mtoto kuwa na kitovu kikubwa

Apr 1, 2012
5
2
jamani naomba msaada wenu wa kitaalam hivi mtoto akiwa na kitomvu kikubwa anaweza pata
madhara gani? na lipi laweza fanyika kama tiba
 
jamani naomba msaada wenu wa kitaalam hivi mtoto akiwa na kitomvu kikubwa anaweza pata
madhara gani? na lipi laweza fanyika kama tiba

mkuu mara nyingi kitovu huonekana kikibwa kutokana na mtoto kuzaliwa na sehemu ndogo ya layer ya kufunika tumbo iitwayo fascia kuwa na tundu dogo ambalo huwezesha sehemu ya utumbo kepenya pale na kuwa hapo, hii inaitwa umbilical hernia, athari zake ni kuwa wakati mwingine sehemu ya utumbo inayotokeza hapo hushindwa kurudi ndani na kusababisha kutoweza kupeleka chakula hii inaitwa obstructed hernia, hivyo ni vyema umpeleke mtoto huto hospitali daktari amwone.
 
Back
Top Bottom