Mtoto usiye na uhakika nae

Mkuu hilo wala lisikusumbue hata mimi nilikuwa na tatizo kama hilo la kuwa na wasi wasi na mtoto lakin nikajiuliza mbona wazungu wana adopt watoto ambao siyo wao?jast take it easy endelea kumpa mtoto malezi mtoto akikua
akwiita tu baba kuwa baba wa mtoto ni malezi siyo kutia mimba.kuzaa siyo kazi kulea ndo kazi so kama umeweza kulea basi wewe ndo baba.
 
Mkuu nakupa pongezi kwa hili, wengi hawawezi, pia namshauri ndugu hapo juu baada ya kusoma hii post aachane na habari ya dna kitanda huwa hakizai haramu ,mtoto ni wako huyo we lea tu
 
mlee mtoto kwani hujui karibia kila familia ina mtoto wa nje ya ndoa?????????????
 
Mkuu hilo wala lisikusumbue hata mimi nilikuwa na tatizo kama hilo la kuwa na wasi wasi na mtoto lakin nikajiuliza mbona wazungu wana adopt watoto ambao siyo wao?jast take it easy endelea kumpa mtoto malezi mtoto akikua
akwiita tu baba kuwa baba wa mtoto ni malezi siyo kutia mimba.kuzaa siyo kazi kulea ndo kazi so kama umeweza kulea basi wewe ndo baba.

Adoption ni tofauti kabisa na kulea mtoto ambaye umedanganywa kuwa ni wako wakati si wako. Usilinganishe adoption na kudanganywa.
 
kitanda hakizai halamu na hata kama unahisi kusingiziwa mtoto vuta subira kila kitu kitakuja kufahamika baadae ila kwa kawaida kila familia au ukoo una utambulisho wake kama vile kichwa , visogo , miguu hata vidole so peleka mtoto kwa wazee watamtambua
 
Wanawake ni soo nenda kapime DNA ukikuta sio wako kata vidole unavyo fanana navyo mwachie mtoto, tehe tehe tehe kiding.
 
Kwa nini mama umdanganye mwanao? Kwa nini umdanganye mwanaume ambaye unajua fika si baba wa mwanao?

Huo ni umalaya, end of story.
 
Nenda kapime DNA kwa nini ukae na wasiwasi muda wote wa maisha yako?

Kuna ndugu yangu wa karibu sana alimwoa mama mmoja na mimba akaambiwa ni ya kwake. Baada ya miaka kama 15 mama akamgeuzia kibao na kumwambia yule first born siyo wa kwake na baba halisi alikuja kumchukua. Kwa kweli tulisikia uchungu sana maana ilikuwa ni kama kudhalilishwa hivi.
Du! mlikubali vipi kudharirishwa hivy0! yaani jamaa jamaakauchuna kwa miaka 14 na ushee..na kaibuka mwaka wa 15 kudai mtoto eti nanyi mkamruhusu kiulainii! Km ni kweli basi mke wako hakuwa mwaminifu ulupokuwa unamwoa na hata ulipokuwa unaishi naye..na usishangae utakapoambiwa na third born si wa kwako!!! Na huyo mtoto ambaye ameishi nawe kwa miaka yote hiyo atawezaje kuanza maisha mapya ugenini..km si kumsababishia mateso ya kisaikolojia
 
jaman mwenzenu nahisi nimesingiziwa mtoto maana nafanana nae vidole tu, nahisi hio ni coincidence.... Mana huyu mama yake hakuwa mtulivu sna... People!!!!!!! DNA ya bei rahisi ni sh. Ngapi?
inawezekana hata mama mtoto anaumiza kichwa hajui huyo mtoto ni wa nani haswa,kati ya wewe na hao shareholders wengine
 
acha kuuweka ukihiyo wako hewani dna haifananishwi jibu lake ni 100% hatuchangaman vinasaba vya kijenetikali hata siku moko
 
kila kipimo ni laki moja, so ni laki 2 maana utakuwa wewe na huyo mtoto.
 
we ***** umepigwa huyo mtoto aisee... pole sana, huo ndo mshahara wa kuoa mke ambaye hajatulia.. ila kwa msaada ni kwamba nina kituo cha watoto so unaweza ukajongea kama vipi..
 
Naomba nitofautiane na nyie wote juu ya hili, na namuuliza Bayo wewe umetahiriwa? kama hapana, na je wewe huwa unacheat? kama ndiyo basi wala usifanye DNA manake kuna hiki kitu hapa ullichukua sperm ya mwanaume mwingine kutoka kwa demu wako kwa njia ya penis yako, ukaja kuiweka kwa mkeo pasi wewe kujua wakati ulipokuwa unajamiiana naye. hii ina scientific proof.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom