Mtoto aliyekojolea Kurani hana kesi ya kujibu

Head teacher

JF-Expert Member
Mar 10, 2012
1,796
411
Nimefuatilia sheria ya makosa ya jinai sijaona ni kifungu kitakacho mtia hatiani mtoto kwa kukojolea Kurani. IWAPO mimi ningekuwa hakimu aliyesimamia kesi hii ningemuachia huru bila masharti yeyote. Kwa sababu mtoto aliruhusiwa na mwenye kitabu akojolee. Sioni kosa
 
Je alikuwa na Intention ya kukojolea kuran?? hili ndilo swali la msingi la kujiuliza
Dogo alipewa quran ili akojolee ili waone outcome ya kitu fulani!
Outcome ilikuwa ageuke panya.
kwa sisi tuliosoma science Dogo hana hatia kwa sababu walikuwa wanafanya Experiment.
Tujiulize je outcome ingekuwa positive i.e dogo angegeuka kuwa panya,je mngeandamana??
 
Usahihi.
kilichokojolewa ni "kitabu" cha kuruani, haijakojolewa kuruani.
haya endeleeni na ubishi.
 
Je alikuwa na Intention ya kukojolea kuran?? hili ndilo swali la msingi la kujiuliza
Dogo alipewa quran ili akojolee ili waone outcome ya kitu fulani!
Outcome ilikuwa ageuke panya.
kwa sisi tuliosoma science Dogo hana hatia kwa sababu walikuwa wanafanya Experiment.
Tujiulize je outcome ingekuwa positive i.e dogo angegeuka kuwa panya,je mngeandamana??

Hakuwa na intention bali alishawishiwa na mwenye kitabu kwa matokeo ya kukojolea. Akakojolea na hakuona matokeo
 
ni kweli hana kesi ya kujibu hata kidogo tatizo ni mfumo mbovu wa malezi ya watanzania kuto kuthamini dini za wenzao basi kama malezi yangekuwa yakitolewa kwamaba ni lazima kuziheshimu dini za watu wengine haya yote yasinge tokea tatizo baba ana lalamika mtoto analalamika nani wa kumsaidia mwenzake?
 
kawaulize hawa wafuatao kama takbirrrr iliwasaidia
osama bin laden
gadafi
sadamu hussein
......

NA ATAACHIWA KWA VYOVYOTE MAANA HAKIMU KAFIR MLA KITIMOTO NDO KAPEWA HII KESI, ILA NAAPA AKIACHIWA NA TUKAJUA NA KUMUONA ATATAMANI NA KUMUOMBA MOLA HERI AWE TAHAHIRA AU PANYA NI SIMPLE TU ATAFANYWA KM ALVOFANYWA SADAM AU GADAF KM ULVOSEMA, YANI INSHORT ATACHINJWA HADHARANi, USICHEZEE WAISLAM CHEZEA AO AO KAFIR
 
na ataachiwa kwa vyovyote maana hakimu kafir mla kitimoto ndo kapewa hii kesi, ila naapa akiachiwa na tukajua na kumuona atatamani na kumuomba mola heri awe tahahira au panya ni simple tu atafanywa km alvofanywa sadam au gadaf km ulvosema, yani inshort atachinjwa hadharani, usichezee waislam chezea ao ao kafir

je hivyo ndivyo anavyowafundisha muhammadi
 
NA ATAACHIWA KWA VYOVYOTE MAANA HAKIMU KAFIR MLA KITIMOTO NDO KAPEWA HII KESI, ILA NAAPA AKIACHIWA NA TUKAJUA NA KUMUONA ATATAMANI NA KUMUOMBA MOLA HERI AWE TAHAHIRA AU PANYA NI SIMPLE TU ATAFANYWA KM ALVOFANYWA SADAM AU GADAF KM ULVOSEMA, YANI INSHORT ATACHINJWA HADHARANi, USICHEZEE WAISLAM CHEZEA AO AO KAFIR

Haaaaaaaaaaaa!tumeona jana walivyochinjwa makafiri da!nilitaka shangaa ngoma ya watoto ikeshe?haijawai tokea bana
 
100% naungana nawe! Nanimegundua ki2 kimoja km yule mtoto angedhulika baada ya kukojelea {kuran} nazani hawa nduguzetu wangefurahia lkn tatizo ni kwamba ajadhulika na ndomaana wanataka kufanya fujo!!

Unataka adhurike mara ngapi? ana raha gani hapo alipo yeye na mama yake ? na ukoo wake ! kisaikolojia ameathirika na atazidi kuathirika.

Watu mnachonga sana eti Mungu wenu hajitetei, mnataka ajitetee kivipi? kama yule mama angemjibu kistaarabu baba wa mwenye mas-haf leo tungeshuhudia haya? lakini ALLAH alitaka kuwafunza adabu ndio maana yule mama akamjibu majibu ya hovyo baba yule kuwa " ni kitu kidogo ngoja niwape pesa mkanunue kingine" balaa lake ameliona na nina hakika wanajuta na WATAJUTA ! mbona bado !
 
Nimefuatilia sheria ya makosa ya jinai sijaona ni kifungu kitakacho mtia hatiani mtoto kwa kukojolea Kurani. IWAPO mimi ningekuwa hakimu aliyesimamia kesi hii ningemuachia huru bila masharti yeyote. Kwa sababu mtoto aliruhusiwa na mwenye kitabu akojolee. Sioni kosa

nilichogundua ni kwamba wenye matatizo ya akili hawapo mtaani pekee.hata humu JF WAPO
 
Nimejifunza kitu kimoja katika media za Tanzania, vitu vya kigalatia vinarepotiwa vizuri lakini vinavohusu waislamu vinaripotiwa ndivo sivyo, nani alikwambia mtoto alimruhusu? umesoma kisa chote?

Yule mtoto alikuwa anatokea chuoni madrasa, akakutana na yule mtoto mwenziwe akamuuliza hiyo nini akamwambia hii juzuu ,maana yake nini, yule akamwambia naweza kukojolea yule akamwambia utageuka , mtoto akaweka juzuu yake chini kwenda kucheza mpira! UPO MPAKA HAPO???? alipoenda kucheza mtoto mweye juzuu yule mtoto wa kigalatia akanyata kwenda kuchukuwa juzuu na kukojolea, SASA NIKUULIZE SAA NGAPI ALIMRUHUSU? msikurupuke! niendeleeee?

baada ya hapo mtoto akaenda kusema kwa baba yake ! baba akaenda mpaka kwa wazazi wa yule mtoto alokojolea juzuu ili wazazi wamkanye mtoto wao, walipofika kule yule mama kuelezwa tatizo akajibu "AAAH KUMBE TATIZO DOGO TU NGOJA NIWAPE PESA MKANUNUE KITABU KINGINE" hilo umeliona jibu dogo sana kwa kitabu kinachithaminiwa na kuaminiwa na umma duniani ? halafu useme hana kesi ya kujibu ? thubutu ! muwe mnawaambia hao waandishi wenu wa habari wasiwe biased wawe wanareport kila kitu na jinsi kilivo !
 
Allahu Akbar, Allahu Akbar Allah is Great, Allah is Great اللّهُ أكبر. Allahu Akbar Allah is Great لا إلَهَ الا اللّه

al lahu akbar..lailah aila laahu!
 
quote_icon.png
By Mkolawake

Nimefuatilia sheria ya makosa ya jinai sijaona ni kifungu kitakacho mtia hatiani mtoto kwa kukojolea Kurani. IWAPO mimi ningekuwa hakimu aliyesimamia kesi hii ningemuachia huru bila masharti yeyote. Kwa sababu mtoto aliruhusiwa na mwenye kitabu akojolee. Sioni kosa

nilichogundua ni kwamba wenye matatizo ya akili hawapo mtaani pekee.hata humu JF WAPO

Mradi na yeye aitwe great thinker ... au angalau nae apost puuuu!
 
Hakuwa na intention bali alishawishiwa na mwenye kitabu kwa matokeo ya kukojolea. Akakojolea na hakuona matokeo

Unataka matokeo gani? matokeo hujayaona jana ? mji mzima ulizizima! na hujaona kuwa ANASOTA NDANI na wazazi na yeye mwenyewe hawana Amani ! huyo ndio ALLAH, na ile ndio QURAAN, endeleeni kucheza ! matokeo yake mtayaona ! eti hajaona matokeo! mnachekesha sana ! mfuatilieni huyo mtoto mpaka makuzi yake muone kama atakuwa sawa yeye na wazazi wake !
 
si bora huyu hakimu mla kitimoto kuliko nyie makafiri msiokuwa na akili mnafanya mambo ya ajabu (au ndio uislamu unavyowaelekeza)
 
Back
Top Bottom