mtoto wa kichina.

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,589
4,419
Kuna siku polisi wawili wa kiTZ katika matembezi yao waliokota mtoto wa mwezi mmoja mwenye sura ya kichina.Wakashauriana nini cha kufanya na kupata jibu.Kesho yake asubuhi wakaenda kwenye chuo kimoja kinachotoa mafunzo ya lugha mbalimbali na mahojiano yalikuwa hivi:
polisi; tunahitaji kujifunza lugha ya kichina.
Mwalimu:kwa nini mmeamua kujifunza kichina.
Polisi: tumeokota mtoto wa kichina hivyo tunataka akianza kuongea tuweze kumuelewa anachosema.
 
AROO ukitoka hapo pitia kwangu nina RB sako mbiri, kwansa kuritusi geshi, piri kunibomoa mbafu...mbafu zimebrasti.
 
Jamani mbavu zangu mie lo we PM wewe una vituko:laugh::laugh::laugh:
 
huyo mtoto kama ni wa kichina basi lazima atakuwa feki tu labda ni mdori si unajua bidhaa za kichina
 
haro afande mwita hiri rimahabusu linasema uongo mbere yetu. Eti rinadai rinaitwa MAIKO lakini vyeti vyake vimeandikwa MICHAEL, rinadhani wanageshi hatujui kusoma!!! tumeenda shure nasisi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom