Mtoto mwenye karama za ajabu aibuka jijini

Wafalme wengi wa dunia wamepata madarakani kwa kuzini na shatani kupitia makafara/mizimu au taratibu nyingi amabazo si za kiMungu Hapa namaanisha mtu yeyote ambaye hajaokoka yaani hana YESU wala roho wala roho mtakatifu huyo anaye shetani cause there is point of neutrality.If you dont have JESUS you must have satan who is making you king/presdent.

Bwana Yesu sasa anaanza kuwafyeka wote waliopewa madaraka na shetani kupitia makafara n.k kwa ajili ya Ufalme Mungu tunaousubiri. Kwa sasa majukwaa ni ya moto mashetani yaliyo ndani ya wanadamu yanashindwa kusimama kwa sababu ya moto wa Mungu

:becky::becky::becky: mnanifuahisha kweli na ujinga wenu! 1yaani kale kasananu kalichopo kwenye CROSS! ndo chenye nguvu!.. hehehehehe!!! hebu tumieni akili saa zingine!!:becky::becky:!!!
Eti kale kajamaa cha kwenye cross ndio kinatoa misukule 100% ALAFU mbona wakristo washirikina hivi!! sansana ntie wa afrika!!:confused2:
jitu linatangaza limetoa misukule 100 na umati umekaa ukishangalia! KWELI ELIMU muhimu!! MTU AKIFA AMEKUFA!! MOYO HAUPIGI!! THEZ NO WAY!! MUMTOE MAKABURI ETI ALIKUWA MSUKULE!! dah!:mad2:
 
hawa Shekh Sharif wapo wangapi? mbona zamani alikuwapo mwingine akihubiri hadi huko Kongo na akamsirimisha Kabila Sr.
Kweli Ndugu yangu PHD , hata mimi sielewi wako wangapi, au kila mwenye kipaji hupewa jina hilo la sharif
 
Hivi mnafahamu kuwa yule sheikh shariff, nadhani wengi mnamkumbuka aliye kuwa anawakusanya watu kwa miujiza aliyokuwa akiifanya ameokoka?Taarifa hizi ni za muda sana kutoka katika gazeti la Msemakweli (nenda kwenye archives). Mtoto huyo ameweza kusema nguvu alizo kuwa akitumia kufanya hiyo miujiza hazikutoka kwa Mungu. Sasa anamtumkia Mungu wa Kweli.
 
Kweli Ndugu yangu PHD , hata mimi sielewi wako wangapi, au kila mwenye kipaji hupewa jina hilo la sharif
hivi visharif sharif vingi ni vitoto vya binadamu wazaao na majini hivyo vinusu mtu vinusu majini na babu yao kubwa la mashetani
 
Back
Top Bottom