Mtoto wa Kike.

Baada ya hii so touchy thread hatimaye Mjukuu Mtiifu napanda kitandani nikitabasamu kwa kicheko............Klorokwini!! I cant you Mkuu, you are another loh........eti watakuloga enitaim

...mnh, haya wee! usisahau kushusha chandarua. mbu wengi leo, LOL!
NITE NITEY!
 
...kaunga acha tu,
Kuna mdada mwenye matatizo ya uzazi aliwahi kuniambia hataki wazo la ku adopt.
Yu tayari kuuza kila kilicho chake agharamie matibabu abebe mwenyewe Mimba yake.

Mdada kama huyo, (pamoja na maombi na kuelimishwa risks za infant/maternal mortality)
ni nadra sana kwa uliye na mtoto/watoto kumuelewa kilio chake.
Hivyo ndivyo ilivyo kwangu.

Ninavyotamani kuwa na Binti wangu mwenyewe, yataka imani thabiti kukubaliana na usemi shukuru ulichojaaliwa.
Najua Mw'Mungu anakijua kilio cha rohoni mwangu. Nilimtanguliza, na bado naendelea kumtanguliza.
Ila mnh, muda wa ku enjoy na "princess" unanitupa mkono,...

Mbu hapa umenisikitisha mwenzio asubuhi asubuhi lol!
 
Mwe Maty we acha tu.....mie jana kaniliza na kunifanya nimuote !!!

Mwe Mjukuu mtiifu maisha haya unaweza jiona unamatatizo na mawazo peke yako, kumbe mko wengi, ukimuona mtu anatembea barabarani kwa furaha, anaongea kwa furaha unadhani kila kitu ni shwari, kumbe moyoni ana yake. Mi niliiona hii thread usiku nikawa nashangaa labda kuna mtu kaiba password ya mbu, asubuhi hii ndio nikaanza kuisoma yote kwa umakini lol nimeishia kuingiwa na majonzi tu hapa
 
Big up kwa mleta mada na wachangiaji wote wa hii thread. Nimejifunza mengi kutoka kwenu. Mbu kaka be content with what u have and be blessed with the grace of God.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
ASANTE KWA MTOA HII THREAD, IMEKAA KIUTU UZIMA PIA IMEELIMISHA SANA HASA KWA MTU MZIMA ANAYEJUA/THAMINI MAANA, HAKI,MALEZI,UMUHIMU,FAIDA,HASARA,MAJUKUMU,YA FAMILIA NA WATOTO WETU.
KUMBUKA KUNA TABIA ZA KURITHI, SO UKITAKA KUWA NA WATOTO WENYE MAMA/BABA TOFAUTI BASI OMBA MUNGU SANA HAO WAZAZI WAO WAWE WENYE TABIA NZURI NYINGI NA MBAYA KIDOGO , LAKIN UKIPATA MZAZI MWENYE TABIA MBAYA NYINGI NA NZURI KIDOGO, HAPO TENA UTAKUWA UMEWASHA MOTO KWENYE FAMILIA HATA UKAJUTA KWA NINI UMECHANGANYA TABIA KWENYE FAMILIA MOJA.
NINA MFANO 1 HAI.
Kuna ndugu yangu ana watoto wa kiume, alikuwa na shida sana na mtoto wa kike japo yeye ndoa yake inaendelea kuwepo, akatafuta huko mwanamke akamzalisha bila kufuatilia sana tabia ya yule mwanamke wa nje(kumbe anatabia mbaya kupita maelezo). Baada ya mwanamke kujifungua, Mwanaume akampa taarifa mkewe alikasirika sana lakin baadaye wakasuluhisha na maisha yanaendelea,mke alimwambia akifika 3 years amlete home,mtoto akaletwa analelewa vizuri sana na mtoto anaheshima nzuri sana kwa Mama yake mlezi,baba na kaka zake , ana 20yrs huwezi kujua kama ni mama tofauti kwa jinsi wanavyoishi kwa upendo. SIJUI NI UJINGA UNAMSUMBUA HUYU MWANAUME SIELEWI, kwani Mwanaume akazaa tena na mwanamke yuleyule wa nje mtoto tena wa pili, naye pia akaletwa pale home na kulelewa na mkewe tena LAKIN cha ajabu huyu mtoto ni tofauti kabisaaa kitabia na hawa watoto wengine tabia yake ni mbaya sana sana kwa kila mmoja ktk hiyo familia hata dada yake hampendi kabisa. BABA yake anatamka kuwa anajuta knn alirudia tena kuzaa na yule mwanamke,,ila sasa imejulikana kuwa kumbe huyu mdogo karithi tabia nyingi toka kwa Mama yake, wakati yule mkubwa karithi toka kwa Baba ndiyo maana hakuleta shida ktk malezi pamoja na kuelewana na nduguze.Mama mlezi,baba,watoto wote wanaendeshwa na huyu mtoto kupita maelezo kila wanalomfanyia hakubali,haelewi,hasikii wamempeleka kwa mwanasaikolojia wala haisaidia,wapo tu wanasubiri muujiza wa MUNGU utokee abadilike tabia.

Kupitia huu mfano naamini utaongezea ufahamu zaidi ,juu ya ule uliopewa na wana JF wengine.
 
...kuna wa manjano na matende, shaurilo!

Hivi, kwani kuoa/kuolewa ndio kuzaa?
Msipojaaliwa mtoto je?

naomba kujua mcmamo wako hapo utakapopata wa kiume, nae utamchukua?..2 b honest Mbu kuna ugumu sana kwa mwanamke kukubali hii ishu, tena kwa "binti" khaa...kingine ni kwamba utataka kumchukua huyo binti akiwa na umri gani?
 
duh mawazo mengine bana?????????

ila nakupongeza kwa kuwa na hamu ya kuwa na mtoto wa kike !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! sema hizo mikakati sizikubali
 
Kama hayo ni kweli, mpe huyo mkeo space na umwambie bado unamhitaji maishani. Utakuwa uamuzi bora kuliko wa kutafuta mwanamke mwingine ili uzae nae. This is risky, unaweza ruka jivu ukakanyaga moto.

Pia huna uhakika kama mwanamke utayempata akakuzalia mtoto wa kike, anayedetermine jinsi ya mtoto ni mwanaume.

kama ameshaolewa? nadhani mtu haitaji usuluhishi wa ndoa yake anachohitaji ni mwanamke kujilipua na kumzalia mtoto wa kike then amchukue yeye na mwanamke wacjuane kimapenzi bali ki uzazi zaidi.....hayo ya ndoa yake tumuachie mwenyewe kwasasa.
 
Mwe Maty we acha tu.....mie jana kaniliza na kunifanya nimuote !!!

...mnh?, lile wazo langu la kutafuta mke JF nalisitisha kwanza, LOL!

ASANTE KWA MTOA HII THREAD, IMEKAA KIUTU UZIMA PIA IMEELIMISHA SANA HASA KWA MTU MZIMA ANAYEJUA/THAMINI MAANA, HAKI,MALEZI,UMUHIMU,FAIDA,HASARA,MAJUKUMU,YA FAMILIA NA WATOTO WETU.
KUMBUKA KUNA TABIA ZA KURITHI, SO UKITAKA KUWA NA WATOTO WENYE MAMA/BABA TOFAUTI BASI OMBA MUNGU SANA HAO WAZAZI WAO WAWE WENYE TABIA NZURI NYINGI NA MBAYA KIDOGO , LAKIN UKIPATA MZAZI MWENYE TABIA MBAYA NYINGI NA NZURI KIDOGO, HAPO TENA UTAKUWA UMEWASHA MOTO KWENYE FAMILIA HATA UKAJUTA KWA NINI UMECHANGANYA TABIA KWENYE FAMILIA MOJA.
NINA MFANO 1 HAI.
Kuna ndugu yangu ana watoto wa kiume, alikuwa na shida sana na mtoto wa kike japo yeye ndoa yake inaendelea kuwepo, akatafuta huko mwanamke akamzalisha bila kufuatilia sana tabia ya yule mwanamke wa nje(kumbe anatabia mbaya kupita maelezo). Baada ya mwanamke kujifungua, Mwanaume akampa taarifa mkewe alikasirika sana lakin baadaye wakasuluhisha na maisha yanaendelea,mke alimwambia akifika 3 years amlete home,mtoto akaletwa analelewa vizuri sana na mtoto anaheshima nzuri sana kwa Mama yake mlezi,baba na kaka zake , ana 20yrs huwezi kujua kama ni mama tofauti kwa jinsi wanavyoishi kwa upendo. SIJUI NI UJINGA UNAMSUMBUA HUYU MWANAUME SIELEWI, kwani Mwanaume akazaa tena na mwanamke yuleyule wa nje mtoto tena wa pili, naye pia akaletwa pale home na kulelewa na mkewe tena LAKIN cha ajabu huyu mtoto ni tofauti kabisaaa kitabia na hawa watoto wengine tabia yake ni mbaya sana sana kwa kila mmoja ktk hiyo familia hata dada yake hampendi kabisa. BABA yake anatamka kuwa anajuta knn alirudia tena kuzaa na yule mwanamke,,ila sasa imejulikana kuwa kumbe huyu mdogo karithi tabia nyingi toka kwa Mama yake, wakati yule mkubwa karithi toka kwa Baba ndiyo maana hakuleta shida ktk malezi pamoja na kuelewana na nduguze.Mama mlezi,baba,watoto wote wanaendeshwa na huyu mtoto kupita maelezo kila wanalomfanyia hakubali,haelewi,hasikii wamempeleka kwa mwanasaikolojia wala haisaidia,wapo tu wanasubiri muujiza wa MUNGU utokee abadilike tabia.

Kupitia huu mfano naamini utaongezea ufahamu zaidi ,juu ya ule uliopewa na wana JF wengine.

...Nnunu, ahsante sana kwa mchango wako. Hilo la tabia wengi wetu tunali overlook pia, shukran sana kulitanabahisha kwa kina.

naomba kujua mcmamo wako hapo utakapopata wa kiume, nae utamchukua?..2 b honest Mbu kuna ugumu sana kwa mwanamke kukubali hii ishu, tena kwa "binti" khaa...kingine ni kwamba utataka kumchukua huyo binti akiwa na umri gani?

...Dada'ngu Nyamayao, kwa ufupi...nimeghairi wazo hili baada ya kupata maoni ya kutosha jana.
I will go for the 2nd Option...(Mke), then tutapojaaliwa mtoto, yeyote ...Awe wa kike/kiume/ mapacha haya.
 
Mhhh..hapo pagumu...

lakini hasara mojawapo ni kwa huyo mtoto atakayezaliwa, kukosa upendo wa wazazi wote wawili, tatizo ambalo linaweza kumuathiri mtoto psychologically. Kama alivyosema mjumbe mmoja hapo juu, kama kuna uwezekano wa kusameheana na ex-wife wako, itakuwa ni njema sana, ili muweze kulea watoto wenu kwa pamoja. Hakuna aliye perfect katika dunia ya leo!

Ni mawazo yangu tu......

wengine labda hamjapata purukushani za ndoa ukajihic ni bora ukae mwenyewe ulee watoto wako mwenyewe, hicho kitu hakipo kwenye dunia ya sasa, kama baba jina utagangamala tu ilimradi watoto walelewe na wazazi wote kumbe mzazi mmoja kimeo?
 
nashukuru umeamua kubadili mawazo kweli mbu usiache mbachao kwa msale upitao,rudi lea watoto wako salini uzao wenu ubarikiwe.
 
Nenda shule kasome biology. Unafikiri mke mwingine ndo atakuzalia wakike? Kweli we wa zamani.
 
Nenda shule kasome biology. Unafikiri mke mwingine ndo atakuzalia wakike? Kweli we wa zamani.

...mnh, hapa kijijini kwetu sie watu wazima tunafundishwa kiswahili na hesabu tu.
Haya dada Remmy, nitamshtakia Mw'mungu hiyo baiyoloji.

Foamboard-30mph-speed-limit-sign.gif

...Next time Read from the 1st Page.
 
...Dada'ngu Nyamayao, kwa ufupi...nimeghairi wazo hili baada ya kupata maoni ya kutosha jana.
I will go for the 2nd Option...(Mke), then tutapojaaliwa mtoto, yeyote ...Awe wa kike/kiume/ mapacha haya.[/QUOTE]

Umeamua uamuzi wa busara sana kaka yangu na mimi naamini mungu ameshasikia maombi yako na utapata mtoto wa kike. Usiudharau ushauri wa nyamayao kuhusu MJ1 tangaza nia bana jf tuselebuke
 
...kuna nyakati hunijia wazo nitafute mw'mke anizalie mtoto wa kike, aniachie mtoto (aendelee na maisha yake.) Sihitaji mke:nono:, wala kujaribu mtoto mwingine na my Ex-Wife wangu, (mama wa wanangu wawili wa kiume.)

Cute-Black-Babies.jpg

Nini faida/hasara za jambo hilo?

Utafahamuje kuwa mtoto atakayezaliwa atakuwa wa kike?
 
...mnh?, lile wazo langu la kutafuta mke JF nalisitisha kwanza, LOL!

...Nnunu, ahsante sana kwa mchango wako. Hilo la tabia wengi wetu tunali overlook pia, shukran sana kulitanabahisha kwa kina.

...Dada'ngu Nyamayao, kwa ufupi...nimeghairi wazo hili baada ya kupata maoni ya kutosha jana.
I will go for the 2nd Option...(Mke), then tutapojaaliwa mtoto, yeyote ...Awe wa kike/kiume/ mapacha haya.

Nimefanya vizuri kuufatilia huu mjadala hadi mwisho kabla sijatoa mawazo yangu. Ukweli kisayansi mengi, kama sio yote, yanawezekana, likiwemo hilo la kuchagua jinsia ya mtoto kabla ya kutunga mimba. Ukiwa na pesa unaweza kumlipa mdada akakulelea hiyo mimba na mtoto kuzaliwa na huyo mdada msijuane tena. LAKINI, kitu ambacho sayansi wala pesa haviwezi kufanya ni kununua mapenzi na mtoto anahitaji mapenzi na ukaribu wa wazazi wake, hasa MAMA.

Kutokana na hilo, ninaungana na wote waliotangulia kukushauri kurejeana na Ex. Mara nyingi mnapotengana inakuwa fursa kwa kila mmoja kujiuliza (kosa langu nini na nilikuwa na bado ninampenda) na kujisahihisha; na mnaporejeana mnaanza kwa tahadhari ya kutorejea makosa. Kwa kukupa moyo zaidi:
- Kumbuka ule msemo "Bora mbaya unayemjua kuliko mwema usiyemfahamu" au "Zimwi likujualo".
- Kumbuka wema mtakaowafanyia watoto wenu mtaporejea kuwa chini ya paa moja.
- Kumbuka, malezi mema kwa watoto ni kutokana na Mama na Baba (with few exceptions).
- Kumbuka kuwa katika ndoa/mahusiano yoyote si kila kitu ni "barabara ya mawaridi*" Kumbuka hata muwaridi una miiba.
Mwisho lakini muhimu kuliko yote - FIKIRI TENA NA TENA KABLA YA KUCHUKUA UAMUZI WA MWISHO - Kila la heri.
 
...Dada'ngu Nyamayao, kwa ufupi...nimeghairi wazo hili baada ya kupata maoni ya kutosha jana.
I will go for the 2nd Option...(Mke), then tutapojaaliwa mtoto, yeyote ...Awe wa kike/kiume/ mapacha haya.

Umeamua uamuzi wa busara sana kaka yangu na mimi naamini mungu ameshasikia maombi yako na utapata mtoto wa kike. Usiudharau ushauri wa nyamayao kuhusu MJ1 tangaza nia bana jf tuselebuke[/QUOTE]

nadhani itahudhuriwa na members wote...hahaha..jokes aside, kaka Mbu...fanyia kazi ushauri wangu plz..
 
Back
Top Bottom