Mtoto Linah mashalah

Hakuna kitu hapo, Demu kimbaumbau ukitaka kumuona vizuri angalia video yake na Mwana FA... hajui hata Maker Up
 
dah man natumia phone kwa sasa na niko downtown
Ngoja nikifika home nitachukua picha toka kwa laptop yangu ninazo then nitaziweka
Niambie wataka pcha ya nani kati ya hao wote sababu siwezi weka picha ya kila mtu
cherokee arifu....
 
cherokee arifu....

423793_10150590628600283_631880282_9436371_1472119299_n.jpg


Check paja hilo
 
utaendelea kula kwa macho.....yaani na wewe haka ka jolly bebe nako unaona ka shori kakali??? aiseeee kweli majuu most ya mademu ni kama power mabula shauri ya kubeba box.....
haka ka shori ni kafupi sijapata ona......

Yo Yo El Sadat umefulia wewe.
 
Kuna jamaa huwa anakamua apa tani yake!
Ila ndo ivyo bwana mwanamke ni kama siti ya daladala ukifika kwako unashuka na kusepa!
 
Linah ndio nini? Jiwe, mtu ama nini hebu nitambulisheni na mimi nimjue! na faida zake zipi kwa watanzania
 
Hilo wigi ni kama wale mbwa wa manyoya mengi wanaopendwa na masupastaa wa mamtoni yup yup my dog!kaacha kipilipili chake kaenda vaa nywele za maiti talalallaaa
 
Ha dis kaka hizo ni lugha tu kuna wala vumbi na wabeba box wote wanatoka africa
 
Back
Top Bottom