Mtoto aliyekojolea Kurani hana kesi ya kujibu

je hivyo ndivyo anavyowafundisha muhammadi

HAINA TOFAUTI NAWE KULALA NA BUNDUKI KWA USALAMA WAKO AKIJA JAMBAZ NDO UMERUHUSIWA KUUA? BIBLIA UNAYOIFUATA IMEKWAMBIA KAA NA BUNDUK MCHAGONI? AU KWA UPANDE HUO NI HALAL? WHY TUNA MABUNDUK NYUMBAN, ATA ACP BARO JUZI ALIKUWA NA BASTOLA, WHY US? LZM TUWE WAKALI ZAID YA YOTE SASA POSTINGS NYING UMU NI ZA KUTUDHIAKi
 
Nina marafiki waislam, workmates wwaislam, wote wanashangaa haya mambo.
Hivi waislam gani sasa wanafanya haya?
 
Kwa usalama wake bora afungwe! Kwa maoni yangu si dhani kama nyumbani kwao Mbagala ni safe kwasasa kwa yeye kuishi!
Pia ningependa kushauri ndugu zangu watanzania!Tusipende kukejeliana dini au kabila zetu mwisho wake huwa haui mzuri,unaweza kuona simple tu kubonyeza keyboard lakini hatufikirii impact yake kwa hadhira tena hasa kwa nci kama yetu ambayo asilimia zaidi ya 70 hawapo kwenye ajira rasmi na zaidi ya 70% ni wajinga (hawana elimu).
 
Nimefuatilia sheria ya makosa ya jinai sijaona ni kifungu kitakacho mtia hatiani mtoto kwa kukojolea Kurani. IWAPO mimi ningekuwa hakimu aliyesimamia kesi hii ningemuachia huru bila masharti yeyote. Kwa sababu mtoto aliruhusiwa na mwenye kitabu akojolee. Sioni kosa

Under-age mtuhumiwa=alitakiwa kupelekwa mahakama ya watoto...Taabu ni kuwa pale serikali ina operate katika DOUBLE STANDARD stye upuuzi wote wa KUPINDISHA (hata KUVUNJA) sheria unafanywa kuwa mtindo wa maisha!

Kana RAHISI anataka bado kueshimiwa kama RAIS ni heri ang'ate kidonge kigumu kwa kuagiza taasisi za ulinzi na usalama WATEKELEZE MAJUKUMU YAO BILA kutazama sura za NYANI wanaowashughuikia kwani kazi yao haitakiwi kutazama SURA; ukiharibu unashughulikiwa kwa maelekezo ya vifungu vya sheria SIYO DINI YAKO au NAFASI YAKO KIJAMII!
 
Jamaa kanipigia simu eti anasema....... Kweli kichapo nomaa!!leo kariakoo ukipita ukimwambia mtu "asalam alleykum anakwambia milele amina"duh
 
100% naungana nawe! Nanimegundua ki2 kimoja km yule mtoto angedhulika baada ya kukojelea {kuran} nazani hawa nduguzetu wangefurahia lkn tatizo ni kwamba ajadhulika na ndomaana wanataka kufanya fujo!!

Akili fupi, nimegundua mara moja umri wako una range wapi, we unadhani effects zote huwa zinatokea abruptly?
MUPPET!
 
Je alikuwa na Intention ya kukojolea kuran?? hili ndilo swali la msingi la kujiuliza
Dogo alipewa quran ili akojolee ili waone outcome ya kitu fulani!
Outcome ilikuwa ageuke panya.
kwa sisi tuliosoma science Dogo hana hatia kwa sababu walikuwa wanafanya Experiment.
Tujiulize je outcome ingekuwa positive i.e dogo angegeuka kuwa panya,je mngeandamana??

Rubbish! This is Childish comment, to be honest.
 
NA ATAACHIWA KWA VYOVYOTE MAANA HAKIMU KAFIR MLA KITIMOTO NDO KAPEWA HII KESI, ILA NAAPA AKIACHIWA NA TUKAJUA NA KUMUONA ATATAMANI NA KUMUOMBA MOLA HERI AWE TAHAHIRA AU PANYA NI SIMPLE TU ATAFANYWA KM ALVOFANYWA SADAM AU GADAF KM ULVOSEMA, YANI INSHORT ATACHINJWA HADHARANi, USICHEZEE WAISLAM CHEZEA AO AO KAFIR
Kwani waislam nao wamegeuka Mumgu ili wawe na uwezo wa kumsaidia wakiona anakawia kuchukua hatua.?
 
Nimejifunza kitu kimoja katika media za Tanzania, vitu vya kigalatia vinarepotiwa vizuri lakini vinavohusu waislamu vinaripotiwa ndivo sivyo, nani alikwambia mtoto alimruhusu? umesoma kisa chote?


Yule mtoto alikuwa anatokea chuoni madrasa, akakutana na yule mtoto mwenziwe akamuuliza hiyo nini akamwambia hii juzuu ,maana yake nini, yule akamwambia naweza kukojolea yule akamwambia utageuka , mtoto akaweka juzuu yake chini kwenda kucheza mpira! UPO MPAKA HAPO???? alipoenda kucheza mtoto mweye juzuu yule mtoto wa kigalatia akanyata kwenda kuchukuwa juzuu na kukojolea, SASA NIKUULIZE SAA NGAPI ALIMRUHUSU? msikurupuke! niendeleeee?

baada ya hapo mtoto akaenda kusema kwa baba yake ! baba akaenda mpaka kwa wazazi wa yule mtoto alokojolea juzuu ili wazazi wamkanye mtoto wao, walipofika kule yule mama kuelezwa tatizo akajibu "AAAH KUMBE TATIZO DOGO TU NGOJA NIWAPE PESA MKANUNUE KITABU KINGINE" hilo umeliona jibu dogo sana kwa kitabu kinachithaminiwa na kuaminiwa na umma duniani ? halafu useme hana kesi ya kujibu ? thubutu ! muwe mnawaambia hao waandishi wenu wa habari wasiwe biased wawe wanareport kila kitu na jinsi kilivo !
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

Wewe unayejiita Mkomatembo unajaribu kunyoosha story ya tukio kumsafisha mtoto aliykuwa na Kuran!!!! Haiingii akilini mtoto amuulize hicho nini.... na ifuatie kauli ya ...ninaweza kukojolea!!!!! Huna aibu eti kanyatia bila mwenzie kujua,,,,,ovyoooo!!!Hata kama mtoto angeonyesha kutaka kuikojolea ni wajibu wa mmilki kuilinda ili isitiwe najisi,, lkn kwa sababu watoto wanafundishwa kwa vitisho bila kuuliza na kudadisi hayo ndo matokeo yake ya kuingiza jamii ktk machafuko. Na mkimchinja kwa upuuzi tu na dhana ya thawabu itakuwa ni mwendelezo wa uozo ktk imani!!! Kuweni wastaarabu jamani!
 
haingii akilini mtoto kukurupuka tu na kumuuliza huyo mtoto wa kiislamu eti naweza kukojolea kwani hilo ni POT pale kulikuwa na mabishano na baada ya yule mtoto safi wa kikrsito kumuuliza iyo nini umebeba akamwambia kurani,akamuuliza tena naweza kuiona kuifungua dogo wa kiislamu akajibu wewe ni mkristo ukiishika tu unakua nyoka au panya hayo ni mafundisho mabaya mnaowapatia huko madrasa dogo mkristo akasema hamna kitu kama iyo hicho ni kitabu kama vitabu vingine tu vya physics,bookkeeping nk,dogo muislamu akesema kama huamini jaribu kutemea mate dogo mkirsto akasema sio mate tu hata nikikojolea sibadiliki kitu dogo muislamu akamwambia test,kwa kua dogo yuko Form one na anafundishwa science na science ni experiment na ukizangatia shule nyingi hamna laboratory dogo aka-apply experiment ikatiki hajabadilika wala nini kuona hivyo wale watoto wenzie wakawa wanamcheka dogo wa kiislamu kua dini yenu ni ya uongo kama mashetani maana inajulikana SHETANI NI BABA WA UONGO,hapo ndo bifu likaanzia hapo,
 
NA ATAACHIWA KWA VYOVYOTE MAANA HAKIMU KAFIR MLA KITIMOTO NDO KAPEWA HII KESI, ILA NAAPA AKIACHIWA NA TUKAJUA NA KUMUONA ATATAMANI NA KUMUOMBA MOLA HERI AWE TAHAHIRA AU PANYA NI SIMPLE TU ATAFANYWA KM ALVOFANYWA SADAM AU GADAF KM ULVOSEMA, YANI INSHORT ATACHINJWA HADHARANi, USICHEZEE WAISLAM CHEZEA AO AO KAFIR

ahahahaha..!kuongea simpo kwel,imeandikwa ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga..!
 
Hakuwa na intention bali alishawishiwa na mwenye kitabu kwa matokeo ya kukojolea. Akakojolea na hakuona matokeo

Mna macho lakini hamuoni, na mna masikio lakini hamusikii! Shughuli yote hiyo lakini hamuhesabu kama ni matokeo?? Duh!:thinking:
 
HAINA TOFAUTI NAWE KULALA NA BUNDUKI KWA USALAMA WAKO AKIJA JAMBAZ NDO UMERUHUSIWA KUUA? BIBLIA UNAYOIFUATA IMEKWAMBIA KAA NA BUNDUK MCHAGONI? AU KWA UPANDE HUO NI HALAL? WHY TUNA MABUNDUK NYUMBAN, ATA ACP BARO JUZI ALIKUWA NA BASTOLA, WHY US? LZM TUWE WAKALI ZAID YA YOTE SASA POSTINGS NYING UMU NI ZA KUTUDHIAKi

Dear Kashorobana,
Penguine ni miongoni mwa watu ambao hawapendi kabisa kudhihakiwa. Lakini pia Penguine mimi sipendi kudhihaki wengine bila ya kujali rangi za ngozi zao, umri wao wa kuzaliwa, jinsia zao, dini zao, elimu hata vipato vyao.

Tuchukue mfano ktk kadhia hii ya Qoran kumojolewa. Wanaowaza na kutekeleza masuala ya ustarabu ktk jamii wangejiuliza:
1. Je mkojoleaji alikuwa na kitabu hicho na akaamua kukikojolea? Lahasha!
2. Je mkojoleaji alimpoka mwenzie kitabu hicho ili akikojolee? lahasha!
3. Mkojoleaji alikipata wali kitabu hicho mpaka akakikojolea? Nini kilitokea ama kilifanyika. mpaka huyo kijana akakojolea kitabu hicho?
4. Je makanisa yalovunjwa ndiyo yaliyomtuma mwenye kitabu akitoe na mkojoleaji akikojolee? lahasha!

Majibu ni kwamba mtotk wa kiislam ndiye aliyekuwa na kitabu hicho. Hakunyang'anwa kitabu hicho ili kikojolewe alikitoa kwa hiari yake kwa mwenzie ili imani yake ithibitike. Yaani mwenzie ageuke na kuwa panya.

Usichukie, hapa tunaona udhaifu wa mafundisho aliyopewa mtoto wa kiislam kwamba mtu akikojolea kitabu hicho anageuka na kuwa panya. Huyo mtoto hakuokota imani hii. Ameipata kutoka kwa waliomfundisha. Naye hastahili kulaumiwa kwani aliaminishwa hivyo na maalim wake.

Kwa upande wa mtoto wa pili ambae ndiye mkojoleaji mafundisho hayo kwake siyokweli. Namna pekee ya kumthibitishia mwenzie kuwa imani hiyk kwake siyo kweli ikawa ni kukubali kukikojolea kitabu hichk ili kuona ukwrli wa imani ya upande wa mwenzie.

Kwa ufupi, mtoto wa kiislamu alimshawishi mwenzie akikojolee kitabu hicho na bila ya kupokwa alikitoa kwa hiari kipate kukojolewa. Je, waislam waliohusika na kuleata fujo jijini walijiuliza maswali haya muhimu? Hawakujiuliza, kwao siyo maswali muhimu. Muhimu ni kuwa na miguu na mikono yenye kukimbilia kutenda, kumwaga damu. Yaani kwenda kituo cha polisi ili wapewe mtoto aliyekojolea kitabu hicho kisha wamchinje! Hii ni aibu iletayo dhihaka.

Lkn, nimejifunza kwamba siyo waislam wote wenye mawazo kama haya ya kutenda kabla ya kuwaza. Wapo waislam wachache jamii ya hawa waliotekeleza maandamano ya kuvunja amani mpaka kufikia hatua ya kubomoa makanisa, kuiba vitu na kubwia divai, kuburutwa na polisi. Wapo wachache ambao wanaifanya dini ya kiislam ionekane kuwa dini ya fujo, shari, vitisho na ugaidi. Kama hatuungani nao basi tuwakemee!

Ningekuwa mimi, ningejikwepesha nisitende, nisineene, nisitazame au hata kufikiria yaletayo dhihaka. Tatizo hapa nikwamba BAADHI ya Waislam wenzetu wanatenda, wanawaza na wananeena yanayowaletea dhihaka. Hivyo, kama nawewe ni mmojawao, hamtakwepa kamwe kudhihakiwa na kudhihakiana miongoni mwenu.

Kwa mfano, usikute ktk kunijibu thread hii ukajikuta umeingiza tusi. Yaani unawaza kutusi wenzio. Utajikuta unadhihakiwa tu. Ni vema tukabadilika. Tutendeni mambo baada ya kufikiri tusipende kufikiri baada ya kutenda.
 
Je alikuwa na Intention ya kukojolea kuran?? hili ndilo swali la msingi la kujiuliza
Dogo alipewa quran ili akojolee ili waone outcome ya kitu fulani!
Outcome ilikuwa ageuke panya.
kwa sisi tuliosoma science Dogo hana hatia kwa sababu walikuwa wanafanya Experiment.
Tujiulize je outcome ingekuwa positive i.e dogo angegeuka kuwa panya,je mngeandamana??

Alikuwa anafanya majaribio ya somo alilofundishwa na mwenzake.
 
Hicho kitabu kinachoitwa koran kimeshapelekwa hapo mahakamani na ikiwezekana upimwe huo mkojo... unaweza ukawa ni mkojo wa mtu mzima shek Ponda... mjinga wa uchochezi.... hana la ukweli analowazia kuna siku watu watampopoa mtaani asije akadhania watu wamefurahia haya machafuko kwani kadhia kama hizi huwa hazifutiki mioyoni na hata vizazi na vizazi malipo ni hapa hapa Duniani.... Ajue Laanatu yule Mjalana
 
NA ATAACHIWA KWA VYOVYOTE MAANA HAKIMU KAFIR MLA KITIMOTO NDO KAPEWA HII KESI, ILA NAAPA AKIACHIWA NA TUKAJUA NA KUMUONA ATATAMANI NA KUMUOMBA MOLA HERI AWE TAHAHIRA AU PANYA NI SIMPLE TU ATAFANYWA KM ALVOFANYWA SADAM AU GADAF KM ULVOSEMA, YANI INSHORT ATACHINJWA HADHARANi, USICHEZEE WAISLAM CHEZEA AO AO KAFIR

Kashorobana,

Unonekana kuwa mpenda shari sana. usipende maisha ya shari kiasi hicho. Lkn yawezekana uko sahihi kwamba shari= uislam=fujo= ugaidi.

Hao Wakristo ni wajanja sana. Wenyewe hawapayuki kama unavyofanya wewe lkn hao Wakristo ndiyo walioratibu kuwaondoa hao akina Sadam na Gadafi unaowasema. Angalia sana tuwaze kabka ya kutenda badala ya kutenda kisha kufikiri badae.
 
Unataka matokeo gani? matokeo hujayaona jana ? mji mzima ulizizima! na hujaona kuwa ANASOTA NDANI na wazazi na yeye mwenyewe hawana Amani ! huyo ndio ALLAH, na ile ndio QURAAN, endeleeni kucheza ! matokeo yake mtayaona ! eti hajaona matokeo! mnachekesha sana ! mfuatilieni huyo mtoto mpaka makuzi yake muone kama atakuwa sawa yeye na wazazi wake !

Ni ama aligeuka panya au lah!!
Hayo ya kukosa amani, sijui mahabusu ni kuhusu sheria/taratibu za nchi tu. Ponda na watu wake hawana amani pia, maajabu hayaa!!
 
Sidhani kama umejaribu kupitia vema na usitegemee kuwa wataandika kukojolea quran!

Sidhani kama uko serious!
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom