Mtoto na mpita njia!

Pure nomaa

JF-Expert Member
Dec 10, 2011
1,158
1,381
Mtoto mdogo wa miaka sita alikuwa amesimama nje ya nyumba yao akilia.gafla akatokea mpita njia mmoja akamuuliza

mpita njia>>we mtoto unalia nini?

Mtoto>>wazazi wangu wanapigana sana huko ndani

mpita njia>>baba yako ni nani

mtoto>>hicho ndio wanachopigania.mpita njia akaondoka bila kutoa msaada
 
Back
Top Bottom