Mtoto amepotea

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by tracy, Mar 1, 2012.

 1. tracy

  tracy JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2012
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 782
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 18
  Najua this is not the right place but please,kama kuna mtu yeyote(arusha) ataona mtoto ndogo wa miaka 2 -3,wa kiume,mweupe.please please pm me.my friend amepoteza mtoto wake tokea saturday
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,168
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 48
  duh, poleni
  very scary!
   
 3. tracy

  tracy JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2012
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 782
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 18
  asante Kongosho,it is my dia.
   
 4. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,511
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mh!kweli mm cjaona!
   
 5. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #5
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,162
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 38
  Poleni mkuu,
  Kapotelea Arusha maeneo gani?mara ya mwisho alivaa nguo gani?then ni nzuri kama utapost picha hapa.
   
 6. tracy

  tracy JF-Expert Member

  #6
  Mar 1, 2012
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 782
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 18
  Asante sana.Amepotea Njiro,.nitaweka pic yake by tomorrow.
   
 7. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #7
  Mar 1, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,917
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 48
  Oooo! Poleni sana!

  Lakini kwnn member mlioko A town hamuwagi Active?
  Ama mnaogopa nini?

  Weka picha morning!
   
 8. tracy

  tracy JF-Expert Member

  #8
  Mar 1, 2012
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 782
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 18
  Asante liverpool,active kwa aje?.i forgot to say that jina ni collins.
   
 9. afrodenzi

  afrodenzi JF Platinum Member

  #9
  Mar 1, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 16,545
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 63
  Jaribu ku Print picha ya mtoto pamoja na maelezo kidogo kuhusu mtoto Halafu wekeni
  Hayo matangazo kwenye nguzo za umenena.
  Piteni madukani omba kuweka tangazo ..

  MUHIMU .. Piga simu wataarifu polisi.

  Poleni sana.
   
 10. tracy

  tracy JF-Expert Member

  #10
  Mar 1, 2012
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 782
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 18
  Asante kwa ajili ya ushauri AD.Police tyari..tutafanya hivyo
   
 11. tracy

  tracy JF-Expert Member

  #11
  Mar 1, 2012
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 782
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 18
  Jf members,am sorry kuhusu kupost hapa kutafuta mtoto,we are desperate.thinking of hali ya hewa ya Arusha kwa sasa and everything mtoto wa 2yearz old anaeza pata..but nainsist,kama kuna mtu atamuona,alivaa tshirt ya brown na shorts za kaki,please tell me.Mungu awabariki.
   
 12. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #12
  Mar 1, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,329
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mungu atamlinda collins, and he will be back safe and sound in his parent's hands..
   
 13. tracy

  tracy JF-Expert Member

  #13
  Mar 1, 2012
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 782
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 18
  Thank you so much for those words,.we pray the same happens.
   
 14. afrodenzi

  afrodenzi JF Platinum Member

  #14
  Mar 2, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 16,545
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 63
  jaribu pia kuwapigia simu local radio station..
  waweza kurusha habari kwa aliemuuona..

  Ni bora kuchachamaa sasa kumtafuta kwa kila njia
  ..............
   
 15. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #15
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,304
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 48
  halafu kana jina zuri. Poleni sana.
   
 16. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #16
  Mar 2, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 26,076
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 83
  poleni,
  je amepatikana.
   
 17. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #17
  Mar 2, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,120
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 38
  Jamani Pole sana kwa rafiki , nayajua maumivu ya kupoteza mtoto
  Mungu amsaidie ampate mtoto wake akiwa salama
   
 18. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #18
  Mar 2, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,300
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwanza poleni sana. Jaribu kuweka maelezo ya kutosha na contact endapo mtoto atapatikana ili iwe rahisi wewe na jamaa yako kuwapata. Namwombea mtoto awe salama na ktk mikono salama pia.
   
 19. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #19
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,162
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 38
  Vp mkuu, mtoto kapatikana???
   
 20. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #20
  Mar 2, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,917
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 48
  tracy!
  Mmempata mtoto?

  Ama mmesamehe aende ajuako!
  Ama alikuwa wa jirani tu!
   
 21. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #21
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,162
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 38
  hi tracy.
  Vp huyo mtoto aliyepotea kapatikana?
   
 22. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #22
  Mar 3, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,646
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  Tracy, tafadhali weka maelezo zaidi:
  1. Recent photographs of the baby
  2. Alionekana wapi mara ya mwisho (be as specific as possible)
  3. Alionekana lini mara ya mwisho (time and date)
  4. Alikua na nguo gani alipo onekana mara ya mwisho
  5. Alipotea katika circumstances gani (mnahisi kaibiwa au kapotea tu)
  6. Anajua kusema?
  7. Akipatikana apelekwe wapi? kuna number ya sim?
  8. Kamakuna vitu kama ugonjwa wa mtoto/alegry etc bora utaje ili atakae mpata asiweke maisha yake hatarini.
  Poleni sana, be strong. Atapatikana safe, Insh'allah.
   
 23. s

  shosti JF-Expert Member

  #23
  Mar 3, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,958
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 38
  jamani mtoto wa miaka 2..poleni sana!!!
   
 24. Angel Nylon

  Angel Nylon JF-Expert Member

  #24
  Mar 3, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,824
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 48
  Inshaallah Mungu amjaalie apatikane salama, safe and sound
  Poleni sn, any inf usiache kutujuza, we pray for the little boy
   
 25. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #25
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 6,934
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 38
  weka details zake usaidiwe
   
 26. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #26
  Mar 4, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,646
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  Tracy, kuna habari yoyote ya mtoto?
   
 27. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #27
  Mar 4, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 863
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  Tukio hili limenikumbusha mwaka juzi nikiwa na shida zangu binafsi nilifika kituo kimoja cha polisi nikakuta watoto wa kati ya miaka kumi na mbili wamekaleta kituoni katoto ka miaka kama mitatu hivi ka kike wakidai wamekaokota.

  Kitendo cha mimi kuingia pale mapokezi nikaongea na askari mmoja na kuondoka si kale katoto kakaanza kunifuata huku kananililia nikitaka kuondoka tena kanalia kanasema kananitaka mimi. Ilibidi OCS achukue jukumu la kunikabidhi katoto kale, kwa kuwa nilikuwa nafahamika pale kituoni niliambiwa we nenda nako atakapokuja mzazi wake tutamuelekeza kwako aje amchukue mwanae.

  Niliondoka naye mpaka nyumbani nikamwambia wife katoto haka kamepotea nimekapata kituo cha polisi kamenililia sana hivyo nimekabidhiwa nikae nako hadi hapo mzazi wake atakapopatikana.Kweli namshukuru sana wife si kama baadhi ya wanawake wengine hakuonyesha kumchukia mtoto yule alikaogesha kwa kuwa tulikuwa na mtoto wa umri ule alichukua nguo za mwanetu akakavisha.

  Tulikaa nae kwa siku tatu ndipo mzazi wake alipokuja kumchukua. Mzazi wake (mamake) alipomwona alitokwa na machozi ya furaha.
   
 28. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #28
  Mar 4, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,646
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  Let's just hope little Collins finds a host as kind as you...
   
 29. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #29
  Mar 4, 2012
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 12,666
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 38
  Jamani huyo dogo bado tu kupatikana?
   
 30. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #30
  Mar 5, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,646
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  Tracy hajarudi kusema mkuu. Let's hope kapatikana.
   

Share This Page