Mtoto wa Darasa la Saba ajifungua ndani ya chumba cha mtihani.

Katerero ni kijiji kilichopo Kemondo bukoba vijijini na kuna gulio kubwa huwa linafanyika hapo katerero kila wiki.

Umenikumbusha kwa sie tuliosoma pr schools miaka ya 80 kitabu cha kiswahili cha std IV kulikuwa na topic isemayo " Siku ya Gulio Katerelo"
 
Ana Umri gani?
Manake Binafsi nilihitimu Std 7 nina 21, isije kuwa ni mtu mzima mwenzetu kiumri pia.
 
Kweli hesabu aka nondo ngumu yani binti amekokotoa hadi system za mwili zikavurugika. Huyo dogo sijui ataitwa nani..
 
Kwa bukoba ni kawaida sana.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Kwa mkoa wa Kagera hususani wilaya ya Missenyi maeneo ya Kanyigo polisi kazi yao kubwa ni kuendesha mabaraza ya kusuluhisha kesi za ugoni,wanafumaniana wanashtakiana wanasuluhishwa na mwanaume aliyefumaniwa anamlipa mume wa mgoni wake faini mke na mume wanarudi nyumbani kuendelea na maisha.Familia nyingi za eneo hilo zimepoteza ndugu zao kwa UKIMWI.
 
mbona mnalaumu uyo mtoto,mlaumu na aliombebesha,unajua akili za watoto ni rais kushawishika sana kwa vitu vidogo harafu hawana elimu ya uzazi,wakat mwingine sisi wanaume ndio tunachangia si kulaumu mtoto peke yake
 
Baada ya kujifungua ilikuwaje na aliendelea na mitihanai ama hakuendelea jibu tafadhariiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom