Sn2139
JF-Expert Member
- Apr 9, 2010
- 834
- 250
Habari imekaa kigegereka.
Nahisi mreta hii habari kapotea mlango alifikiri anaandika kwenye gazeti la udaku kumbe yupo JF.
Kasahau kuwa huku hakunaga kuremba,porojo na mbwembwe hata kama jina la raisi lipo au baba yako hapa jf we lipua tu.
Hakuna wa kukuchifupa hapa ni full maulinzi.
LEGE, mimi nilijuwa naleta habari hii katika JF, sikuandika bali nime cut na ku-paste... Nilitaka tuone namna inavyoanza kuwa vigumu kwa wazarendo kuonesha uzarendo katika nchi yao..
Nzowa sasa hivi anategemea ulinzi kutoka kwa Mungu na siyo serikali yake. Magufuri aliwahi kupewa ulinzi wa serikali ili aendeleze kazi yake katika serikali ya Ben, sasa hivi Pinda anapinda na kumpiga stop, Kikwete naye anampa mikwara ... Mwakyembe kosa lake ni nini? Ni kufanya uchunguzi wa kizarendo dhidi ya ufisadi wa Richmond? Kakosea nini Dr Mwakyembe..
Tatizo la nchi hii kwakweli ni kubwa na gumu kuliko tunavyoweza kufikiria... Ndiyo maana tuna baraza la mawaziri ambao wapo kama hawapo. Huenda wanafaham uzarendo hautakiwi na hauhitajiki kwa sasa ...
Je, wewe unaonaje ?