Mtoto wa kike huitwa "BINTI" wa kiume anaitwaje?

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,983
12,701
Naomba kuondolewa ujinga, nimeulizwa na mtoto mdogo anayesoma darasa la tatu nimeshindwa kumjibu na kuishia kumpigia stori nyingine ili asahau swali lake, lakini kamekomaa kila muda kananikumbusha.....sijui nani amekatuma!! Msaada tafadhali...
 
kila lugha ina utamaduni wake so waswahili wana utamaduni wao..

so mfano mtoto wa kike ataitwa binti abdallah
ina maana ni msichana ambae baba yake ni abdalah

na mvulana ataitwa bin adballah.....

so ndo maana waarabu bado still wanatumia

utasikia bin sleyum
au bin bahdelaah n.k
 
Haitwi bin,nawalahakuna maana yoyote ya bin kama bin isipokuwa kama unaeleza mtoto wa kike baba yake ni nani (mfano asha bin abdalah)

Mtoto wa kiume in MWANA..... ukisikia mwana mfalme jua huyo ni mtoto wa kiume wa mfalme.

Nadhani utakajibu katoto kakalale!
 
usilete ubishani wa kijinga
na mwana hamisi je
mwana iddi?????????

usichanganye bara na pwani
hizi culture tofaouti
 
Haitwi bin,nawalahakuna maana yoyote ya bin kama bin isipokuwa kama unaeleza mtoto wa kike baba yake ni nani (mfano asha bin abdalah)

Mtoto wa kiume in MWANA..... ukisikia mwana mfalme jua huyo ni mtoto wa kiume wa mfalme.

Nadhani utakajibu katoto kakalale!

Kwenye red panahusika, ni mtoto wa kiume na kwenye mabano mfano huo ni wa jina la kiume, yaani inaweza kuwa harun bin abdalah, samahani kwa usumbufu.
 
usilete ubishani wa kijingana mwana hamisi jemwana iddi?????????usichanganye bara na pwanihizi culture tofaouti
Hakuna mtu anayeitwa Mwana Hamisi ila "Mwanahamisi" wala Mwana Idd ila "Mwanaidi" i.e no space, neither is there, two capital letters.Sawa mazee, tusidanganyane, hapa hakuna cha upwani wala ubara, what matters is the truth, okay ?
 
Katavi I am sorry nimeshindwa jibu maana sielewi, ni
ile tu sijawahi bahatika kukuta umepost topic - kutoka kapa
nimeshindwa.. hop u get answers... Hivyo..

napita....
 
Naomba kuondolewa ujinga, nimeulizwa na mtoto mdogo anayesoma darasa la tatu nimeshindwa kumjibu na kuishia kumpigia stori nyingine ili asahau swali lake, lakini kamekomaa kila muda kananikumbusha.....sijui nani amekatuma!! Msaada tafadhali...

Mkuu
wacha na mimi nidandie hapo hapo:
Dume la Ng'ombe huitwa Fahari
Dume la Mbuzi huitwa Beberu
Dume la Kuku huitwa Jogoo
Je dume la mbwa huitwaje?
Nawasilisha wakuu.
 
Kijana wa mzee ...binti wa mama...ila ukienda kweny wingi mhh vijana inainclude he/she.mabinti inabakia na maana ya wakike tu.kiswahli kigumu akijakamilika.
 
Mtoto wa kiume huitwa bin.
Mfano Asha Said ni Asha Bint Said
john Mbelwa inakuwa John bin Mbelwa.
Hapo ndipo tunapata neno ubin au Jina la Baba.
 
Mtoto wa kike kiswahili ni msichana. Mtoto wa kiume ni mvulana.

Wakipita umri wa utoto wote ni wana.

Ukitaka kuwatambulisha kwa nasaba ya uzazi mtoto wa kiume ni bini na wa kike ni binti.
 
[h=2]Re: Mtoto wa kike huitwa "BINTI" wa kiume anaitwaje?[/h]
Mtoto wa kiume huitwa bin.
Mfano Asha Said ni Asha Bint Said
john Mbelwa inakuwa John bin Mbelwa.
Hapo ndipo tunapata neno ubin au Jina la Baba.​

Katavi and Katavi like this.

katavi and katavi???????
mpo wawili????
 
Back
Top Bottom