Mtoto wa Magufuli sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Status
Not open for further replies.

COURTESY

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
2,006
706
Screen Shot 2016-06-03 at 10.36.46.png


St Mathew Secondary School
S1071/0102
F
JESCA JOHN MAGUFULI
30
IV
CIV-D HIST-D GEO-D KISW-F ENGL-C B/MATH-F COMM-F


============

Screen Shot 2016-06-03 at 10.34.02.png

NECTA CSEE 2011

Hayo ni matokeo yake na sasa hivi anasoma UDOM.

======
Watanzania bado tukiwa katika sintofahamu juu ya wanafunzi 7,000+ waliofukuzwa chuo cha UDOM siyo vibaya tukaangalia namna gani HAKI inavyoweza kutendeka bila upendeleo wowote kwa kigezo cha uwezo au wadhifa.

Tunaamini kitendo cha binti wa Mhe Rais kusoma katika chuo cha ndani ya nchi yetu ni cha kiuungwana na cha kizalendo ingawa hatujui kama alikidhi vigezo au hapana.

Kwa kifupi binti huyu awali wakati anaanza masomo yake ya degree pale UDOM alipangwa kozi ya HRM (Human Resource Management).

Baada ya baba kupata wadhifa akawa amehama kozi kutoka HRM akahamia kozi mpya ya (Political Sciences and Public Administration) PSPA.

Katika suala la Malazi Mwaka wa kwanza alikaa kampasi ya chuo na baada ya baba kupata wadhifa kuwa rais anakaa Ikulu ndogo Chamwino mbali na kwamba anacho chumba chake chuoni na hakikai mtu.

Katika suala la usafiri. Analetwa chuoni na gari la Serikali aina ya VX ya kijani kila siku chuoni na kurudi.

Kwa kuweka tofauti zetu kando tujadili kwa mustakabali wa nchi yetu.

Nawasilisha!!

Chanzo: Class mate.
 
Mtoto wa mzee wa kukalili urefu wa barabara nae kavuka bahari kwenda kigamboni kwa kupiga mbizi? Siamini!

kwiiii kwi kwiii, kapiga mbizi, du!!!!
kuanzia mwakani watatoa matokeo kwa namba za mitihani, mambo ya majina yanatuaibisha, wanaoafiki waseme siyo,
siyoooo, wanaopinga waseme ndio,
ndiyooooooooooooooooooooooooo!
Obrigado
 
....kuanzia mwakani watatoa matokeo kwa namba za mitihani, mambo ya majina yanatuaibisha, wanaoafiki waseme siyo,
Hakuna kitu kinachonisikitisha kama kuanika matokeo ya mtu for the public to see kama Baraza la Mitihani wanavyofanya. Hivi hawa wazee wetu walioko huko NECTA na serikalini kwa ujumla hawajapitia pitia kidogo shule za nchi nyingine waelewe concept za academic privacy jamani, wakoje hawa watu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom