DEVINE JF-Expert Member Mar 11, 2011 536 86 Mar 16, 2012 #1 Mwanafunz kachelewa shulen... Mwalimu:kwann umechelewa? Mwanafunz: kuna babu alipoteza elfu10 kwenye basi. Mwalimu:kwahiyoukamsaidia kutafuta? Mwanafunzi: hapana nilikuwa nimeikanyaga na mguu nasubiria aondoke niichukue, darasan hahahahaha
Mwanafunz kachelewa shulen... Mwalimu:kwann umechelewa? Mwanafunz: kuna babu alipoteza elfu10 kwenye basi. Mwalimu:kwahiyoukamsaidia kutafuta? Mwanafunzi: hapana nilikuwa nimeikanyaga na mguu nasubiria aondoke niichukue, darasan hahahahaha
SHIEKA JF-Expert Member Dec 20, 2011 8,244 4,258 Mar 16, 2012 #2 DEVINE said: Mwanafunz kachelewa shulen... Mwalimu:kwann umechelewa? Mwanafunz: kuna babu alipoteza elfu10 kwenye basi. Mwalimu:kwahiyoukamsaidia kutafuta? Mwanafunzi: hapana nilikuwa nimeikanyaga na mguu nasubiria aondoke niichukue, darasan hahahahaha Click to expand... Joke hii nzuri ila kwangu umeniharibia raha yake kwa kuweka hayo maneno niliyobold. Maana yake ni nini?
DEVINE said: Mwanafunz kachelewa shulen... Mwalimu:kwann umechelewa? Mwanafunz: kuna babu alipoteza elfu10 kwenye basi. Mwalimu:kwahiyoukamsaidia kutafuta? Mwanafunzi: hapana nilikuwa nimeikanyaga na mguu nasubiria aondoke niichukue, darasan hahahahaha Click to expand... Joke hii nzuri ila kwangu umeniharibia raha yake kwa kuweka hayo maneno niliyobold. Maana yake ni nini?