Jackbauer
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,038
- 2,199
Yaani ukimuona mtoto wala huulizi ni wa nani copyright ya babaye.. Sema tu bibie anakereka na kutowajibika kwa jamaa.. Ndo anataka amdelete kbs kwny makaratasi yanayomhusu mtoto..
teh teh teh,hajafanana na 'babu' DNA analysis pekee ndio inayoweza kuthibitisha uhalisia wa mtoto.
Hakuna haja ya kum-delete kuna siku atamkumbuka mtt wake na matunzo yatakuwa makubwa.fikiria sana mtt akikua atahitaji kumjua baba yake wa ukweli.