Mtoto kubeba jina la baba na sio la mama!

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Hivi kwa nini mtoto anapozaliwa anabeba jina la baba, Mfano Jasmine Ali na isiwe Jasmine Sara....?

Kwa nini wanaharakati wa mfume dume huwa hawalisemei hili jambo?

Ili wanawake waweze kukomboka , naona bora wangeazia hapa!
 
Nilishawahi kukutana na mtu anatumia jina la mamake, the reason is hamjui babake.
 
Hakuna ubaya japokuwa kikubwa hapo ni kuonyesha mwendelezo wa ukoo wenu, ndi maana kuna wengine unakuta majina yake yote hayapo kwa mama wala kwa baba yaani linakuja jina lake kamili bila ubini wa mama wala wa baba
 
Wapo wanaotumia majina ya mama zao lakini wengi ni wale waliolelewa na mama pekee bila baba, jamii nyingi za kitanzania ni PATRIARCHY na sio MATRIARCHY ndo maana ipo hivyo!!
 
Watoto wanaozaliwa nje ya ndoa kwa mujibu wa Dini ya kiislamu ni wa mama. Kwa sababu hiyo hata ubini wao unafuata ukoo wa mama.
 
Back
Top Bottom