mtoto wa kiume wa Obama

Shomari

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,112
241
Kumbe hawavumi lakini wamo, nilikuwa sijui kama Obama ana mtoto wa kiume. soma article nzima hapo chini.

635.jpg

Obama's 19-Year-Old Son Makes Rare Appearance At DNC | The Onion - America's Finest News Source
 
mbona kama habari yenyewe ni smear campaign? halafu pic imekaa ki photoshop
 
That's some "The Onion" shyt.

Hili ni gazeti la satire, burlesque na udaku wa kutunga jamani.
 
mbona kama habari yenyewe ni smear campaign? halafu pic imekaa ki photoshop

Angalia movie inaitwa THE FOCKERS'- ukianza kufanikiwa kutokea katika hisotiria ISIYOANDIKWA KABLA- ukubai matope...
 
duh haya

ndo maana wengine hujifanya tu wanajua ili kwenda na flow

kitunguu????

The Onion ni news satire org.

Limejikita kwenye mambo ya burudani na tashtiti (satire).

Sasa ni ujinga (ignorance) wa watu humu kudhani kuwa wanamfanyia hivyo Obama kwa ajili ya hila za kisiasa ilhali siyo hivyo kwani hakuna aliye off-limits kwao.

Soma zaidi hapa
 
mkuu fasili ya tashititi sio satire bana ni rhetorical question,satire fasili yake kwa kiswahili ni dhihaka
 
mkuu fasili ya tashititi sio satire bana ni rhetorical question,satire fasili yake kwa kiswahili ni dhihaka

Nina kamusi za TUKI na Oxford hapa na zote zinasema fasili ya satire ni tashtiti.

Unapingana nazo?

Dhihaka ni mockery au/ na ridicule.
 
Back
Top Bottom