Mtoto amepotea

Livanga

JF-Expert Member
Apr 15, 2010
469
148
ImageUploadedByJamiiForums1413362574.250497.jpg

Za asubuhi?

Jamani mdogo wa rafiki yangu kapotea. Katoweka tokea jana saa nane mchana huku Tabata Chan'gombe
Anaitwa Tulhafa yupo darasa la 5 shule ya African Nursery and Primary School.Ni shombe wa kisomali
Mdogo wake rafiki yetu spread the news please..matukio yamekua mengi.

Anaitwa Tulhafa Yasin mtoto wa Mwanaido Kalaghe au Mama Tulhafa wa Tabata Changombe, ni mrefu mweupe mwembamba ana asili ya kisomali na kiafrika.

Bado haijajulikana alivyotoka nyumbani ila kuna kijana wa hapa nyumbani inasadikija walitoka nae ila kijana akarudi peke yake kama kachanganyikiwa na madawa kaulizwa mtoto yupo wapi hajui!
 
Mungu atunusuru TZ isijegeuka kuwa kama Ulaya na USA ambako vitendo hivi ni common sana kiasi kwamba ni criminal offence kumwacha mtoto unattended
 
Dah! Dunia imekuwa hamna amani kabisaaa. Polen Allah awape subra na nguvu ya kumtafuta. In shaa Allah mtamuona akiwa mzima kabisa
 
Huyo aliyetoka naye mpelekeni polisi wanajua jinsi ya kumuhoji,hakuna cha kuchanganyikiwa hapo.Isije ikawa kamuuza akidhani ni albino.
 
jana usiku kama wa 7 tukiwa kwenye staff bus tunatoka job tulijadili sana swala la upoteaji wa watoto limekuwa tatizo kubwa sasa
mi nadhani wapelelezi wanahitajika kufanya kazi ya ziada,watumie nguvu mara mbil ya wanaotumia sasa,
pia polis wanafanikiwa kuwafichua watu wa namna hii basi wapandishwe vyeo na kuboreshewa mishahara yao
naiman tanzania tunao polisi wanaoweza kudhibiti vitendo hiv,matamko ya serekal ayatoshi bal tunahitaji wana usalama wanaopenda kupambana kufichua makundi kama haya.Mungu asaidie dogo apatikane.
 
Duh! Poleni bandugu! Halafu Ana asili ya Kisomali na Kiafrika!

Ndo hivyo mkuu;somali anadhani c afrika;pole uliyepotelewa na mtoto;mtaani kwetu yapata mwezi sasa toka mtoto wa miezi tisa alibwe na mama 1;kwa kumrubuni mtoto kwa pipi aliyekuwa anacheza naye.
 
jana usiku kama wa 7 tukiwa kwenye staff bus tunatoka job tulijadili sana swala la upoteaji wa watoto limekuwa tatizo kubwa sasa
mi nadhani wapelelezi wanahitajika kufanya kazi ya ziada,watumie nguvu mara mbil ya wanaotumia sasa,
pia polis wanafanikiwa kuwafichua watu wa namna hii basi wapandishwe vyeo na kuboreshewa mishahara yao
naiman tanzania tunao polisi wanaoweza kudhibiti vitendo hiv,matamko ya serekal ayatoshi bal tunahitaji wana usalama wanaopenda kupambana kufichua makundi kama haya.Mungu asaidie dogo apatikane.

Mkuu umesahau jambo fulani acha nikukumbushe;kila tunapokaribia kuelekea kwenye uchaguzi wa Taifa na serikali za mitaa majanga ya aina tofauti tofauti hotokea;rejea kuuwa kwa maalibino na kukatwa viungo vya mwili ulipokaribia uchaguzi 2009/2010;viongozi wa CCM wapo tayari kubaki madarakani kwa gharama yeyote;wameshaanza maandalizi kwa kujiwekea akiba ya viungo vya binadam;ili mganga akiagiza tu wanapeleka.
 
View attachment 193533

Za asubuhi?

Jamani mdogo wa rafiki yangu kapotea. Katoweka tokea jana saa nane mchana huku Tabata Chan'gombe
Anaitwa Tulhafa yupo darasa la 5 shule ya African Nursery and Primary School.Ni shombe wa kisomali
Mdogo wake rafiki yetu spread the news please..matukio yamekua mengi.

Anaitwa Tulhafa Yasin mtoto wa Mwanaido Kalaghe au Mama Tulhafa wa Tabata Changombe, ni mrefu mweupe mwembamba ana asili ya kisomali na kiafrika.

Bado haijajulikana alivyotoka nyumbani ila kuna kijana wa hapa nyumbani inasadikija walitoka nae ila kijana akarudi peke yake kama kachanganyikiwa na madawa kaulizwa mtoto yupo wapi hajui!
Ndugu mpendwa Jee, kijana motto keshapatikana tujuze basi ili tujipange na matukio mengine!!?
 
Policcm haohao ndo wanaokanusha upoteaji wa watoto, na janga linazidi kuwa kubwa sasa, tukimbilie wapi sasa?
 
Samahanini sana kwa kuchelewa kuwajulisha kuwa ndio alipataikana akiwa salama kabisa.
 
Back
Top Bottom