Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,216
- 113,510
Una watoto?
Nina mtoto.
Una watoto?
I didn't know... congratulations mkuu.Nina mtoto.
I didn't know... congratulations mkuu.
You are welcome. I look at you all differently now. lolThank you.
You are welcome. I look at you all differently now. lol
I feel the same about my dad (and I know I am as right as she is).Heheheee....I'm a good daddy.
But according to her I'm the best daddy in the whole wide world!
Dah, umeweza kusoma barua ndani ya bahasha.Kinachomsumbua mkeo ni aina ya wivu.Wivu huu kula mtu anao ila mke wako anauzidisha kiasi kwamba pale unapohitaji kuwa naye hataki. I don't know how much your daughter occupies you, lakini nilifikiri kwamba wakati unacheza na mtoto waweza pia kumsemesha mke wako. Au haiwezekani? Naona kama mkeo anajisikia mpweke sana mnapopiga stori na mtoto. Encourage her to participate in the exchange between you and your daughter.Au mkeo kiingereza kinampa shida? Nimegundua kuwa daughter wako ana uwerzo wa kubonga kiingereza vya kutosha na anapenda mazungumzo yenu yawe kwa kiingereza. Pengine hapo ndo panamtatiza mama kiasi cha kumjaza ghadhabu na kukugomea unyumba. Jaribu kutumia Kiswahili kwa wingi ukiwa na bintiyo ili mama naye ashiriki. Mi ndo nahisi hivyo.