Mtoto amepotea

thank you for all the support Jf members, mtoto bado hajapatikana.

attachment.php

he last time alikuwa nyumbani and kwa bahati mbaya gate lilikuwa wazi, that's when he went missing.
Asante kwa picha.. so cute Mungu atamlinda na kwa imani atapatikana tu.
 
Pole sana Tracy jaribu kufanya yale member wamekushauri hasa la kutoa matangazo kwa kupitia vyombo vya habari makanisa etc. itasaidia sana. Mungu akutangulie kwa hili.
 
sasa inaonekana aliye mwiba inawezekana kafanya hivyo ili apate hela, lakini inawezekana sasa inakuwa ngumu yeye kumtoa maana anajua atashikwa au hana simu zenu hivyo njia ya mawasiliano inakuwa tatizo, hivyo hapa system ya carrot and stick in bidii itumike, na ikiwezekana search ya nyumba kwa nyumba hapo hapo jirani ifanyike ukiangalia mazingira ya huyo mtoto kupote, wazazi/dada/kaka alikuwa wapi, na ilichukua muda gani mpaka kutambua mtoto kapotea, uhusiano na majirani upoje? je kuna vijana wamtaani wana pita pita hapo au magari.
 
Pole sana Tracy naamini utampata tu. Usichoke kumtafuta but MUNGU amsaidie na kumlinda ili awe salama.
 
sasa inaonekana aliye mwiba inawezekana kafanya hivyo ili apate hela, lakini inawezekana sasa inakuwa ngumu yeye kumtoa maana anajua atashikwa au hana simu zenu hivyo njia ya mawasiliano inakuwa tatizo, hivyo hapa system ya carrot and stick in bidii itumike, na ikiwezekana search ya nyumba kwa nyumba hapo hapo jirani ifanyike ukiangalia mazingira ya huyo mtoto kupote, wazazi/dada/kaka alikuwa wapi, na ilichukua muda gani mpaka kutambua mtoto kapotea, uhusiano na majirani upoje? je kuna vijana wamtaani wana pita pita hapo au magari.

aliachwa nje(ndani ya geti) akicheza na uncle wake,.kuna mtoto ambae aliona watu kwenye gari wamembeba.so far hakuna aliyepiga for pesa or anything.
 
Nimeona tangazo lake likiwa na picha na maelezo zimebandikwa sehemu kubwa ya mji wa Arusha.

Wazazi na walezi mji wa Arusha umegubikwa na imani za kishirikiana sana hasa wachimbaji wa mawe Tanzanite wanapenda kutoa kafara za watoto ili mashimo yatoe mawe mengi.I hope Collin kaangukia mikono salama Mungu amnusuru na hatimae apatikane salama.
 
damn,poleni sana...ninavyotamani kupata mtoto halafu aje apotee sidhani kama kuna uchungu kama huo.Mungu mwaminifu,atapatikana tu
 
Kweli nikiwa kama mzazi habari hii inanisikitisha mno!

Collins.jpg
 
Attachments

  • Collins.jpg
    Collins.jpg
    3.1 MB · Views: 58
thank you for all the support Jf members, mtoto bado hajapatikana.

attachment.php

he last time alikuwa nyumbani and kwa bahati mbaya gate lilikuwa wazi, that's when he went missing.
Tracy u attach wrong picture in a true story! To date Collin is still missing
 
mr mlalo its true and we are sory .more than one person has been using this account since it hapend.
 
mr mlalo its true and we are sory .more than one person has been using this account since it hapend.

Ni kweli umeleta tangazo ambalo limewauzunisha members wengii tuu!

lakini sasa mbona sikulewi vizuri? kuna ka mchezo gani apo?
Unamaanisha kuna akina tracy wengi tuu wanao access account yako?

Tunaomba uwe unatupa update za kila mara za huyu 'malaika' Collins
 
mr mlalo its true and we are sory .more than one person has been using this account since it hapend.
Vipi Mkuu, kuna habari yoyote kuhusu mtoto Collins? Najua ni siku nyingi sana tangu lilipotokea hili, natumai mtoto amepatikana.Naomba ukutujulisha habari yoyote (I hope be good news)
 
Vipi Mkuu, kuna habari yoyote kuhusu mtoto Collins? Najua ni siku nyingi sana tangu lilipotokea hili, natumai mtoto amepatikana.Naomba ukutujulisha habari yoyote (I hope be good news)

mammamia,thank you.ila too bad hakuna good news,still missing!
 
mammamia,thank you.ila too bad hakuna good news,still missing!

Be strong Tracy. Keep trying. Kwa emails, facebook na njia zingine zote. Just post the picture and make sure you remind them every now and then.
 
mammamia,thank you.ila too bad hakuna good news,still missing!

very sorry ,mwenyezi mungu aendelee kumlinda popote alipo..
Inaumiza sana jamani huwezi pata usingizi huku ukijua mwanao hajulikani alipo.
 
Back
Top Bottom