Mtoto wa kike wa miaka 9 afariki baada ya kukeketwa huko tarime

Foundation

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
1,421
596
Mtoto wa kike wa miaka 9 amefariki huko Tarime baada ya kukeketwa. Bibi wa mtoto huyo anashikiliwa na polisi wa kanda maalumu ya Tarime. Wakati mtoto huyo akipelekwa kukeketwa na bibi yake, mama wa mtoto alikwenda hospitali.

Mama wa mtoto akihojiwa amesema, mtoto wake alikuwa anamlazimisha bibi yake ampeleke kukeketwa.

Source: TBC

Nawasilisha
 
Kweli habari ya kusikitisha... May her soul rest in peace.
Huyo bibi apelekwe mahakamani, na kwa Mungu ahukumiwe vile vile... shame on her!
 
Hiyo ndiyo faida ya serikali legelege ya Jakaya Mrisho Kikwete,Ari mpya,Kazi mpya na Nguvu mpya. Kwanini kampuni binafsi isipewe kazi ya ulinzi kwa raia? Jeshi la police ni hasara kwa Taifa letu. Lala kwa Amani ya Bwana mtoto wetu!
 
Back
Top Bottom