Mtoto mwenye jicho moja azaliwa india na kuishi siku moja

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
3,811
1,603
Heshima Wakuu,
Maajabu na uwezo wa Mungu hayaishi. Ninawawekea picha na wale watakaopenda kusoma habari yenyewe link ni hii: Baby With 1 Eye and No Nose Born in India, Survives 1 Day


MTOTO MWENYE JICHO MOJA.jpg
 
inasikitisha sana,naona ni tatizo la vinasaba kwa ndugu kuoana manake ndio mtindo wa hawa jamaa kuoana ndugu kwa ndugu.
 
Patau syndrome is a chromosomal abnormality, chromosome 13 to be exact, in which a patient has an additional chromosome due to a failure of separation of chromosomes during cell division.
details left aside: it results is single fused frontal cerebral hemisphere (fore brain fails to divide, single centrally located eye, single or no nostril, with lots of congenital malformation involving heart, kidneys, limbs (arms/legs) etc that are incompatible with life.
Survival is up to 3days in specialized care centers.
Most die in utero (kabla ya kuzaliwa)
 
Back
Top Bottom