovaa nguo zao na hawa wa kijani duuuhh
lazima ziwe pamba za sikukuu!!!:boxing:
 
Mfalme wa mishen town!
Huyo aliyenuna hapo mbele na kacha yake shingoni na nywele hajachana mwaka mzima nimwanaume au mwanamke wakuu?
 
mpaka nimejisikia kichefuchefuuuuuuuuuuuuuuuuu! Ningejua mtoto wa mfalme ndo haya MAGAMBA,wala nisingeifungua hiyo pcha!
 
masiki, hivi huyo mdada/mkaka aliyenuna hapo mbele ya mwanamfalme amekula kweli? au ndo wanausalama wenyewe?
 
Back
Top Bottom