mtoto wa kihindi msaada

Nipo katika ofisi mpya, tumetokea kumpenda mtoto wa kihindi mzuri kwa kweli anavutia.

Msaada kwa mwenye uzoefu wa watoto wa namna hii. Mbinu nipeni nimpate.
..kumbe mpo zaidi ya mmoja na kama ktk hilo kundi kuna chalii wa kihindi juwa unapoteza wakati wako.
 
Hivi kwa nini eti wanawake wa kihindi hawana makalio ya kutamanisha mwanaume au akiwa nayo ni flat kama pasi? Bila kuwasahau wajapani na wachina??? Ila wao wanatutengenezea ya kukuzia makalio wakati wao hawataki makubwa!!! Mwanamke bila kalio na mguu nouma!!! Sistuki!!
 
duh! Man wahindi wanapendana wenye ciunajua mambo ya taboo zao wanataka kabila lao 2 man achana naye atakuumza 2 wependa wabogo wenzako mbona wako bomba 2.wahindi unapoteza muda
 
Utateseka bure ndugu hao kuwapata syo kazi ndogo pasua kichwa.
 
Umempenda, So what? Msaada wa nn unahitaji? Namna ya kumtongoza au? swali bado bichi.
 
Kama una vidonda vya tumbo, muone Dr Rahabu mapema, hao hata maziwa ya mama kwa mtoto yanawekwa pilipili.
 
Hamna kitu. Ni wa hovyo na wachafu tena wenye roho nyepesi.Ni wabaguzi hasa wazazi wao.Huwezi kufika mbali naye.Waulize waliooa wahindi walipokwenda kule kusoma watakwambia matatizo yote. Ukimuoa akiwa kwao anakuwa mali sawa na mwanamke yeyote.Ila akifika bongo na kukuta kuwa kumbe kuna sehemu yenye wahindi wenye maisha mazuri kuliko kwao,watamshawishi aachane nawe.Ingawa kwao ni apeche alolo wakifika huku hujisahau na kujifanya wametokea peponi wakati India ni motoni kuliko bongo.
 
Back
Top Bottom