Hilo nalo neno....!kwa wale mnaotoa jibu la BIN je katika Kiswahili kuna maneno yasioishia na a,e,i,o,u?
Hilo nalo neno....!kwa wale mnaotoa jibu la BIN je katika Kiswahili kuna maneno yasioishia na a,e,i,o,u?
s/o kwenye hizo document za kisheria ina maana gani?Umenikumbusha bushi loya mmoja alikuwa anadhani s/o kwenye document za kisheria ni urembo tu kaandika HADIJA s/o BAKARI
Son Ofs/o kwenye hizo document za kisheria ina maana gani?
Najuwa mkuu, ila nilitaka nimuone huyo mwandikaji kama anaelewa maana yake.Son Of
Naomba kuondolewa ujinga, nimeulizwa na mtoto mdogo anayesoma darasa la tatu nimeshindwa kumjibu na kuishia
kumpigia stori nyingine ili asahau swali lake, lakini kamekomaa kila muda kananikumbusha.....sijui nani amekatuma!! Msaada tafadhali...
kwa wale mnaotoa jibu la BIN je katika Kiswahili kuna maneno yasioishia na a,e,i,o,u?
Hapana mkuu hapa umetuburuza,waarabu wanatumia BINTI kwa mwanamke yeyote ambaye hajaolewa,msinielewa vibaya mimi nilifanya kazi na mama mmoja wa ki-Lebanon umri wake ulikuwa mkubwa wakuweza kuwa hata bibi lakini alikuwa ni binti,ni pia kulikuwa msichana ambaye pia alikuwa hajaolewa,walikuwa wakimchukulia kuwa ni binti...kwa lugha nyingine wanachukulia binti ni mwanamke bikira hivyo kutomuita binti mwanamke ambaye hajaolewa ni kama umemdharauNa kwa Kiarabu maana yake ni hiyo hiyo.... Ni matumizi tu.
sasa hapo ni kiswahili au kiarabu?Mtoto wa kiume huitwa "bin"
Mkuu, unaweza kumwita mwanamke yeyote Bint, ila unapaswa umalizie na jina la baba yake. Na mara nyingi watu wazima uwaita wanawake waliowapita umri kwa namna hiyo.Hapana mkuu hapa umetuburuza,waarabu wanatumia BINTI kwa mwanamke yeyote ambaye hajaolewa,msinielewa vibaya mimi nilifanya kazi na mama mmoja wa ki-Lebanon umri wake ulikuwa mkubwa wakuweza kuwa hata bibi lakini alikuwa ni binti,ni pia kulikuwa msichana ambaye pia alikuwa hajaolewa,walikuwa wakimchukulia kuwa ni binti...kwa lugha nyingine wanachukulia binti ni mwanamke bikira hivyo kutomuita binti mwanamke ambaye hajaolewa ni kama umemdharau
Hapa nimejibu ile hoja kuwa kwa "waarabu ni hivyo hivyo ni matumizi tu" narudia tena nilivyo eleza ndio sahihi kuwa waarabu binti ni UBIKIRA,lakini sisi tumechakachua hivyo maana tuichukulie vile tunavyotumia sisi lakini wenye neno lao asili maana ni hiyo.Mkuu, unaweza kumwita mwanamke yeyote Bint, ila unapaswa umalizie na jina la baba yake. Na mara nyingi watu wazima uwaita wanawake waliowapita umri kwa namna hiyo.
Vile vile wazee wengi wa kike uitwa kwa nama hiyo, Bint likifuatia jina la baba yake, na si lazima hawe bikra.
Mimi binafsi nimeshuhudia wazee wanawake wengi wakiitwa kwa majina ya baba zao kwa namna hii: Bint Matola (Utasikia wakitamka: Bit Matola).
Na si kweli bint lazima hawe bikra ndio aitwe kwa jina la bint... haweza kuwa kesha olewa na akaendelea kuitwa bint fulani.
Naomba kuondolewa ujinga, nimeulizwa na mtoto mdogo anayesoma darasa la tatu nimeshindwa kumjibu na kuishia kumpigia stori nyingine ili asahau swali lake, lakini kamekomaa kila muda kananikumbusha.....sijui nani amekatuma!! Msaada tafadhali...
Kaka kuweka herufi kubwa na rangi nyingi nyingi, haimaanishi kuwa upo sahihi.Hapa nimejibu ile hoja kuwa kwa "waarabu ni hivyo hivyo ni matumizi tu" narudia tena nilivyo eleza ndio sahihi kuwa waarabu binti ni UBIKIRA,lakini sisi tumechakachua hivyo maana tuichukulie vile tunavyotumia sisi lakini wenye neno lao asili maana ni hiyo.
kila lugha ina utamaduni wake so waswahili wana utamaduni wao..
so mfano mtoto wa kike ataitwa binti abdallah
ina maana ni msichana ambae baba yake ni abdalah
na mvulana ataitwa bin adballah.....
so ndo maana waarabu bado still wanatumia
utasikia bin sleyum
au bin bahdelaah n.k
NGOJA NIGUGO KWANZANaomba kuondolewa ujinga, nimeulizwa na mtoto mdogo anayesoma darasa la tatu nimeshindwa kumjibu na kuishia kumpigia stori nyingine ili asahau swali lake, lakini kamekomaa kila muda kananikumbusha.....sijui nani amekatuma!! Msaada tafadhali...
.Haitwi bin,nawalahakuna maana yoyote ya bin kama bin isipokuwa kama unaeleza mtoto wa kike baba yake ni nani (mfano asha bin abdalah)
Mtoto wa kiume in MWANA..... ukisikia mwana mfalme jua huyo ni mtoto wa kiume wa mfalme.
Nadhani utakajibu katoto kakalale!
.usilete ubishani wa kijinga
na mwana hamisi je
mwana iddi?????????
usichanganye bara na pwani
hizi culture tofaouti