Mtoto wa masaburi aula!

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,025
Timu ya coventry city inayoshiriki ligi daraja la pili nchini uingereza inafanya mchakato wa kumuombea ATC kijana Deogratius Didas Masaburi ili aweze kuichezea timu hiyo.
 
Ooopss,ni kweli nimebugi step,samahani ipotezeeni hii sredi.
 
Rekebisha kidogo mkuu, atc ilishakufa, siku hizi kuna atcl! Anayoombewa huyo kijana ni itc!
 
Timu ya coventry city inayoshiriki ligi daraja la pili nchini uingereza inafanya mchakato wa kumuombea ATC kijana Deogratius Didas Masaburi ili aweze kuichezea timu hiyo.

ni daraja la pili la amateur Coventry... ni ligi kama vile ya mkoa lakini nao wanahitaji documentation

nina hakika dogo hatumii masaburi kabisa kufikiri
 
Rekebisha kidogo mkuu, atc ilishakufa, siku hizi kuna atcl! Anayoombewa huyo kijana ni itc!
shukrani mwalu kwa marekebisho pia sorry kwa thread ya ki-sport katika jukwaa la jokes.Dah! tatizo nimelizoea mno hili jukwaa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom