Mtoto Sewa Bar Buguruni

Congo

JF-Expert Member
Mar 13, 2008
2,062
2,288
Ndugu zangu niko sewa bar hapa buguruni. Kuna mtoto wa miaka 4 hivi yuko na mama yake. Mama huyo wanavutana na mwanaume akimtaka waende mahala. Nataarifu kumsikitikia mtoto, mnaohusika na ustawi wa jamii na watoto, nawapa taarifa.
 
Ni jambo la kusikitisha lakini huko A Town au city watoto kuonekana bar na wazazi wao nadhani ni kama kawa!! au yamekwisha siku hizi??
 
Ndugu zangu niko sewa bar hapa buguruni. Kuna mtoto wa miaka 4 hivi yuko na mama yake. Mama huyo wanavutana na mwanaume akimtaka waende mahala. Nataarifu kumsikitikia mtoto, mnaohusika na ustawi wa jamii na watoto, nawapa taarifa.
Ushahidi please
 
Back
Top Bottom