Mtoto wa gadafi aramba matapishi yake

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
3,811
1,603
Seif Al Islam, mtoto wa Gadafi, amesema kuwa jeshi litawacha kuwashambulia "waasi" ili kuwepo na nafasi ya mazungumzo ya maelewano ya kusitisha mapigano.
Itakumbukwa kuwa tangu vurugu zianze, Seif na baba yake waliapa kuwa watapambana hadi tone la mwisho. Lakini baada ya kuona kuwa kadiri siku zinavyoendelea ndivyo wanavyabakiwa kuwa peke yao, sasa wanataka mazungumzo. Huku si kuramba matapishi yao?
Chanzo: Last Minute - Spanish International Television.​
22:38 Gaddafi's son has said that this Saturday is Expected to produce a Negotiated Ceasefire . Saif al-Islam Gadhafi has acknowledged that the army "has a problem" in Zauiya and Misrata and insisted that the army is not attacking the rebels in the west. " The Army have decided not attack the "Terrorists" so as Provide an Opportunity for negotiation ", Told Foreign Journalists in Tripoli.
 
Nilisema kuwa, Mkwara wa Ghadafi ni proportional na muda aliokaa madarakani. Ataachia ngazi tu.
 
amesema pia kuwa ana plan tatu
PLAN A:Is To live and Die ni Libya
PLAN B:Is To live and Die ni Libya
PLAN C:Is To live and Die ni Libya
 
Seif Al Islam, mtoto wa Gadafi, amesema kuwa jeshi litawacha kuwashambulia "waasi" ili kuwepo na nafasi ya mazungumzo ya maelewano ya kusitisha mapigano.
Itakumbukwa kuwa tangu vurugu zianze, Seif na baba yake waliapa kuwa watapambana hadi tone la mwisho. Lakini baada ya kuona kuwa kadiri siku zinavyoendelea ndivyo wanavyabakiwa kuwa peke yao, sasa wanataka mazungumzo. Huku si kuramba matapishi yao?
Chanzo: Last Minute - Spanish International Television.​
22:38 Gaddafi's son has said that this Saturday is Expected to produce a Negotiated Ceasefire . Saif al-Islam Gadhafi has acknowledged that the army "has a problem" in Zauiya and Misrata and insisted that the army is not attacking the rebels in the west. " The Army have decided not attack the "Terrorists" so as Provide an Opportunity for negotiation ", Told Foreign Journalists in Tripoli.

Ajabu!
PLAN A, B, na C walizokuwa nazo wamezifanyia kazi naona!

Tusubiri ila wakae chonjo.Gadafi ana ajenda yake ya kutawala AFRIKA na ndio inampandisha wazimu na kutaka kung'ang'ania madarakani
 
Kama Libya yenye chini ya watu milioni kumi imemshinda ataweza Africa? :rain:
 
Back
Top Bottom