Mtoto wa Darasa la Saba ajifungua ndani ya chumba cha mtihani.

adakiss23

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
4,476
4,269
Mwanafunzi wa darasa la saba huko bukoba amejifungua mtoto wa kiume katika chumba cha mtihani. Baada ya kusikia uchungu aliomba ruhusa kwa msimamizi kutoka nje lkn msimamizi alimchomolea akihisi anaenda kupiga chabo. Ndipo baada ya muda akaanguka chini huku akishikilia tumbo ndipo walipobaini ni uchungu wa kujifungua ndipo walipomleta mkunga wa jadi kumsaidia. Mtoto amepewa jina la OMR.
Source: TBC taifa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Khaaa! Kaaazi kweli kweli!
 
nimelipenda JINA TU
 
OMR stands for?...

OMR stands for Optical Mark Recognition. Huu ni mfumo mpya wa kutambua human marked data from forms. Hizi forms zinaweza kuwa na survey data au majibu ya mtihani. Kwa case ya huyu binti ni kwa kuwa huu mfumo unatumika kusahihisha majibu ya mtihani wa std seven. So funny!
 
Katerero ni sehemu fulani huko Bukoba, ndiko wanafunzi wanakopatia mimba au!?d
 
Hyo kali dah wamemruhusu kuendelea na mtihani huyo dada mpaka akafike chuo! Atakuwa na watot wangap!
 
Nasikia hasira sana,mtoto wa la 7 ameshaanza kufanya matusi???acha kwanza niondoke hapa.
 
Yaani wamemuwowa,mpaka wakamuwoooowaaaaa.......mpaka akashiba!!!???.......kweli people bad,yaani cjui huyu atakuwa na perception gani katika maisha,most likely ataanza kuchukia maisha mapema sana
 
OMR stands for Optical Mark Recognition. Huu ni mfumo mpya wa kutambua human marked data from forms. Hizi forms zinaweza kuwa na survey data au majibu ya mtihani. Kwa case ya huyu binti ni kwa kuwa huu mfumo unatumika kusahihisha majibu ya mtihani wa std seven. So funny!

OMR =Optical Mark Reader
 
Back
Top Bottom