Eeewalaaaaa! ni jicho la ukweli
kuna mshikaji kaniambia polisi huyo..yupo central ya kibaha maili moja..
Dah! kwa haka situmii dawa ya Penzi! wacha nife kiume!!!
Anapatikana wapi?
kuna mshikaji kaniambia polisi huyo..yupo central ya kibaha maili moja..
Mbona mimi mke wangu ni polisi na kila kitu kiko saaafi kabisa
Du! Wakubwa mnafaidi! Ngoja nami nikikua.
Anaitwa nani huyo?
Si Mtanzania, hii picture nimeiona sehemu nyingine!
Dah! kwa haka situmii dawa ya Penzi! wacha nife kiume!!!