Mtoto na Baba

jrmlaurence

Member
Dec 2, 2010
80
57
Kurudi shule Mtoto kamuuliza babake; " Eti baba, Unataka kuanza tena shule? Baba akauliza: "kwa nini Umeuliza hivyo? Mtoto akamwambia: Jana ucku, nilickia ukimnong'oneza mama" Eti, kama anapenda, Muende la pili..! " Hivi Baba mimi niko la nne wewe na mama itakuwaje mwende la pili? Ucikubali hata kdogo
 
hiyo ndo adha ya kuishi jumba ambayo haina siling board,na kulala karibu na mitoto kama hiyo isiyo lalamusiku kazi kusikiliza minong`ono ya wazazi wao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom