Mtoto wa Kikwete ashinda kwa kishindo

Cha msingi ni uwezo wa kubeba mzigo uliopewa. Kufikiri kuwa mtoto wa mlalahoi anastahili kuchaguliwa kuliko mtoto wa Kiongozi au tajiri au ....ni UBAGUZI kama ubaguzi mwingine wowote ikiwemo ubaguzi wa rangi.

Kibaya ni kumchagua mtu kwa sababu tu ni mtoto wa mkubwa,..lakini awe mtoto wa mkubwa au mdogo kama anafaa...why not?

Hawa watoto wangepimwa uwezo wa kuelewa mambo ( IQ) nafikiri kuna hata wenye mtindio wa ubongo wamepitishwa eti viongozi wa taifa lijalo sijui la nani wakati CCM inakufa 2015 ... ha ha ha
 
Huu ni upumbavu kweli kweli; eti CCM ni chama cha WAKLULIMA na WAFANYAKAZI lakini watoto wa viongozi wa CCM ndio wanaokuwa viongozi wa chipukizi wa CCM, ili baadaye nao waje wawe viongozi wa CCM na kuendeleza mduara wa WAKULIMA na WAFANYAKAZI.
 
Mhhh! Ajira kwa watoto.
Sikumbuki lakini niliwahi kusikia utaratibu wa kutowashirikisha watoto ktk Siasa. Kazi yao ni shule. sasa hawa wa CCM eti wanaendelea.

Miaka 11. Atakuwa darasa la 4. OK!

Ktk mtihani alikuwa wa ngapi darasani? Hesabu ambayo ni tatizo la kitaifa alipata ngapi? au kuna maksi za kisiasa pia?

Hayo ndo mafanikio yake kwa umri huo.
 
What these guys are doing is create a class of their own. The elite family. Hamna mtoto wa nobody alieshinda. Hawezi hata kuonekana ukumbini.
sijui tuendako lakini naweza sema kwamba by the time those kids are 20, CCM itakua chama cha upinzani. sijui kama watakua na nguvu yakuendela kuwa makamanda wa UVCCM, Chipukizi etc. In fact wazazu wao watakua magerezani.
 
kwanini wasiamue kumtangaza JK kuwa ni Mfalme na watoto wake waridhi wa Ufalme huo.. so tutakuwa na "Prince Ridhiwani" na "Prince Khalfani".. na wengineo.
 
Facts1 said:
Mtoto wa Katibu wa Fedha na Uchumi wa Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Amos Makala, Gabriel Makala (12), amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chipukizi Taifa.

Duh!Vyeo vingine jamani,ndo maana siasa ni kizungu zungu tu,"Katibu wa fedha na uchumi wa Taifa" ama "Katibu wa fedha na uchumi wa ccm?Ama mwandishi alimaanisha kuwa Ndg Makala ni katibu wa fedha na uchumi wa Taifa kutoka chama cha ccm?Duh,nashindwa hata kuelewa,wenye ujuzi watujuze.
 
wajukuu zangu babu yenu nimerudi. kwanza nipeni pole kwa maradhi ya uzee yaliyonipata maana imekuwa tabu kila ninaposikia mambo hayaendi vizuri kwa kuwa ENZI ZA MWALIMU................watu walikuwa hawasemi sana tofauti na siku hizi. wenyewe mnaita demokrasia. na kwa kuwa pumzi nimejaaliwa ngoja nami niseme.

katika nchi yetu ambayo demokrasia inazidi kukuwa kuna mambo ambayo nadhani haywezi epukika.lakini pia, mtakubaliana nami kuwa katika jamii ambayo maisha yake ni ya ufugaji uhodari wa mtoto upimwa kwa .......................

labda kidogo niwaeleze jinsi nilivyomfahamu jakaya na familia yake yote.

mzee mrisho kikwete alikuwa ni kiongozi wa kabila la wakwere na kwa nafasi yake hiyo waingereza walimpa nafasi ya kuwa bwana muamua mashtaka na mambo yote yanayotokea katika eneo hilo. ni ukweli kuwa utawala wake ulienziwa sana na kwa nyakati tofauti amekuwa nguzo kubwa sana katika kuimarisha na kuwaamsha watanzani juu ya kugombania haki zao na hasa nazungumzia haki zao ambazo ni za msingi sana (chief marealle,1998).nimeweka kumbukumbuku ili nikukumbusheni maneno ya mtawala huyu wa kichaga , ambaye katika nyakati fulani amekuwa akikutana na mwenzake huyu katika vikao mbalimbali na hivi ndivyo alivyomfahamu.anaendelea kuwa picha anazo na kwa wale watako itaji kumbukumbu wawaone wahusika watazipata.bwana mrisho kikwete ni babu wa mheshimiwa raisi wetu.

khalfan kikwete snr ni baba wa mh.raisi wetu. huyu naye kwa nafasi yake katika nyakati tofauti alifuata nyayo za baba yake. naye alikuwa mtawala katika eneo hilo la ukwere. alifanya kazi zake na hata wakoloni walimuona anafaa na akachaguliwa katika nafasi mbalimbali za kiutawala kipindi hicho. kwa nafasi zake amewahi kuhudumia jamii katika maeneo mbalimbali kama same,lushoto na hata baadae kuja kustaafu huko bagamoyo kwao.

ninajaribu kuonyesha hapa ni kwamba hili suala la siasa na uongozi ndani ya fanilia hii halikuanza leo. ni jambao la siku nyingi na kama hauamini basi angalia hapa.baada ya bwana khalfan snr akaja jakaya kikwete. huyu mwanangu ameshika nafasi nyingi sana za kiuongozi hadi leo. nazungumzia kutoka ukatibu wa chama hadi uraisi. kwa wale wanamfahamu mwanye ridhiwani ni kwamba yeye naye alianzia kama wakuu wake hawa. yeye amekuwa katika chipukizi na hata sasa vijana.

wenzake watakumbuka wakati yupo shule ya msingi na kumbukumbu zinatuonyesha kuwa alikuwa mcheza gwaride na baadae kiongozi wa chipukizi shuleni kwao. sio kiongozi wa kupewa bali alifanya kampeni na wenzake wakamuamini na kumpa nafsi hiyo.

sasa ni nini cha kushangaza kwa khalfan jr kuwa kiongozi ndani ya chipukizi, wajukuuu zangu. ni nini kinachowakwaza hadi mnaona msokoto ndani ya roho zenu. msifanye hivyo.

yawezekana hawa wanangu wamelewa au wanaugua siasa lakini kwangu mimi nashauri nasi tufuate nyayo hizi. viongozi wazuri ni wale wanaolelelwa katika mfumo mzuri. maana nataka kuamini kuwa moja ya matatizo makubwa yanayotukabili leo ni lundo la viongozi ambao hawakijui chama wala hata msingi wa nchi.

watu wameruka kutoka kusiko juliakana wakapewa madaraka makubwa. sasa baada ya kusaidia siasa ya chama kwa kuwasaidia wananchio wao wananeemesha matumbo yao. lakini kwa kijana kama khalfan jr. ni imani yangu kuwa akilelewa vizuri akaelekezwa juu ya nini mambo yanakuwa na jinsi gani yanaendeshwa atakuwa kiongozi mzuri sana. hapa simzungumzii yeye peke yake , nazungumzia yeye na chipukizi wenzake.

nashangaa wajukuu zangu wengine mnaandika humu ndani hata kanuni ya chipukizi hamuijui. kuna mtu anadai huyu ni mtoto hata uendeshaji haujui...........ahahahahaha angalia vizuri utaratibu waliowekeana chipukizi wa ccm. utaratibu umeeleza umri gani mtu anatakiwa kuwa kiongozi.

ni ukweli usiofichika kwamba mfumo mzuri walionao unaweza wasaidia. huu ni umri wa kujifunza na kuwafanya watambue na kwamba wanapoingia kwenye umri wa ujana wawe ni watu wa kufanya kazi tu.

nafikiri umenielewa ngoja nilale kidogo maana mikono inaniuma.
 
mzee mrisho kikwete alikuwa ni kiongozi wa kabila la wakwere na kwa nafasi yake hiyo waingereza walimpa nafasi ya kuwa bwana muamua mashtaka na mambo yote yanayotokea katika eneo hilo. ni ukweli kuwa utawala wake ulienziwa sana na kwa nyakati tofauti amekuwa nguzo kubwa sana katika kuimarisha na kuwaamsha watanzani juu ya kugombania haki zao na hasa nazungumzia haki zao ambazo ni za msingi sana (chief marealle,199.nimeweka kumbukumbuku ili nikukumbusheni maneno ya mtawala huyu wa kichaga , ambaye katika nyakati fulani amekuwa akikutana na mwenzake huyu katika vikao mbalimbali na hivi ndivyo alivyomfahamu.anaendelea kuwa picha anazo na kwa wale watako itaji kumbukumbu wawaone wahusika watazipata.bwana mrisho kikwete ni babu wa mheshimiwa raisi wetu.

khalfan kikwete snr ni baba wa mh.raisi wetu. huyu naye kwa nafasi yake katika nyakati tofauti alifuata nyayo za baba yake. naye alikuwa mtawala katika eneo hilo la ukwere. alifanya kazi zake na hata wakoloni walimuona anafaa na akachaguliwa katika nafasi mbalimbali za kiutawala kipindi hicho. kwa nafasi zake amewahi kuhudumia jamii katika maeneo mbalimbali kama same,lushoto na hata baadae kuja kustaafu huko bagamoyo kwao.

ninajaribu kuonyesha hapa ni kwamba hili suala la siasa na uongozi ndani ya fanilia hii halikuanza leo. ni jambao la siku nyingi na kama hauamini basi angalia hapa.baada ya bwana khalfan snr akaja jakaya kikwete. huyu mwanangu ameshika nafasi nyingi sana za kiuongozi hadi leo. nazungumzia kutoka ukatibu wa chama hadi uraisi. kwa wale wanamfahamu mwanye ridhiwani ni kwamba yeye naye alianzia kama wakuu wake hawa. yeye amekuwa katika chipukizi na hata sasa vijana.

wenzake watakumbuka wakati yupo shule ya msingi na kumbukumbu zinatuonyesha kuwa alikuwa mcheza gwaride na baadae kiongozi wa chipukizi shuleni kwao. sio kiongozi wa kupewa bali alifanya kampeni na wenzake wakamuamini na kumpa nafsi hiyo.

sasa ni nini cha kushangaza kwa khalfan jr kuwa kiongozi ndani ya chipukizi, wajukuuu zangu. ni nini kinachowakwaza hadi mnaona msokoto ndani ya roho zenu. msifanye hivyo.

yawezekana hawa wanangu wamelewa au wanaugua siasa lakini kwangu mimi nashauri nasi tufuate nyayo hizi. viongozi wazuri ni wale wanaolelelwa katika mfumo mzuri. maana nataka kuamini kuwa moja ya matatizo makubwa yanayotukabili leo ni lundo la viongozi ambao hawakijui chama wala hata msingi wa nchi.

watu wameruka kutoka kusiko juliakana wakapewa madaraka makubwa. sasa baada ya kusaidia siasa ya chama kwa kuwasaidia wananchio wao wananeemesha matumbo yao. lakini kwa kijana kama khalfan jr. ni imani yangu kuwa akilelewa vizuri akaelekezwa juu ya nini mambo yanakuwa na jinsi gani yanaendeshwa atakuwa kiongozi mzuri sana. hapa simzungumzii yeye peke yake , nazungumzia yeye na chipukizi wenzake.

nashangaa wajukuu zangu wengine mnaandika humu ndani hata kanuni ya chipukizi hamuijui. kuna mtu anadai huyu ni mtoto hata uendeshaji haujui...........ahahahahaha angalia vizuri utaratibu waliowekeana chipukizi wa ccm. utaratibu umeeleza umri gani mtu anatakiwa kuwa kiongozi.

ni ukweli usiofichika kwamba mfumo mzuri walionao unaweza wasaidia. huu ni umri wa kujifunza na kuwafanya watambue na kwamba wanapoingia kwenye umri wa ujana wawe ni watu wa kufanya kazi tu.

nafikiri umenielewa ngoja nilale kidogo maana mikono inaniuma.

hamna cha maana hapa, ule ulikuwa utaratibu wakati wa chama kimoja kwa sasa naona mnaanda vifisadi ya taifa la kesho, havitaona ndani sababu chama chenu days are numbered jindanganyeni na chipukizi yenu.

cha msingi ni kuwaanda watoto wawe wazalendo waweze kutetea maslahi ya taifa hili na si vinginevyo.
 
Watoto hao walichagua kwa utashi wao, au ni vile huyo ni mtoto wa Rais na kampeni walipiga watu wengine kabisa. Hawa watoto badala ya kuhamasishwa kujipatia maarifa, wanafundishwa mipango ya kifisadi. sijui hata kama wenyewe wanajua wanagombea nini?
Kinte, I give you five. This is humiliation of children. It is brain washing and torturing of children. Children should not participate in politics until they are 18 or above. This is another way of misusing public funds. It is either child slavery and brain washing and torture. It is not either confidence building!
 
wajukuu zangu babu yenu nimerudi. kwanza nipeni pole kwa maradhi ya uzee yaliyonipata maana imekuwa tabu kila ninaposikia mambo hayaendi vizuri kwa kuwa ENZI ZA MWALIMU................watu walikuwa hawasemi sana tofauti na siku hizi. wenyewe mnaita demokrasia. na kwa kuwa pumzi nimejaaliwa ngoja nami niseme.

katika nchi yetu ambayo demokrasia inazidi kukuwa kuna mambo ambayo nadhani haywezi epukika.lakini pia, mtakubaliana nami kuwa katika jamii ambayo maisha yake ni ya ufugaji uhodari wa mtoto upimwa kwa .......................

labda kidogo niwaeleze jinsi nilivyomfahamu jakaya na familia yake yote.

mzee mrisho kikwete alikuwa ni kiongozi wa kabila la wakwere na kwa nafasi yake hiyo waingereza walimpa nafasi ya kuwa bwana muamua mashtaka na mambo yote yanayotokea katika eneo hilo. ni ukweli kuwa utawala wake ulienziwa sana na kwa nyakati tofauti amekuwa nguzo kubwa sana katika kuimarisha na kuwaamsha watanzani juu ya kugombania haki zao na hasa nazungumzia haki zao ambazo ni za msingi sana (chief marealle,1998).nimeweka kumbukumbuku ili nikukumbusheni maneno ya mtawala huyu wa kichaga , ambaye katika nyakati fulani amekuwa akikutana na mwenzake huyu katika vikao mbalimbali na hivi ndivyo alivyomfahamu.anaendelea kuwa picha anazo na kwa wale watako itaji kumbukumbu wawaone wahusika watazipata.bwana mrisho kikwete ni babu wa mheshimiwa raisi wetu.

khalfan kikwete snr ni baba wa mh.raisi wetu. huyu naye kwa nafasi yake katika nyakati tofauti alifuata nyayo za baba yake. naye alikuwa mtawala katika eneo hilo la ukwere. alifanya kazi zake na hata wakoloni walimuona anafaa na akachaguliwa katika nafasi mbalimbali za kiutawala kipindi hicho. kwa nafasi zake amewahi kuhudumia jamii katika maeneo mbalimbali kama same,lushoto na hata baadae kuja kustaafu huko bagamoyo kwao.

ninajaribu kuonyesha hapa ni kwamba hili suala la siasa na uongozi ndani ya fanilia hii halikuanza leo. ni jambao la siku nyingi na kama hauamini basi angalia hapa.baada ya bwana khalfan snr akaja jakaya kikwete. huyu mwanangu ameshika nafasi nyingi sana za kiuongozi hadi leo. nazungumzia kutoka ukatibu wa chama hadi uraisi. kwa wale wanamfahamu mwanye ridhiwani ni kwamba yeye naye alianzia kama wakuu wake hawa. yeye amekuwa katika chipukizi na hata sasa vijana.

wenzake watakumbuka wakati yupo shule ya msingi na kumbukumbu zinatuonyesha kuwa alikuwa mcheza gwaride na baadae kiongozi wa chipukizi shuleni kwao. sio kiongozi wa kupewa bali alifanya kampeni na wenzake wakamuamini na kumpa nafsi hiyo.

sasa ni nini cha kushangaza kwa khalfan jr kuwa kiongozi ndani ya chipukizi, wajukuuu zangu. ni nini kinachowakwaza hadi mnaona msokoto ndani ya roho zenu. msifanye hivyo.

yawezekana hawa wanangu wamelewa au wanaugua siasa lakini kwangu mimi nashauri nasi tufuate nyayo hizi. viongozi wazuri ni wale wanaolelelwa katika mfumo mzuri. maana nataka kuamini kuwa moja ya matatizo makubwa yanayotukabili leo ni lundo la viongozi ambao hawakijui chama wala hata msingi wa nchi.

watu wameruka kutoka kusiko juliakana wakapewa madaraka makubwa. sasa baada ya kusaidia siasa ya chama kwa kuwasaidia wananchio wao wananeemesha matumbo yao. lakini kwa kijana kama khalfan jr. ni imani yangu kuwa akilelewa vizuri akaelekezwa juu ya nini mambo yanakuwa na jinsi gani yanaendeshwa atakuwa kiongozi mzuri sana. hapa simzungumzii yeye peke yake , nazungumzia yeye na chipukizi wenzake.

nashangaa wajukuu zangu wengine mnaandika humu ndani hata kanuni ya chipukizi hamuijui. kuna mtu anadai huyu ni mtoto hata uendeshaji haujui...........ahahahahaha angalia vizuri utaratibu waliowekeana chipukizi wa ccm. utaratibu umeeleza umri gani mtu anatakiwa kuwa kiongozi.

ni ukweli usiofichika kwamba mfumo mzuri walionao unaweza wasaidia. huu ni umri wa kujifunza na kuwafanya watambue na kwamba wanapoingia kwenye umri wa ujana wawe ni watu wa kufanya kazi tu.

nafikiri umenielewa ngoja nilale kidogo maana mikono inaniuma.

Huu ni upuuzi mtupu; Tanzania tuna vizazi vingi sana vya watemi lakini mbona wao hawakutafuta madaraka kwa njia za kutumia majina ya wazazi wao: Anza na Nyerere mwenyewe na uzao wake halafu uunganishe akina Chief Fundikira, Chief Mang'enya, Chief Marealle, Chief Mkwawa, Chief Massanja, Chief Mazengo, ................... na kadahalika. Mbona watoto wao hawakugombea madaraka kwa kutumia majina ya wazazi wao? Familia ya Kikwete imeaza kugombea madaraka baada ya baba yao kuingia madarakani: wakiongozwa na mama mwenyewe ndipo watoto wote na ndugu wengineo wakafuata ili mradi tu wawe na surname ya Kikwete.
 
Mkuu tatizo pale ambapo mkuu wa nchi akiwa na watoto lukuki basi hiyo NEC inakuwa wao tupu - ha ha ha

Point - mtoto asiende kwenye siasa kwa mgongo wa babake, aingie kwa choice yake kama anataka - na nyie wazazi acheni kuwasumbua watoto wadogo kwa mambo yenu ya ajabu ajabu - .
 
Hongereni Chipukizi wote mlioshinda na kupata nafasi ya kuwakilisha chipukizi wengine!

What is chipukizi, is this title feasible to our youngsters??? can psychologist, sociologist advice on this.
 
Hii kweli kali, nasikia wengine wana miaka 7, sasa mtoto wa miaka 7 anakuwa eti kiongozi wa kamati ya Uendeshaji wa Taifa anajua hata uendeshaji maana yake nini labda uendeshaji wa magari ya makopo.
hahahaaaaa! hii kali.

unategemea mtoto wa Manyire kwa mkulima wa mahindi hekari moja, na mfanya-vibarua kwenye mashamba ya maua ambaye tayari amepandisha kenchi kwa madawa makali ya maua, anaweza kusimama na mtoto wa rais kwenye kugombania!! uongozo?? kwanza atasikia wapi kuwa kuna chipukizi? atakwenda kwa uangalizi wa nani huko morogoro?

Kuna mtu kasema wamechagua kuwa wanasiasa. wanajua siasa ni nn? au ndo yale ya halikuwa chaguo langu la kwanza.
 
Huu ni upuuzi mtupu; Tanzania tuna vizazi vingi sana vya watemi lakini mbona wao hawakutafuta madaraka kwa njia za kutumia majina ya wazazi wao: Anza na Nyerere mwenyewe na uzao wake halafu uunganishe akina Chief Fundikira, Chief Mang'enya, Chief Marealle, Chief Mkwawa, Chief Massanja, Chief Mazengo, ................... na kadahalika. Mbona watoto wao hawakugombea madaraka kwa kutumia majina ya wazazi wao? Familia ya Kikwete imeaza kugombea madaraka baada ya baba yao kuingia madarakani: wakiongozwa na mama mwenyewe ndipo watoto wote na ndugu wengineo wakafuata ili mradi tu wawe na surname ya Kikwete.

...Inferiority Complex ? ? ? ? Uswahili Swahili ? ? ?
 
assalam aleykum baraza...........

naomba ninukuu maneno haya kwanza....hizi ni chuki na majambo ambayo kwangu mm sioni kama yana tija yeyote.

hebu tuangalie wajukuu zangu haya mambo yametokea wapi na tujiulize kwa ufasaha.

suala la watoto wa vigogo kutaka madaraka sio hapa tu tanzania ni tatizo hata huko kwenye dunia zilizokwisha endelea. ni ukweli usiofichika kwamba katika demokrasia hakuna kilichokigumu kuzuiliwa kama uhuru wa mtu kuchagua nini akifanye na kwa wakati gani....... hivyo basi naomba niwakumbushe maneno ya wahenga kuwa.....................SAMAKI MKUNJE ANGALI MBICHI...

kwa upande mwengine nahisi ni uwoga tu wa watu au kutojitambua kwa baadhi ya watu juu ya nini wakifanye hasa pale wanapotaka jambo lao.mfano, kenya wakati wa uchaguzi mkuu uliopita walipiga kura za hapana kwa kijana uhuru kenyatta. kwa nini walifanya hivyo kwa mtoto wa muasisi kama mjukuu wangu mmoja alivyojaribu eleza wasiwasi wake........jibu ni dogo , kwa kuwa watu wanaelewa nini maana ya demokrasia na kwamba watu hawapendi kuburuzwa. nafikiri hata kwa tanzania jambo hili linawezekana. hatuwezi waangalia hawa kama watoto wa vigogo na kuwapa madaraka.

point ninayojaribu eleza katika barua yangu ya jana ni kwamba , mtoto huyu ni mtoto ambaye anaandalia kwa ajili ya majukumu nawe si mbaya kuwa na wako ukamuandaa. hebu tujiulize ni viongozi wangapi ambao watoto wao ni vigogo.

mwisho kabisa hebu nikukumbushe juu ya watoto wa vigogo na historia ya tanzania.kwa unasaba kabisa nianze na

BABA WA TAIFA
tanzania huru na tanu yashika hatamu, katika chama cha TANU kipindi hicho, MWALIMU NYERERE , RAISI WA TANU........JOSEPH NYERERE, KATIBU MKUU TANU YOUTH LEAGUE.... ambao kwa sasa ni UVCCM

ALLY HASSAN MWINYI
watoto wawili... ABDALLAH MWINYI,MBUNGE AFRIKA MASHARIKI.......HUSSEIN MWINYI....WAZIRI WA ULINZI

KARUME
ALLY KARUME....BALOZI UJERUMANI, NA MWENGINE NIMEMSAHAU

CHIEF MAREALLE
AGGREY MAREALLE......YUPO KINYANG'ANYIRONI MOSHI

MASAUNI
MASAUNI SR.....ALIKUWA MKUU TUME YA UCHAGUZI ZANZIBAR ILIYOMTANGAZA KARUME MSHINDI TERM YA PILI, ......HAMAD MASAUNI....MWENYEKITI VIJANA.

GEORGE BUSH
SR.....NA JR WOTE UNAWAFAHAMU

BILL CLINTON
MUME NA MKE NAFIKIRI UNAWAFAHAMU

ZITO KABWE
NAFIKIRI UNANIELEWA NINAPOKUAMBIA KUWA YUPO MAMA YAKE....WANAWAKE NA NDUGU YAKE MUHONGA........

FREEMAN MBOWE
BABA MKWE, MZAZI MWENZAKE NA BIBI YAKE WA KAMBO......

MALECELA
ALIYEWAHI KUWA WAZIRI MKUU.....IPYANA ......ALIYEWAHI KUWA MWENYEKITI WA UVCCM DSM, LAKINI ALIKUJA FARIKI BAADAE.........MUNGU AMREHEMU MJUKUU WANGU HUYU.

CHIEF MKWAVINYIKA WA UHEHE
ADAM SAPI.....ALIKUWA SPIKA TOKA UHURU, NA MKWAWA MWENGINE YUPO KINYANG'ANYIRONI KALENGA.

kwa kweli mjukuu wangu , ni wengi maana naanza hata kupata tabu nikiangalia kila pande za dunia hii.

kubwa zaidi ni kwamba naomba nikukumbushe.....HATA MBUYU ULIANZA KAMA MTI WA MAUA.....hawa wote unaowaona leo wana mwanzo wao. kuna baadhi wazee wao hawakushika uongozi lakini baada ya baba mtu kushika uongozi basi watoto nao walifuatia. usiogope na kuna baadhi ya vyeo hata havipaswi kuogopwa.mfano ujumbe wa mkutano mkuu hasa kama ule wa CCM ambao unawakutanisha watu zaidi ya 1900....mh! nashindwa elewa kuwa nini madhara ya mtu kama mama salma zaidi ya kura yake moja tu.

AKSANTENI.
naomba nikapumzike.
 
A common response from the intellectually void.

mmmmm, I have a feeling U got me wrong there, Brother. What I meant was Is Kikwete family doing what you say it is doing because of inferiority complex or because of Uswahiliswahili? Pardon me if your bandiko is not directed at who I think is :p!
 
Accept my apologies please!!
 
Back
Top Bottom