Mtoto wa mbunge chadema kizimbani kwa wizi

Kidogo chetu

JF-Expert Member
Nov 27, 2009
1,432
992
Natoka Iringa niko ndani ya gari nimesikia mtangazaji wa redio moja maarufu hapa iringa akisoma habari hii toka magazetini.
Tafadhali mwenye details atumwagie jamvini ukweli tuuone
NAWAKILISHA
 
Wewe ndiye umesikia habari hiyo then unataka mwenye details amwage How? Nadhani ungeeleza huyo mbunge ni nani kidogo ingejadilika.
 
Kwani mtoto wa mbunge hana kinga ya mashitaka pindi mzazi wake akiwa mbunge?. teh
.
"IT WAS GOD WHO CREATED MAN, MAN CREATED MONEY AND MONEY CREATED MAD, MAD AND MADNESS".
 
Ubunge ni wa mzazi wake ,yeye ni raia kama mimi na wewe anapovunja sheria ni lazima ashuhulikiwe mzazi akiwa mbunge wa CUF,CCM au TLP wote ni 'MAJI YA NYANJA''
 
Back
Top Bottom