Mtoto akizaliwa kwenye ndege anakuwa na uraia wa wapi??

Under the 1944 Convention on International Civil Aviation, articles 17–21, all aircraft have the nationality of the state in which they are registered, and may not have multiple nationalities. For births, the law of the aircraft's nationality is applicable, and for births that occur in flight while the aircraft is not within the territory of any state, it is the only applicable law. However, if the aircraft is in or flying over the territory of another state, that state may also have concurrent jurisdiction, and the locus in quo principle may apply to the exact position of the aircraft when the birth occurred.[SUP][2][/SUP]
There are still very few Member States that are party to the 1961 Convention. Furthermore, conflicts of laws still exist, in particular between the laws of North and South American states, which typically adhere to the jus soli principle, and the laws of European states, which usually adhere to the jus sanguinis principle.[SUP][3][/SUP]

Mkuu uraia wa nchi husika unaongozwa na sheria za nchi husika kabla ya kuangalia kwingine
wewe hii umeicopy wap?
sheria ya uraia Tanzania ni hii hapa kuhusu hoja iliyopo

According Tanzania Citizenship Act No6 ya mwaka 1995 inasema

3(2) For the purpose of this Act, a person born aboard a registered
ship or aircraft, or aboard an unregistered ship or aircraft of the Government
of any country, shall be deemed to have been born in the place
in which the ship or aircraft was registered or, as the case may be, in
the country whose Government owns that aircraft or ship.
 
PJ, mdau kauliza maswali ya Lusinde, yaonekana mdau aliguswa sana na upuuzi wa Lusinde.
Kama ulivyosema, angani mipaka ipo. Kuna anga la Tz, anga la Kenya nk.
Pia, kwa kawaida Mashirika ya ndege hayaruhusu mjamzito (mwenye mimba ya miezi kadhaa) anayetazamia kujifungua kusafiri kwa ndege.

Lusinde nayeye ni kilaza tu, nilimsikia alivyokuwa anaroka kuhusu kuzaliwa angani, sheria ni moja tu kwa Tz

According Tanzania Citizenship Act No6 ya mwaka 1995 inasema

3(2) For the purpose of this Act, a person born aboard a registered
ship or aircraft, or aboard an unregistered ship or aircraft of the Government
of any country, shall be deemed to have been born in the place
in which the ship or aircraft was registered or, as the case may be, in
the country whose Government owns that aircraft or ship.
 
According Tanzania Citizenship Act No6 ya mwaka 1995 inasema

3(2) For the purpose of this Act, a person born aboard a registered
ship or aircraft, or aboard an unregistered ship or aircraft of the Government
of any country, shall be deemed to have been born in the place
in which the ship or aircraft was registered or, as the case may be, in
the country whose Government owns that aircraft or ship.

Under the 1944 Convention on International Civil Aviation, articles 17–21, all aircraft have the nationality of the state in which they are registered, and may not have multiple nationalities. For births, the law of the aircraft's nationality is applicable, and for births that occur in flight while the aircraft is not within the territory of any state, it is the only applicable law. However, if the aircraft is in or flying over the territory of another state, that state may also have concurrent jurisdiction, and the locus in quo principle may apply to the exact position of the aircraft when the birth occurred.[SUP][2][/SUP]
There are still very few Member States that are party to the 1961 Convention. Furthermore, conflicts of laws still exist, in particular between the laws of North and South American states, which typically adhere to the jus soli principle, and the laws of European states, which usually adhere to the jus sanguinis principle.[SUP][3][/SUP]
 
lusinde nayeye ni kilaza tu, nilimsikia alivyokuwa anaroka kuhusu kuzaliwa angani, sheria ni moja tu kwa tz

according tanzania citizenship act no6 ya mwaka 1995 inasema

3(2) for the purpose of this act, a person born aboard a registered
ship or aircraft, or aboard an unregistered ship or aircraft of the government
of any country, shall be deemed to have been born in the place
in which the ship or aircraft was registered or, as the case may be, in
the country whose government owns that aircraft or ship.
pengine ndie lusinde mwenyewe jf aina adabu ndio maana anakomaa
 
Under the 1944 Convention on International Civil Aviation, articles 17–21, all aircraft have the nationality of the state in which they are registered, and may not have multiple nationalities. For births, the law of the aircraft's nationality is applicable, and for births that occur in flight while the aircraft is not within the territory of any state, it is the only applicable law. However, if the aircraft is in or flying over the territory of another state, that state may also have concurrent jurisdiction, and the locus in quo principle may apply to the exact position of the aircraft when the birth occurred.[SUP][2][/SUP]
There are still very few Member States that are party to the 1961 Convention. Furthermore, conflicts of laws still exist, in particular between the laws of North and South American states, which typically adhere to the jus soli principle, and the laws of European states, which usually adhere to the jus sanguinis principle.[SUP][3][/SUP]

Mkuu copy and paste za wikipedia sio sheria za uraia wa nchi.......... au unajiridhisha na neno Convention on International Civil Aviation,
sheria ya uraia nchi hii ni huu hapa

According Tanzania Citizenship Act No6 ya mwaka 1995 inasema

3(2) For the purpose of this Act, a person born aboard a registered
ship or aircraft, or aboard an unregistered ship or aircraft of the Government
of any country, shall be deemed to have been born in the place
in which the ship or aircraft was registered or, as the case may be, in
the country whose Government owns that aircraft or ship.
 
ndege inapokuwa anagani inaongoza na sheria za kimataifa Public International Law ndio maana nimekopi maelezo ya Convention ambayo Tanzania Pia ilisaini na ikiionyesha kwenye sheria uliyoiweka hapa
 
Mkuu copy and paste za wikipedia sio sheria za uraia wa nchi.......... au unajiridhisha na neno Convention on International Civil Aviation,
sheria ya uraia nchi hii ni huu hapa

According Tanzania Citizenship Act No6 ya mwaka 1995 inasema

3(2) For the purpose of this Act, a person born aboard a registered
ship or aircraft, or aboard an unregistered ship or aircraft of the Government
of any country, shall be deemed to have been born in the place
in which the ship or aircraft was registered or, as the case may be, in
the country whose Government owns that aircraft or ship.

kwani kuna tofauti ktk hizo sheria?au mi kilaza?
 
Stori za changamsha genge...
Ni kweli kuwa ujauzito unaozidi 6 months hairuhusiwi kusafiri na ndege bila kusindikizwa na dr ama nurse wake endapo wanaenda kwa ajili ya matibabu.
na iwapo ikafanya emergency landing na kutua italia kabla ya kwenda amsterdam ambapo ndio ilitakiwa first stop..inakuwaje??nakumbuka ilishawahi tokea mwaka juzi nikitokea jnb tukiwa boda ya mozambique mama mmoja akajifungua tukahamishwa kwenda mbele wakabaki kumsaidia baada ya muda tukaambiwa ndege inatua mozambique for emergency..na uzuri wake sheria za airline zinasema mtoto atakaezaliwa kwenye ndege anahudumiwa na airline husika mpaka mwisho na wanampa uhuru wa kupanda bure maisha yake yote..so sikujua yule mama wa tz alitokaje pale mozambique nikajiuliza leo kulikoni
 
Samahani jamani
naomba kuuliza mama mjazito amepanda ndege ya klm kuelekea amsterdam mtoto akazaliwa angani
huyo mtoto anakuwa na uraia wa aina gani jamani???

Mkuu mama mjamzito aliyekaribia kujifungua haruhusiwi/hashauriwi kupanda ndege
 
Samahani jamani
naomba kuuliza mama mjazito amepanda ndege ya klm kuelekea amsterdam mtoto akazaliwa angani
huyo mtoto anakuwa na uraia wa aina gani jamani???

Anakuwa mgogo kama mzee wa niwarambe nisiwarambeeeee?
 
Back
Top Bottom