Mtoto kuvutwa wakat wa kujfungua

Swts

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
3,062
1,292
Habari dearest jf doctorz! Shost angu kipenz kajifungua jana mtoto wa kiume ila ilikuwa shughuli,mtoto mkubwa na njia ndogo! Na ujauzito wake ulikuwa miez kumi na kama wiki naa,iv!
Na ad sasa hatujaruhusiwa kumuona mtoto,kwan ameambiwa amepumzshwa kwan anashida katka upumuaji wake &amechoka pia.
Kwani,mtoto kavutwa na ile Mashine,Je kunamadhara yoyote itakayosababishwa na iyo njia?coz nlshawah kuckia rumors kuwa husababisha utahira kwa mtoto,je ni kweli?
 
Hee mgomo bado upo?mbona thijibiwi lol
 
Usiwe na haraka mamii watakuja tu wataalamu wakujibu, binafsi sio mtaalamu sana ila huwa nasikia kwamba wakimvuta vibaya kunakuwaga na madhara hasa kichwani

Madhara huwa yapo kama hayo uliyosema lakini huwa wanashauriwa ndugu kabla ya kutumia hiyo njia
 
Usiwe na haraka mamii watakuja tu wataalamu wakujibu, binafsi sio mtaalamu sana ila huwa nasikia kwamba wakimvuta vibaya kunakuwaga na madhara hasa kichwani

hmm ngoja wakuje waniambie nin sababu
 
Ni bora kufanyika hiyo process kuliko kuwapoteza wote, kuna uwezekano japo sio kila inapotokea. Kichwa cha mtoto kinabanwa sana kiasi cha kuweza kudiform ubongo wake.
 
oh God,ndo 2nachohofia,hmm ad nahs barid gafla! Dah
 
kunandugu yangu naye mtoto wake alivutwa, mpaka sasa anamiaka 7 akili zake hazipo sawa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom