Mtoto wa Mchungaji - Matokeo

Dogo anaakili sana. Yeye hataki kukariri ya wakoloni, ndo maana mwandiko safi, angekuwa kilaza asingekuwa na mwandiko safi hivo. Ukimwacha hapo, atakuwa Newton wa Tz.
Mpe hongera, ile 0/10 ni ya mwalimu wake kilaza anayefundisha mtoto mwenye kipaji na kufikiri kivingine.
 
Hahahahaha......! Nimefurahishwa sana na jibu la swali namba 2...! Water formula; (h to o)......!

Hahahahaaaaaa!

Mtoto kaonyesha na working (h,i,j,k,l,m,n,o) kabla ya kutoa jibu.

Kuonyesha kwamba ni kichwa paper yake wamemchanganyia maswali ya historia, baiolojia na kemia lakini bado amejibu kwa ufasaha.

Huyo mwalimu ni wale wa vodafasta.
 
Ninakushgukuru sana! Kuna mtu alinishauri nimpeleke kwenye Kilimo Kwanza.

Huyo anafaa awe rais wa kesho. Atimue timue ma-policy kama hayo yasiyo na miguu wala kichwa. kuanzia elimu isyokidhi mahitaji ya jamii, hadi mipango za uzalishaji inayotolewa bila malengo-from poly ticks directly to the air
 
Haleluyaaaa, mtoto kapewa maswali ya masoma tofauti tofauti. Mwl haeleweki ametoa mtihani wa somo lipi.
Nahisi kama mwl ni wa shule za kata, yuko peke yake masomo 12, siku ya paper anachanganya na maswali kama hivyo.
 
Ninakushgukuru sana! Kuna mtu alinishauri nimpeleke kwenye Kilimo Kwanza.
Ili akatuunguzie mazao na mbolea?
Punguza pombe rev. ufanye kazi
mtoto huyo si dull ana uwezo wa kuthink nje ya kisanduku.
Hapo angitwa kudefend siajabu angepata 80%
 
Ili akatuunguzie mazao na mbolea?
Punguza pombe rev. ufanye kazi
mtoto huyo si dull ana uwezo wa kuthink nje ya kisanduku.
Hapo angitwa kudefend siajabu angepata 80%

Ninaambiwa Mchungaji na pombe ni kama mate na ulimi!
 
Mchungaji huyo Dogo cio kwamba skuli imemshinda lakini mm naona kama vile umemepeleka shule ambayo hastahili kuna shule ya Serikali inaitwa MWENDAKULIMA High School labda ujaribu kumhamishia huko ...!
 
Back
Top Bottom