Mtoto wa kigogo akamatwa na dawa za kulevya huko China - Dr Slaa

Status
Not open for further replies.
Huoni imekuvutia hata wewe kusoma?

Kwa hiyo sisi tufanyaje sasa?maana anataja tu anataja tu hata hasemi ni nini cha kufanya,mwambie aweke wazi halafu pia atuambie na sisi wananchi inatufaidisha nini hiyo habari isije ikawa kama ya zito kabwe alikuwa anatishia kuwa atawataja wenye pesa uswisi ilhali kumbe na yeye ana pesa huko..aache mambo ya kuwafanya wananchi hawana akili huyo dokta slaa,hata kama nashabikia chama ila ktk udhaifu lazima kusema ili waweze kuwa vizuri zaidi
 
Kiroba ni kitu hatari sana ukichanganya na kuberi


Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Hata angekuwa mwanangu ningefanya kama alivyofanya kikwete, hata angekuwa mwanao wewe ungefanya kama alivyofanya kikwete. Nitajieni ni nani anayeipenda hii nchi kuliko mwanae....... Ni mwakyembe? Au sitta? Au lema?
 
Kwani huyo anaejitaja mimi ninani? Story fek hii. Huyo mtu anaeweza kua kwenye msafara wa Jk halafu aje avujishe siri hilo haliwezekani kwani Ikulu hawapatikani watu wa aina hiyo . Kumbuka Sadam Huseni aliuwawa mafichoni akiwa na " Watu wake wa Karibu" na watu wa namna hio ndio Rais hua anawatumia kwenye mambo nyeti kama haya.
 
Uzushi mtupu. Hong Kong is autonomous. Hu Jintao hana Ikulu Hong Kong. Hong Kong ina serikali yake yenyewe.
 
lakini ni kweli huu uzushi, maana mtoto wa kigogo mwenyewe mwezi uliopita tu alienda huko, kweli ukutwe na skendo kama hiyo na bado tu hiyo nchi wakuruhusu huwe unaingia, labda mtoto wa kigogo mwingine, labda kigogo lowassa ama mkapa au makamba lakini huyu hakuna, najua kinachomponza washikaje wake wengi ni watu wa nyunga, mbona ata wengine wanao washikaji wa hivyo lakini awaambiwi kwamba wao nao wako kwenye hiyo biashara.
 
Haya mambo yanachanganya sana lakini nakumbuka siku niliposikia habari za wizi wa mabilioni ya EPA kutoka kwa Dr. Slaa huyu huyu sikuamini na nikamlaumu sana kwa kuwa anafanyia kazi porojo za kwenye internet.

Hata hivyo haikuchukua muda mrefu wizi ule wa mabilioni ya EPA uliwekwa bayana na kila mtanzania analijua hilo, hadi hivi sasa hatujui fedha zilizorudishwa na hao wezi zimeishia wapi!!

Kwa hili tusubiri muda utasema tu. Kumbuka ukweli ni kama mpira uliojaa upepo huwezi kuuzamisha ndani ya maji ukaa huko huko, utapanda juu mara.
 
Kwa sheria za China inawezekana kweli?

Kwanini isiwezekane mkuu? hakuna kinachoshindikana chini ya jua wakapiga hesabu ya faida watakayopata wakimpiga risasi na faida ya uwekezaji nadhani jibu ni rahisi watakubali kumwachia waje kujichotea utajiri wetu huku.
 
huyo mtoto wa kigogo jina lake ni nani je...?
1.je ni kigogo mburahati

2.au ni kigogo luhanga

3.au ni kigogo mwisho

4.au ni kigogo sambusaaa

5.au ni kigogo....festini

mhh.....hapa dk.slaaaaa umechemshaaaa ...........umekosaaa la kuongeaaaaa
 
yaani tumeuza nchi yetu na kuamua kuwapa madini wachina kisa ili mtu mmoja aachiwe kwa kosa la kupatikana na madawa ya kulevya...kwanza china alikua anafanya nini wakati anajua ukikamatwa kule ni death row hakuna kingine...huyu mtoto balaa investment yote aliyonayo hapa tanzania kwanini bado anajiendeleza na biashara ya unga? anamkosea heshima baba yake, aisee huyo balozi wa china anajua mengi itabidi siku aandike kitabu atueleze yaliyotokea baada ya mzee ku step down 2015
 
Mtoto wa kigogo akamatwa na mihadarati China.

Mtoto anayeaminika kuwa wa mmoja wa viongozi wa juu wa serikali ya JK anatuhumiwa kukamatws na madawa ya kulevya katika uwanja wa ndege nchini China zinazokisiwa kuwa na thamani y ash bilioni nne za Kitanzania.

Tukio hilo zito linalogusa moja kwa moja uadilifu wa kigogo huyo wa serikali limemsukuma jana Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Wilbrod Slaa kumtaka Rais jakaya Kikwete kuwaambia ukweli Watanzania juu ya tuhuma hizo alizodai zinaigusa serikali yake.

Akihutubia umati mkubwa wa watru katika mkutano wa hadhara uliofanyika jana mjini Sikonge mkoani Tabora, Dk Slaa alisema kuwa taarifa za uhakika kutoka China zinasema kuwa Julai mosi mwaka huu vijana wenye asili ya Afrika walikamatwa Uwanja wa Ndege wa Hong Kong wakiwa na madawa ya kulevya zenye thamani ya Sh bilioio 4 ambapo mkuu wa kitengo cha mihadarati uwanjani hapo Yiu-Kwong alitaja majina ya vijana hao wawili, likwemo jina la kijana anayedaiwa kuwa mtoto wa mmoja wa viongozi wa serikali ya TZ.

"Mimi nemepokea taarifa hii kutoka China moja kwa moja. Tunamtaka Rais kikwete aseme ukwewli ni upi, maana taarifa hizi sasa zimeanza kuzagaa kwenye mitandao kuwa mtoto huyo wa kigogo serikalini kwake amekamatwa na dawa za kulevya huko China," alisema Dr Slaa.

Aliongeza: "Tangu zianze kujulikana hazojakanushwa mahali popote. Tunamtaka aeleze yeye maana alishindwa kutaja majina ya wauza mihadarati………………….


Hii ni sehemu ndogo ya habari hiyo katika Tanzania Daima la leo Jumamosi ambayo ndiyo stori yake kuu ukurasa wa mbele.
 
Ngumu kuamini! What could be the motive? Maanake Kama mi fedha ananjia nyingi za wizi zenye lower risks anaweza kutumia!
Labda tu awe amebambikwa!
 
Haya mambo jamani c mchezo..Jana nilipata taarifa toka kwa jirani yangu hapa kuwa Binti ake amekamatwa China na madawa ya kulevya..!!anaishi Mikocheni..nilimtia moyo sn huyu Mzee ila ki ukweli China watamtenganisha Kichwa...!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom