Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 17,348
- 32,984
Tetesi ambazo nimezipata toka chanzo cha ndani cha familia ya Mh. Lowasa ni kuwa Waziri Mkuu huyo mstaafu anapendelea mwanye mkubwa wa kiume ndiye amrithi kiti cha ubunge kwa jimbo la Monduli mwaka 2015 maana yeye kwa sasa ana uhakikia atapitishwa na NEC ya CCM kuwania nafasi ya urais wa JMT mwaka 2015 kupitia chama hicho kikongwe nchini.
Habari zaidi zinasema kiti cha ubunge cha Arumeru Mashariki ambako Mkwe wa Lowasa Bw. Sioi Sumari anagombea kinachukuliwa kama kipimo na waziri mkuu huyo mstaafu katika kupima nguvu alizonazo ndani ya CCM.
Chanzo: Watu wa karibu wa waziri mkuu huyo mstaafu