Mtoto wa kiume

suppose umeona siku zako anzia tarehe 13 march ni siku zipi za kupata ujauzito wa mtoto wa kiume?kama huna jibu tafadhali kaa kimya sitaki confunsion

Hiyo mbona simpo sana ukiwa kwenye tukio mpe jamaa staili ya MBUZI KAGOMA hapo lazima upate kidume, lkn ukiiga ile staili ya mende alokufa hapo ni pata potea.
 
suppose umeona siku zako anzia tarehe 13 march ni siku zipi za kupata ujauzito wa mtoto wa kiume?kama huna jibu tafadhali kaa kimya sitaki confunsion
Jamani kazi ni kwenu ss hii yapo chati ya kutumia hakuna cha kusubilia siku wala tarehe we cheki miaka na mwezi zen fanya mambo

The chart below was found in a Royal Tomb near Beijing, China by Chinese Scientists about 700 years ago.
You can choose to get a boy or a girl following the chart. The woman's age from 18 to 45 is mentioned in horizontal columns while the months when the baby is conceived, i.e. when the pregnancy starts are indicated in the vertical columns.
X stands for a boy and O is a girl. For instance if the woman is 27 years old and her baby is conceived in January, the the baby will be a girl.
The original copy of this chart is kept in the Institute of Science in Beijing. The occurrence of the chart has been proved by Joseph Ochax Ochaxo, a scientist in the Institute and it is believed to be 99.2% accurate.
You can try and verify it on your own, reckoning the month when your child was conceived and your wife's age at that time.
MONTHAGE
18192021222324252627282930313233343536373839404142434445
JANUARYOXOXOXXOXOXOXXXOXXOXOXOXOXXO
FEBRUARYXOXOXXOXOXOXOOOXOXXOXOXOXOXX
MARCHOXOOXOXXXOXOOXXXXOXXOXOXOXOX
APRILXOXOOXXOOXOOOOOXOXOXXXXOXOXO
MAYXOXOXXOOOOOXOOOOOOXOXXOXOXXO
JUNEXXXOOOXXXOOXOOOOOOOXOOXOXOXO
JULYXXXOOXXOOXXXOOOOOOOOXXOXXXOX
AUGUSTXXXOXOOXXXXXOOOXOXOXOXOXXOXO
SEPTEMBERXXXOOXOXOXXXOOOOOOXOXOXXOXOX
OCTOBERXXOOOXOXOXXOOOOOOOXXOXOXOXXO
NOVEMBERXOXOOXOXOOOOXOOOXXXOXOXOXXOX
DECEMBERXOXOOOOXOXOOXXXXXXXXOOOXOXOX
Me ilikuwa ni mwezi wa nne ndo maana kakawa ni kakbint karembo jaribuni hii inafaa zaidi
 
Jamani kazi ni kwenu ss hii yapo chati ya kutumia hakuna cha kusubilia siku wala tarehe we cheki miaka na mwezi zen fanya mambo

The chart below was found in a Royal Tomb near Beijing, China by Chinese Scientists about 700 years ago.

You can choose to get a boy or a girl following the chart. The woman's age from 18 to 45 is mentioned in horizontal columns while the months when the baby is conceived, i.e. when the pregnancy starts are indicated in the vertical columns.
X stands for a boy and O is a girl. For instance if the woman is 27 years old and her baby is conceived in January, the the baby will be a girl.
The original copy of this chart is kept in the Institute of Science in Beijing. The occurrence of the chart has been proved by Joseph Ochax Ochaxo, a scientist in the Institute and it is believed to be 99.2% accurate.
You can try and verify it on your own, reckoning the month when your child was conceived and your wife's age at that time.
MONTH
AGE
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42
43
44
45
JANUARY
O
X
O
X
O
X
X
O
X
O
X
O
X
X
X
O
X
X
O
X
O
X
O
X
O
X
X
O
FEBRUARY
X
O
X
O
X
X
O
X
O
X
O
X
O
O
O
X
O
X
X
O
X
O
X
O
X
O
X
X
MARCH
O
X
O
O
X
O
X
X
X
O
X
O
O
X
X
X
X
O
X
X
O
X
O
X
O
X
O
X
APRIL
X
O
X
O
O
X
X
O
O
X
O
O
O
O
O
X
O
X
O
X
X
X
X
O
X
O
X
O
MAY
X
O
X
O
X
X
O
O
O
O
O
X
O
O
O
O
O
O
X
O
X
X
O
X
O
X
X
O
JUNE
X
X
X
O
O
O
X
X
X
O
O
X
O
O
O
O
O
O
O
X
O
O
X
O
X
O
X
O
JULY
X
X
X
O
O
X
X
O
O
X
X
X
O
O
O
O
O
O
O
O
X
X
O
X
X
X
O
X
AUGUST
X
X
X
O
X
O
O
X
X
X
X
X
O
O
O
X
O
X
O
X
O
X
O
X
X
O
X
O
SEPTEMBER
X
X
X
O
O
X
O
X
O
X
X
X
O
O
O
O
O
O
X
O
X
O
X
X
O
X
O
X
OCTOBER
X
X
O
O
O
X
O
X
O
X
X
O
O
O
O
O
O
O
X
X
O
X
O
X
O
X
X
O
NOVEMBER
X
O
X
O
O
X
O
X
O
O
O
O
X
O
O
O
X
X
X
O
X
O
X
O
X
X
O
X
DECEMBER
X
O
X
O
O
O
O
X
O
X
O
O
X
X
X
X
X
X
X
X
O
O
O
X
O
X
O
X
Me ilikuwa ni mwezi wa nne ndo maana kakawa ni kakbint karembo jaribuni hii inafaa zaidi
daah thax mkuu
kweli jf ina magreat thinker
 
hahahaaa! hapa ni sayansi 2! ukiwa nam2 kamamm haina haja ya kukutana ili upate kid! simple nitumie cordinate za k yako then ntamaliza mchezo huku huku!
 
Kuna jambo la kuangalia hapo

Ikiwa mama ana group O -ve, na Baba akawa B +ve uwezekanao wa mtoto kuzaliwa ni mdogo

Sijui kama wanaoowana huangalia haya yote

Japo kuna sindano mama akichoma mambo huwa safi ( Anti D inject.)
 
Mkuu ikiwa O+ na B+ napo kuna shida?
 
suppose umeona siku zako anzia tarehe 13 march ni siku zipi za kupata ujauzito wa mtoto wa kiume?kama huna jibu tafadhali kaa kimya sitaki confunsion

Smile,

Hakutakuwa na "specific days" isipokuwa tu kama utatumia vizuri zile siku ambazo utakuwa most firtile ambazo kwa kiingereza zaitwa "fertility window".

Unafahamu mbegu za kiume ni nyepesi na dhaifu ila zitolewapo huogelea kwa speed ya hali ya juu kulifikia yai na kulirutubisha, lakini hufa haraka sana zikiwa njiani kulinganisha na mbegu za kike ambazo mara zote zina nguvu na huweza kuvumilia kuelea kusubiri yai.

Kwenye uke kuna kitu kinaitwa vagina enviromental ambapo majimaji yenye ukakasi ambayo yanaitwa PH hutolewa wakati mwanamke akiwa kwenye hedhi.

Maji haya huwa yana tabia ya kutopenda mbegu za kiume na hupendela sana ziara za mbegu za kike kwenye kuelekea kwenye yai. Mbegu za kiume mara nyingi hufa kwa wingi kabla ya kufikia yai endapo zitashindwa vita na kuvuka PH.

Kwahio kwa kifupi hii hi theory tu lakini kwa vitendo ni kwamba pale uwapo fertile ambapo inaonesha ni wakti huu, basi jaribu sex na mwenzi wako za mara kwa mara na zitafutwe positions nzuri (ukiondoa ya wewe kuwa juu maana mbegu zitachelewa kwenda kwenye yai) na hizo positions zitatoa mwanya kwa mbegu za kiume kwenda moja kwa moja kulirutubisha yai kwa kuwa kasi yake na wepesi wake zitaweza kukwepa PH na baadhi kupokelewa na yai na kukaribishwa kulirutubisha na Mungu akakujalia baby boy.
 
mapacha napenda sana huwezi kujitaidi hata umix?
Kamaungelikuwa wangu ningekupa Mapacha wa kike na kiume kwa sababu mimi nimezaliwa mapacha mwenzangu amefariki mwaka 1991 ni wa kike. Ungelikuwa wangu ninafikiri ungelipata mapacha unaowataka kwa maana mama yangu alizaa mapacha wa kike wawili dada zangu na mimi na mwenzangu wa kike unasemaje? smile.
 
MziziMkavu, jipigie debe labda Smile atakuelewa

Japo wewe na wazazi wako hamlingani
 
Zingatia haya.
Wanasemaga

a) Sperm Y (ambao ndio wanatengeneza boy) wanaogelea kwa spidi kubwa kufika kwenye yai lakini wanakufa haraka.
b) Sperm X (ambao ndio wanatengeneza girl) wanaogelea slow lakini wanachukua muda kufa
N:B) hapa tunajifunza kwamba kumbe wanawake ni wavivu tangu wanapokuwa sperm na vidume havina uvumilivu, vinakufa haraka.

Bek to topik.
Kwanza elewa kwamba hii ni game of chances na haina guarantee lakini zingatia yafuatayo.

-Ili upate mtoto wa kiume hatua ya kwanza inabidi ujizuie na sex takriban siku nne kabla ya ovulation yako, kumbuka ukisex siku hizo ina maana X sperm wanaweza kusurvive mpaka siku unaingia kwenye ovulation lakini Y sperm hawatoweza na hivyo utakuwa na chance kubwa ya baby girl.
- Kwa vile Y (boy) sperm wanaogelea faster kuliko X (hawa X wavivu kweli wallahi) inabidi uhakikishe unasex siku ambayo unaovulate (lengo ni kwamba Y sperm afike mwanzo kwenye kurutubisha yai na hivyo kukupatia kidume).

Tukirudi kwenye suala lako la msingi la tarehe ngapi? hii itategemea na cycle yako ya mwezi na pia ni muhimu kwako kujielewa kile kipindi unachoovulate, lakini kama mzunguko wako ni siku 28, tarehe 25 ambayo itakuwa ni siku ya 13 itakuwa ni best kwako kujaribu (usisahau ile kuacha sex siku nne kabla ya hii siku), na pia kumbuka its not guaranteed.

NB: Nina F ya biology form 4, changanya na za kwako

Smile,

Hakutakuwa na "specific days" isipokuwa tu kama utatumia vizuri zile siku ambazo utakuwa most firtile ambazo kwa kiingereza zaitwa "fertility window".

Unafahamu mbegu za kiume ni nyepesi na dhaifu ila zitolewapo huogelea kwa speed ya hali ya juu kulifikia yai na kulirutubisha, lakini hufa haraka sana zikiwa njiani kulinganisha na mbegu za kike ambazo mara zote zina nguvu na huweza kuvumilia kuelea kusubiri yai.

Kwenye uke kuna kitu kinaitwa vagina enviromental ambapo majimaji yenye ukakasi ambayo yanaitwa PH hutolewa wakati mwanamke akiwa kwenye hedhi.

Maji haya huwa yana tabia ya kutopenda mbegu za kiume na hupendela sana ziara za mbegu za kike kwenye kuelekea kwenye yai. Mbegu za kiume mara nyingi hufa kwa wingi kabla ya kufikia yai endapo zitashindwa vita na kuvuka PH.

Kwahio kwa kifupi hii hi theory tu lakini kwa vitendo ni kwamba pale uwapo fertile ambapo inaonesha ni wakti huu, basi jaribu sex na mwenzi wako za mara kwa mara na zitafutwe positions nzuri (ukiondoa ya wewe kuwa juu maana mbegu zitachelewa kwenda kwenye yai) na hizo positions zitatoa mwanya kwa mbegu za kiume kwenda moja kwa moja kulirutubisha yai kwa kuwa kasi yake na wepesi wake zitaweza kukwepa PH na baadhi kupokelewa na yai na kukaribishwa kulirutubisha na Mungu akakujalia baby boy.
Smile,
Mi mchango wako unafanana kidogo na hawa ndugu zangu ila nasahihisha mambo kadhaa. Ninavyofahamu mimi mayai ya X ambayo yanatengeneza mtoto wa kike yanaogelea haraka lakini yanawai kufa. Mayai ya Y ambayo yanatengeneza mtoto wa kiume yanaogelea taratibu lakini yana survive muda mrefu - Hapa ndipo ulipo utofauti kati yangu na hawa wenzangu.

Swali upataje mtoto wa kiume?
Kwa vile tunajua kabisa kwamba Ovulation inatokea around 14th day after the 1st day of Menstration, na kwa vile mayai ya kiume (Y) yanaaogelea taratibu lakini yana survive muda mrefu, kinachotakiwa ni wapenzi / wanandoa kuhakikisha wanafanya timing once ovulation inatokea Sperm za 'Y' zipo tayari kwa ajili ya fertilzation. Kwa hiyo basi timing inayotakiwa ni wapenzi / wanandoa kufanya mapenzi kuanzia 10th day after the 1st day of Menstration na kuendelea hadi angalau 19th day.

Hoja hapa ni kwamba kwa sababu Sperm za 'Y' zina survive kwa muda mrefu na kwa kuwa utakuwa mmeshaanza kufanya mapenzi kabla ya siku ya Ovulation, so by the time Ovum inakuwa release by Ovary kwa namna yoyote ile majority ya sperm zitakazokuwa kwenye Fallopian tube ambapo ndipo fertilzation inafanyika zitakuwa ni za Y kwa sababu majority of Sperm X zitakuwa zimekufa kutokana na nature yake kwamba zinakufa haraka.

Mimi nimepractise hii njia na nikafanikwa kupata mtoto wangu wa kiume wa kwanza. Na natarajia tena kuitumia kupata mtoto mwingine wa kiume maana sijapanga kuzaa mtoto wa kike.
Tuendelee kujadilina!
 
Back
Top Bottom