Mtoto wa kike Jicho!

mimi angenipa mgongo tu ndo ningemuhukumu kama kweli aninifaa isije akawa pasi lohh
 
attachment.php

Aisee kweli

Mkuu huyu nishatumiwa sana picha zake akitaka msaada kuwa anaishi Burkina faso na alitoweka kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe huko Congo ya Kinshasa, hii picha inatumika sana kutapelia watu kwenye mitandao na kama wewe ni mfuatiliaji sana wa inshu za net utakubaliana na mimi.

Mara ya kwanza nilipotumia hii picha udenda ulinitoka ila nilipoambiwa nitoe Dollar 300 ili aje Bongo ndo akiri ikastuka kumbe naibiwa, Kiukweli huyu huko aliko ni balaa, na sio mbongo huyu. Heshima kwake anaekula mzigo huu ila kaeni chonjo msije ingizwa chaka kwa kutumia hiyo picha.
 
huyo demu anaitwa "kumwaga ni tamu" mnyarwanda uyo picha zake ziko facebook kibao unaweza msearch anauza sana hilo D booty
 
kaka hao ni matapeli wa kinaijeria, wanajifanya ni mademu, mara utasikia ooh baba yabgu alikuwa tajiri kafa kaacha usd m 100, mara mama wa kambo alitaka kuniua nikakimbila senegal, nahitaji masaada wako wa kutoa hizo pesa nawe ntakupa 30 percent ya mzigo, ukienda naye sanaaaaa utasikia naomba unisaidie us 1000 kama gharama ya kupata courty statement hapa senegal niwajulishe kama wewe ndio next keen wa hizo pesa. Utakuta anakutumia mpaka cheki za benki za marehemu babayake, na benki yao wanayoipenda atakwambia pesa ziko Scotland Loyal Bank.... ni wezi tu hao.. wanaibia watu, ni madume tya kinaijeria yanajifanya mademu... achana nayo hayo.
 
Mkuu huyu nishatumiwa sana picha zake akitaka msaada kuwa anaishi Burkina faso na alitoweka kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe huko Congo ya Kinshasa, hii picha inatumika sana kutapelia watu kwenye mitandao na kama wewe ni mfuatiliaji sana wa inshu za net utakubaliana na mimi.

Mara ya kwanza nilipotumia hii picha udenda ulinitoka ila nilipoambiwa nitoe Dollar 300 ili aje Bongo ndo akiri ikastuka kumbe naibiwa, Kiukweli huyu huko aliko ni balaa, na sio mbongo huyu. Heshima kwake anaekula mzigo huu ila kaeni chonjo msije ingizwa chaka kwa kutumia hiyo picha.

kweli kabisa kaka me mwenyewe nimeshawai kutumiwa picha na maelezo kama hayo kama mara tatu hv then wanakwambia wazazi wao walikuwa na mahela
 
Mwizi tu.

Kesho utaona wengine zaidi ya huyo, denda litakutoka.

Wacha tamaa. Ridhika na ulonae. Umwonae wewe mrembo wenzako wameshaponda. Usiambukize wenzako tamaa shetani weeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mwaka jana dawa za penzi feki 100 milioni zimeingia nchini,na watoto ndo hawa kazi ipo.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom