Mtoto wa Gaddafi auwawa katika uwanja wa mapambano

KIGENE

JF-Expert Member
Jan 22, 2011
1,552
813
article-2220949-159C20D6000005DC-277_306x423.jpg article-2220949-0E83FB7800000578-338_634x462.jpg

Khamis Gaddafi 28 mtoto wa kiume wa mwisho wa Colonel Gaddafi inasemekana ameuwawa katika uwanja wa vita kati ya majeshi ya serikali ya Libya na yale ambayo bado yanamuunga mkono aliyekuwa kiongozi wa Libya hayati Col Gaddafi katika mji wa Bani Walid.
Msemaji wa serikali ya Libya,Libya National Congress Omar Hamdan alisema Khamis alifia vitani baaa ya mapambano makali lakini hakufafanua zaidi.
Kama ilivyokuwa baada ya kifo cha babake mwaka mmoja uliopita na mwili wa Khamis unapelekwa Misrata mji wa tatu kwa ukubwa Libya.
Khamis alichukua mafunzo yake ya kijeshi huko Urusi na baadae akaja kuunda kikosi cha Brigade ya 32 mahsusi kwa ajili ya ulinzi wa babake, kikosi hicho kilituhumiwa kwa kuendesha mateso ubakaji na mauaji
.
 
Ni kitu gani kipya hapa iwapo tuliambiwa Hamis aliuawa mwaka jana na si sasa? Tupe source please.
 
Slowly, the same fate is approaching poor Tanzania..! Haiwezekani mtu mmoja afisadi 3 trilion au mtoto mdogo kama Riz1 awe bilionea.

Mkuu, baba yake riz1 ameshaliona hili la mtoto wake kuozea jela, ndio maana anang'ang'ania 'dual citizenship'... Kama kweli riz1 ana akili timamu kichwani, inampasa kutambua kuwa mwisho wa baba yake kutawala ni Oct 2015, inampasa kuishi kwa akili sana na kuwa makini sana, otherwiz ataozea jela au kuchomekwa vijiti...
 
Kwani dual citizenship si tayari? Kama bado mbona Rostam Aziz anayo kitambo?
 
Mkuu ishu za rostam hazieleweki, zimekaa kimagumashi mno, 50-50... Kwanza hatuelewi imekuwaje kuwaje hadi hakafika hapo kwenye 'king maker'... Lakini huyu kijana riz1 tunapafahamu kwao msoga chalinze, sasa leo hii hawezi kutuletea habari za kwamba babu yake alikuwa ni raia wa iran, saudia au oman, tunamjua vizuri, ndio maana baba yake anaharakisha hiyo 'dual citizenship', ili mtoto wake akawe raia huko... Je, unajuaje kwa sheria za oman 'raia' wake hawezi kushitakiwa na mahakama ya nje kwa makosa ya rushwa?... Hawa jamaa wanachungulia mbali sana, wanajua kuiba na kulinda pesa zao...
 
duh naona wameamua kufuta kabisa kumbukumbu la Gadaffi

Ni kama ambavyo tutafuta kumbukumbu ya kikwete na prince, it is just matter of time... Itakuwa kumbukumbu tu kwamba alishawai kutokea dogo 1 mtoto wa rais, akawa bilionea ndani ya miaka 3 tu ya utawala wa baba yake, lakini sasa dogo hayupo tena...
 
Mkuu ishu za rostam hazieleweki, zimekaa kimagumashi mno, 50-50... Kwanza hatuelewi imekuwaje kuwaje hadi hakafika hapo kwenye 'king maker'... Lakini huyu kijana riz1 tunapafahamu kwao msoga chalinze, sasa leo hii hawezi kutuletea habari za kwamba babu yake alikuwa ni raia wa iran, saudia au oman, tunamjua vizuri, ndio maana baba yake anaharakisha hiyo 'dual citizenship', ili mtoto wake akawe raia huko... Je, unajuaje kwa sheria za oman 'raia' wake hawezi kushitakiwa na mahakama ya nje kwa makosa ya rushwa?... Hawa jamaa wanachungulia mbali sana, wanajua kuiba na kulinda pesa zao...
Hicho kipengele kipo kwenye katiba mpya? Au Kiwete anafanyia wapi hizo jitihada za dua citizenship?
 
Rahisi JK alizungumzia ishu ya dual citizenship last wik alipokuwa Oman, alisema kwa kuwa Oman kuna raia wengi ambao wana ndugu zao huko TZ kwa hiyo ni vizuri kama na wao wakapata uraia wa huku pia. Tena akasema ata hakikisha hili swala linafanyika HARAKA...
 
Liwalo na liwe, akifanikiwa tu tutabaki na majengo na vituo vya mafuta vya riz1 vilivyotapakaa nchi nzima ila sina uhakika na EL kama na yeye atasema ana asili ya huko Oman.
 
Back
Top Bottom