Somoe
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 754
- 282
- Thread starter
- #21
ASANTE KAKA KWA USHURI, KAKA MSHEMWA STEVEN. Bibi yake sio mzee kabisa hata ukimuona uwezi kufikiri kama anamjukuu mkubwa nanma hii. Huyu mtoto ndio mjukuu wake wa kwanza. Dada yetu alizaa mapema sana. Na mara kwa mara huyu mtoto akikaa na bibi ake kipindi mama ake yupo hai. Mie nimejaribu kumueleza na kumfafanulia juu ya maisha, magonjwa, na elimu. Ila anatulia nikiwepo home tu, nikiondoka tu, ugomvi hauishi. Mara kapigana shuleni, mara anataka kupigwa mapanga, mara wasichana wanakuja kumsuta,na ngumi mtu, hadi mama kashudia ugumvi nje ya uwanja wake. Mie nikiongea nae, ananielezea hao wasichana ndio wakorofi sio yeye. Na anajitetea hawezavyo, sasa mwanzo nikimuamini sasa naanza kupata wasiwasi, sante kaka kwa ushauri nitajaribu