Mtoto wa kigogo ahusishwa tukio la ubakaji hoteli ya KNCU

Mtu unakula mke wa mwenzio,dawa yako ni wewe mwenyewe kuliwa tu ili uone inavyouma. Unajua ule ni ubavu wa mwenzio,wewe unafanya masihara.

Mademu wako wengi sana,tena very desperate kupata watu, lakini wewe unaona watu tumeamua kuweka ndani demu kaondolewa frustration zote unavamia tu.

Tengeneza chako bwana,vinaelea vimeundwa hivyo,siyo kuparamia tu. Watu wa moshi na arusha kasi yenu ya kudhibiti mipakashume nimeipenda,mwaka jana tu nimesikia mtu kakatwa uume arusha.

Aluta continua wala wake wa watu mwaka 2010 ni lazima tuwale sana.

KAMA MTU ANAHITAJI MSAADA WA KUMUUNDIA MTANDAO WA MASELA WA KUMLA MTU ANAYEKULA MKE WAKE, TAFADHALI NI PM NITAKUSAIDIA KUPATA VIJANA WA KAZI NA MPANGO MZIMA TUNAUNDAA.
 
Chakaza, wanawake wengi sana wanaisigina amri ya 6 na hawasitukiwi na mtu. Hapo ujue yule mwanamke alikuwa hamtaki jamaa, akamweleza mmewe, wakalitegea *****, wakalifanyizia. Siku hizi ni dili, hasa mjini. Yule sio ujanja wa mwanamme bali mke na mme wamemfanyizia.

Sawasawa kabisa, iendelee hii tamu. Ukila, unaliwa!
Wamesema mwanamume alikamata simu ya mkewe na kuwasiliana na huyo jamaa. Hivyo sio kusema hilo ni dili na mkewe. Mkewe ni mwasherati na yeye badala ya kufata maandiko "mtu asimwache mke ila kwa sababu ya uzinzi" yeye akaona alawiti. KOSA KWA KOSA.
Haya nini hatima yake? ni jela tuu na mama ataendelea kutoa tena sasa kwa nafasi. Kitendo alichofanya anastahili adhabu kali.
 
yes!!! hiyo babukubwa, ninafikiri itakuwa njia nzuri ya kuwakomesha watu hawa wanaopenda wake za watu, unamuona mzuri tu unafikiri hagharamiwi. big up kwa wote waliomfanyia hivyo
 
Si unyama kaka, kula cha mtu ni Kifo. we hujui watu husema Kucheza na mke wa mtu ni sawa na kucheza na moto.? na mara nyingi watu hawa huonywa almost 3 times, ya nne mzee yanakufika maswahibu kama haya.

Huyu jamaa bora asingeriport police maana yake siri imefichuka kwamba kavunjiwa duka na watu zaidi ya 5, aibu tupu bora angekauka akajitibia akapona yakaisha.

Elnino, hivi huyo dada alibakwa? wanasema toa boriti kwenye jicho lako ndio uone kibanzi kwenye jicho la mwenzako... kama angekua fair, basi angewasha na mkewe

in many cases, we degrade ourselves by thinking that two wrongs make it right
 
Mkuu Abdulhalim, naona hujaoa wewe. Kama unaye mke, hebu fikiria, ashakum si matusi, jamaa linahemea mkeo shingoni, utajisikiaje? Halafu mkeo anatoa ushirikiano wa kutosha! Duh! Basi acha sheria ichukue mkondo, lakini mkondo unaweza kuelekezwa kwa mlawitiwa vile vile, tehetehetehetehetehe.

Mkuu bado najiuliza, sijui alikata na mauno! au aligangamala!
Kitendo cha kutembea na mke wa mtu ni kibaya sana. Inauma sana. Ila mke pia atakuwa mwenye makosa. Maana jamaa atakuwa alikubaliana na huyo mke. Wanawake wengi siku hizi hawajatulia kabisa.

Hivyo si vyema kumlaumu jamaa pekee, maana hata mke alihusika kufanikisha. Isipokuwa tu kama mke alibakwa na jamaa.
 
Hii ndiyo dawa ya mipakashume,wao wake za watu tu. Me mwenyewe nikigundua mke wangu analiwa,lazima jamaa naye liwe,nitamkodia masela wamle tena nachukua na video,akisema tu na release video.

Maana watu wamezidi kuhemea wake za watu.

Mbona mnamuongelea tu huyo mwanaume? Kwani huyo mwanamke hakujua yeye ni mke wa mtu? kwa nini akubali kuwa na uhusiano na mwanaume mwingine? Ni aibu tu za huyo mume wake kushindwa kugundua mkewe was cheating on him under his nose all this time na bado anarudi na kulala na yeye kitanda kimoja bila chembe ya aibu, Katika hiyo ndoa yao mwanamke ndiye shida na solution sio kulawiti maana bado kuna wanaume wengine atakaotoka nao, tabia ni tabia tu sasa atalawiti wanaume wangapi? Tatizo ni MWANAMKE
 
Wakuu, huyu kala vya wenzake, naye vyake vimeliwa, kosa gani la kuwapeleka mahakamani? Jamani, hebu tumuonee huruma na huyu jamaa aliyekuwa anaibiwa, yaani basi tu. Inauma sana. Aliye...tiwa simuhurumii, mbona wasichana wapo wengi sana, kwani lazima mke wa mtu?
..Wa kulaumiwa hapa ni mwenye mke...Huenda alikuwa hamtoshelezi mkewe mpaka anafikia hatua ya kwenda kumegwa nje so hata yeye asilalamike kwanza alichofanya ni jambo la kishenzi kwani mke kama anajua ana mume kwa nini alikubali kwenda kumegwa nje?? Wawafunge tu na walawiti wengine...
 
Ila hizi story za watu kumega wake za watu huko Moshi mbona zinazidi jamani? Muda si mrefu MC Lema kasababisha story ya design hizi hapa, mara hiyo. Kulikoni???
 
..Wa kulaumiwa hapa ni mwenye mke...Huenda alikuwa hamtoshelezi mkewe mpaka anafikia hatua ya kwenda kumegwa nje so hata yeye asilalamike kwanza alichofanya ni jambo la kishenzi kwani mke kama anajua ana mume kwa nini alikubali kwenda kumegwa nje?? Wawafunge tu na walawiti wengine...

Laligeni, kama nilivyosema mwanzo kabisa, kuna wanawake wengi sana siku hizi wanafanya madili na wanaume(waume ) zao, hasa kama hakupendi na unazidi kumsumbua. Wanafanikisha mtego, aidha wanakulipisha faini ya kiwizi wizi, au kukupiga picha zakukudhalilisha, na mbali zaidi wana ku "DO".

Jamani hili sio geni na tabia hii dawa yake ni kuacha wake za watu. Lakini kama kutatokea hapa wanapatikana watu wa haki za binadamu, duh!
 
Ajabu.Labda baba wa huyu mtuhumiwa ni mwanasiasa pia.

huyu mtoto wa kigogo si mtoto wa mwanasiasa ila ni mtoto wa mzee mmoja maarufu hapo moshi na ana hoteli hapo mjini jina la huyo mtoto anaitwa michael kimambo na baba yake ana hotel inaitwa rombo cottage
 
huyu mtoto wa kigogo si mtoto wa mwanasiasa ila ni mtoto wa mzee mmoja maarufu hapo moshi na ana hoteli hapo mjini jina la huyo mtoto anaitwa michael kimambo na baba yake ana hotel inaitwa rombo cottage

Kaka Maishapopote, umeamua kupasua jipu?? Basi tulishamjua kidume aliyefanyiza!
 
Back
Top Bottom