Mtoto wa kike anampenda baba yake hadi anamwonea wivu mama yake

Bolivar

JF-Expert Member
Oct 23, 2010
229
103
Tulikuwa kwenye uhusiano na huyu mrembo, kati ya vitu alivyowahi ku confide kwangu ni kuwa yupo close, anampenda sasa baba yake.

Nikataka kujua uhusiano na mama yake ukoje akaniambia hawako close sana, eti anakuwa kama anamuonea wivu mama yake. Sikuitilia maanani kauli hii ila sasa nimehamasika kupata maana yake ya ndani.

Wana jamvi hii maana yake nini?
 
Mrembo mmoja aliwahi ku confide kwangu kwamba yupo close/ anampenda sana baba yake. Nilitaka kujua uhusiano na mama yake uko vipi, akaniambia hawapo karibu sana. Akanitonya ukweli ni kwamba ni kama anamuonea wivu mama yake. Sikuitilia maanani kauli yake kipindi kile ila sasa nimehamasika kuitazama kwa kina.

Wanajamvi hii maana yake nini?
 
Watoto wa kike mara nyiiiingi hupendwa saaaana na baba zao kuliko hata mama zao...
Na mara nyingi mama ndio hujua what is best for the Daughter... baba mara nyingi
hapimi saaana anataka ampe kila kitu binti yake ile tu kuepusha asichezewe na wanaume
wengine kama yeye baba anavyochezea wa wenzie OR anaona marafiki na wanaume kwa
ujumla wanavyochezea mabinti... inevitably binti atampenda baba zaidi kuliko mama....
Tembelea hapa... courtesy ya topic ya Nyumba Kubwa...

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/145304-watoto-wa-kike-na-baba-zao.html
 
hiki kitu kipo psychologicaly na kinaanzia utotoni always mtoto huwa na mapenzi ya ziada kwa mzazi wa opposite sex
Nimekumbuka inaitwa oedupus complex (cna hakika saana na speling) na ya mtoto wa kiume na mama yke naperuz kdgo ntawambia hii kitu tulisoma chuo na ilileta contrevesy sana ila ni very interesting. Na hii relation huanzia tumboni ila hudevelop na kushamiri kwa kutegemea response ya mzazi kwa hyo mtoto, response ikiwa negative inaweza leta chuki kubwa saaana kati yao
 
I love my dad to Death,Unconditional love, there is no word can express my love to him. Hamna mwanaume nitakayempenda kama baba yangu.
cha ajabu ni kwamba nimelelewa na mama(she was single mother) after separated with Dad. He didnt do anything mpaka hapa nilipofikia.
hajawahi kunipeleka shule wala chuo(mafanikio yote niliyonayo ni kwa ajili ya jitihada za mama yangu) Ila nampenda Baba than mama

Familia nzima inajua, na ukitaka unitibue akili basi ongelea vibaya kuhusu baba yangu

I love you papa.
 
Tulikuwa kwenye uhusiano na huyu mrembo, kati ya vitu alivyowahi ku confide kwangu ni kuwa yupo close, anampenda sasa baba yake. Nikataka kujua uhusiano na mama yake ukoje akaniambia hawako close sana, eti anakuwa kama anamuonea wivu mama yake. Sikuitilia maanani kauli hii ila sasa nimehamasika kupata maana yake ya ndani, Wana jamvi hii maana yake nini?
Hivyo ndivyo wataalamu wa saikolojia ya watoto wasemavyo. Mkuu hili swala linaukweli kwani hata mimi nimeisha thibitisha! Jaribu kuchunguza vizuri mwenendo wa watoto wa hapo mtaani kwenu au kwa watoto wa wapangaji wenu!
 
Nilikua nampenda sana Baba kuliko mama mwanzo lakini baada ya kua mjamzito nikaona ile tabu niliyoipata nilijisikia vibaya sana,nilijua umuhimu wa mama na tabu alopata juu yangu bila kificho nampenda sana Mama sana tena, baba nampenda pia lakini asilimia 90 % Mama
 
I love my dad to Death,Unconditional love, there is no word can express my love to him. Hamna mwanaume nitakayempenda kama baba yangu.
cha ajabu ni kwamba nimelelewa na mama(she was single mother) after separated with Dad. He didnt do anything mpaka hapa nilipofikia.
hajawahi kunipeleka shule wala chuo(mafanikio yote niliyonayo ni kwa ajili ya jitihada za mama yangu) Ila nampenda Baba than mama

Familia nzima inajua, na ukitaka unitibue akili basi ongelea vibaya kuhusu baba yangu

I love you papa.

Duh una moyo kweli kweli. Hata baada ya kukupotezea bado unamthamini baba kuliko mama! Samahani kama nimekuudhi lakini nadhani kukosa hayo mapenzi yake ndiyo unajilazimisha kwake.
 
Tulikuwa kwenye uhusiano na huyu mrembo, kati ya vitu alivyowahi ku confide kwangu ni kuwa yupo close, anampenda sasa baba yake. Nikataka kujua uhusiano na mama yake ukoje akaniambia hawako close sana, eti anakuwa kama anamuonea wivu mama yake. Sikuitilia maanani kauli hii ila sasa nimehamasika kupata maana yake ya ndani,

Wana jamvi hii maana yake nini?

"Yawezekana huyo baba kuna vitu alivyowahi kuwa anampa au kumfanyia mambo fulani binti yake huyo vilivyokuwa vikikonga moyo wake mtoto wa kike huyo. Tena binti huyo kabaini kuwa vitu hivyo au mambo hayo yamekuwa yakitolewa kwa mama yake tangu yeye binti akiwa mdogo"
 
nakumbuka kusoma mahali na baadae nika-prove kuwa watoto wa kike walio close na baba zao wanachelewa sana kujiingiza kwenye ulimwengu wa mapenzi ( good galz u can say), na the same applies kwa watoto wa kiume walio close na mama zao. Na inahitaji kuwa mwanaume makini kuweza kuupenyeza moyo wa wadada wa aina hii (na wakaka wanahitaji a strong personality). Ulishawahi kuona mtoto wa kike ambae halali usiku hadi baba arudi,hata kama ni usiku and they dont sleep pamoja? kakangu ana binti anamuita bodyguard! hatolala, na akirudi anaulizwa ''papa, where were u?'', mama anakuwa anajichekelesha tu wakati wa ma-interrogation!

hiki kitu kipo psychologicaly na kinaanzia utotoni always mtoto huwa na mapenzi ya ziada kwa mzazi wa opposite sex
 
Nikiwa mdogo nilikuwa pia nina tabia ya kung'ang'ania kulala na baba. Yani usiku nachukua mto wangu nagonga kwa wazazi, walishanizoea. Basi mpaka leo baba anakumbushia nilivyokuwa nampenda. It is natural na si mbaya labda kwa wazee wenye laana wanaotembea na binti zao. Baba akiwa close na mtoto wa kike na akawa ni mtu mwenye muda wa kumfundisha baya na zuri ni kweli binti anakuwa ni mtulivu na atafanya awezalo kumplease baba ikiwemo ku work hard darasani (but if you real mentor your daughtor).

nakumbuka kusoma mahali na baadae nika-prove kuwa watoto wa kike walio close na baba zao wanachelewa sana kujiingiza kwenye ulimwengu wa mapenzi ( good galz u can say), na the same applies kwa watoto wa kiume walio close na mama zao. Na inahitaji kuwa mwanaume makini kuweza kuupenyeza moyo wa wadada wa aina hii (na wakaka wanahitaji a strong personality). Ulishawahi kuona mtoto wa kike ambae halali usiku hadi baba arudi,hata kama ni usiku and they dont sleep pamoja? kakangu ana binti anamuita bodyguard! hatolala, na akirudi anaulizwa ''papa, where were u?'', mama anakuwa anajichekelesha tu wakati wa ma-interrogation!
 
I love my dad to Death,Unconditional love, there is no word can express my love to him. Hamna mwanaume nitakayempenda kama baba yangu.cha ajabu ni kwamba nimelelewa na mama(she was single mother) after separated with Dad. He didnt do anything mpaka hapa nilipofikia.hajawahi kunipeleka shule wala chuo(mafanikio yote niliyonayo ni kwa ajili ya jitihada za mama yangu) Ila nampenda Baba than mamaFamilia nzima inajua, na ukitaka unitibue akili basi ongelea vibaya kuhusu baba yanguI love you papa.
unadhani unampenda, ila hujajua kama unajipendekeza. Na babako anajua unajipendekeza ndo maana amekususa japo umefika hadi chuo. Mapenzi ya kweli lazima yawe na msingi wake, hayo yako kwa babako hayana msingi wowote labda una ajenda binfsi.
 
ieleweke kwamba ni kweli mtoto wa kike anakuwa na mapenzi sana na baba yake anapokua na umri mdogo, ila anapoanza ku mature hii hali inabadilika taratibu na mapenzi yote yanahamia kwa mama. Mi naona sio kawaida kwa jimama zima kutangazia watu eti nampenda baba kuliko mama, je ni mapenzi gani hayo ambayo unayoweza kufafanua yanayozidi mapezi ya kawaida ya mtoto na mzazi? Stupid, ndo maana huwa kuna visa vya akina baba kufanya ngono na binti zao kwa ajili ya upuuzi kama huu.
 
Yaani mpaka anona wivu????kwa baba yak mzazi..............kisa mama yake mzazi?????....................
Hainiingii akilini hata kidogo............kwa hiyo anatamani yeye ndio angekuwa anapata huduma anayopewa mama yake kama mke.....au?????

Kwa watoto wadogo naona mara nyingi inakuwa hivyo...............ila ukishakuwa..............inakuwa kawaida tu..................tena mapenzi yanahamia kwa mama kwa asilimia kubwa.................

Hili silisapoti hata kidogo!
 
Back
Top Bottom